Habar Dk ninakushukur sana Kwa elimu Yako mtandaoni nimejifunza vingi kutoka kwako na Bado naendelea kujifunza Asante na MUNGU akubariki sana✋ swali langu Dk mwanamke ambaye ni uzao wake wa kwanza anatakiwa haanze lini kutumia uzazi wa mpango...?
Doctor asante sana kwa elimu yako maana kwa tusio soma tunaambiwa kwa aliye fayiwa upasuaji inabidi akae miezi 6 asifanye tendo la ndoa hiyo inapelekea mwanaume kuama kwenda kwenye nyumba ndogo kwa hiyo Kwa elimu hii umetusaidia sana Mungu akubariki sana Doctor. By Maskini jeuri kwetu uswahilini
Habari yako dr pole sana na kazi mimi nimejifungu tarehe 19- 10- tarehe 30 nikatolewa nyuzi sasa tatizo langu nilikuwa dr baada ya week nikajisikia uoga ila sasa nilipoenda clinic nesi akanimbia ulusiwi kuoga zaidi ya kujifuta unaweza pata madhara baadae naomba maelekezo yako dr
Hongera sana doctor me naomba nikushukulu kwasababu kupitia video Zako umenifunza kumtunza mke Wang kipind chaujauzito wake ikiwemo KUHUZULia nae kila crinik mpaka nimepata mtt Wang wakwanza wakiume. Congratulations Lakin pia nilikuwa naswali kuhusu kufanya tendo Nisawa umeainisha kuwa ni baada ya siku42 kama Hana Shida je nitahazari zipi zakuzingatia ili tusimuasiri mtoto? Maana tunaweza kuanza kufanya ikapelekea Katt kuanza kuzofika nilikuwa naomba ushauri wako
Kumekuwa na iman nyingi hasa mtaani Ila sitak kuziamin Ila ntaziamin endapo zitakuwa zipo sambamba nakitalam Nikwamba tumekuwa tukiaminishwa kuwa ukiwa na mtoto anae nyonya endapo itatokea mmefanya tendo na ikatokea umemgusa mtoto hata kwa bahat mbaya hiyo nayo Inakuwa mbaya inaweza kumpelekea mtoto kudumaa Kitalaam imekaaje hiyo doctor
@Enokaben Si kweli ila cha msingi wanajamii wanasema mkimaliza tendo muoge vizuri ndio mshike mtoto kabla ya kunyonyesha Sasa sidhani kama ni kweli ila Bora kuamini kwamba inatakiwa kuoga kabla ya kunyonyesha Mtoto baada ya Tendo la Ndoa.
@@DrMwanyika Thank you very much doctor, I would like to say that God bless you and continue to do your work well, educate us and there are many of us who are behind you to follow you. Thank you very much and congratulations🙏
Me,nimejfungua kwa Op ila dam ile ya uzazi ilitoka mwanzon kam kawaida lakin mpka sasa inatoka vitone vitone haikat je kutakuwa na shida yeyote doctor kwasababu nashindwa kuelewa nina mwezi mmoja na nusu
@@DrMwanyika samahani dokta mm nimejifungua Kwa op ninamwenz nasiku nne ila Kuna kitu kinanishanganza uxhauli naomba upande wakulia ninamaumivu makali halafu natoka uchafu walangi kama kama makamasi hv man nimala yakwanza op kixha unakaa kama unafuta FUTA hv nasijashonwa nyunz nzakutoa nihumo kwahumo kixha nawaswa je itakuwa ndan unashida nachanganyikiwa hats sielew
Mm nilifanyiwa oparesion ndo uzazi wa Kwanza mtoto nikamkosa narusiwa kushika mimba baada ya muda gan?. Na nilifikisha sku 42 naweza tumia njia ya uzaz wa mpango na hip njia bora kuliko zote doctor. Pole kwa gazet
Docta samahan mim nimejifungua kwa operation tareh 16 hadi sasa ni siku18 kidonda kimekauka ila kuna sehem bado kidogo na akitoi maji wala usaa ila Lina maumivu kidog kwa nje je ni saw
Sorry doctor kwa kazi,,,, Swali langu ni kwamba,,,, nilifanyiwa operation tarh 17/11/2023 na nimeshiriki tendo la ndoa tarehe 2/3/2024 ,, Je hapo Kuna uwezekano wa kupata ujauzito tena????
Sorry dokta habari naomba kuuliza mwanangu anasumbuliwa sanaa na tumbo tena nyakati za usiku na nukimnyonyesha namweka mabegani kuna muda anacheua kuna muda hacheui ana muda wa Wiki mbili
Samaan doctor mwanaume anaweza PATA madhara ikiwa ameshiriki tendo na mama alijifungua kabla ya wiki 6 na je Kwa mwanamke huyu anaweza kushika ujauzito
Dokta mim nilijifungua kwa operation na kwabahati mbay hawakushona vizur hvy baad ya wiki 3 nirirudiwa kushonwa kidonda kwa nje kimepona na nina sikia kam kina washa ila sikuni sas mim pia naweza shiriki tendo la ndoa
Doctor.kuna mwanamke kapata Mimba na ana mtoto ananyonya Sasa uyo mtoto anaumwa.naskia kuumwa kwauyo mtoto inatokana na iyo mimba.naitaji kujua Kam nikweli.nakam nikweli shida kubwa ninin na suluhisho ninin doctor.
Mimi sioni sababu ya kukatwaza labda kama hukumuelewa, Baadhi huwa huruhusiwi kutumia kama Unanyonyesha kwa sababu zinaweza kupunguza maziwa kwako kwa ajili ya Mtoto wako
Dr naomb unitoe wasiwasi nimejfungua kwa upasuaji hadi sasa nina miez miwili sasa bhn kuna jiran yang ananiambia usfany tendo la ndoa hadi ufikishe miez sita coz et kindonda cha ndani bado hakijapona alaf nikifany et uchafu utaend kukaa pale kweny kindonda hich cha ndani
Samhn doct mm nimejifungua kwa kawaida na nilipata stich jee ni kwa mda gn naweza kupona na kukutana na mumewangu, na jee ni dawa gn nzur naweza tumia kwa kuponyesha kidonda ?? Maana ni wiki ya pili lkn bd kinatoka maji km ya taka taka
Out of mada ukiwa mja mzito then ukawa na maumiju ya jino unaweza kulitoa au kutumia painkiller yoyote? Au Kuna njia nyingine yakutumia ili maumivu yapungue
Dr me nimejifungua kawaida ila mtoto alinichan lakin saiz Nina mwez n wik 3 nikifany tendo damu yenye haijakolea wekundu inatoka n nikimalz nasikia maumivu
Dokita mm nimefanyiwa upasuaji sawa nimienzi miwili nasiku tano nkwe kimefunga mana sijaekwa nyingi nzakutoa dokta ndani ninamaumivu makali bado itakuwa ninashida dokta
Ndugu haiwezekan mm naww tupo sawa tuombe mungu tu tujifungue salama na mm nilitamani nijifungue mwenyew ila nimeambiwa hawezekan nikashukuru mungu huenda hii ni njia salama kwangu
Samahani dr mimi tar 31/5 nimejifungua salama kabisa na tar 16 nimeshirki tendo la ndoa na mme wangu na sikusikia maumivu yoyote ,je kunamadhara yoyote naweza kuyapta mimi au mtoto
@@DrMwanyika shukrani doctor. Mwanangu anawiki tatu tangu nijifungue ila kwa sasa anajisaidia kinyesi cha rangi ya kijani tatizo ni nini? Na sijampa chochote zaidi ya maziwa yangu tu?
Dokta mm nimejifungua kwa operashen mwezi wa 10 toka nilipopata damu mwezi huo Hadi Leo sikupata sijaiona Sasa kuhusu tendo hapo nikifanya sipati mimba? Msaada pls dokta
Habar Dr mwanyika mke wangu alijifungua kwa operation ss tumekaa miez 8 hatujashirik tendo la ndoa je nikishiriki and akinyonyesha mtoto je kunakubemenda mtoto hapo?
nimejifungua mwezi wa tisa damu ya uzazi ndo inaelekea kukata umebaki uchfu tu wakawaida sio ikatoka tena damu nimeuliza wamenibia nimeingia kwenye hedhi sio tatizo dokta naomba msaada wako
Sikiliza Video ya Muda sahihi wa kufanya Mapenzi/Tendo la Ndoa Baada ya Kujifungua bonyeza link hii ua-cam.com/video/30gnClYawxc/v-deo.html
Nimeuliza iv kwamba nimesha maliza mwez naenda wa pili je nikifanya mapenzi bila kinga niweza pata mimba
Dr mtoto akiwa achemik lkn ataki kula chochote na ukimlazimisha anatapika na hospital wajaona ugonjwa aty inaweza kuwa nn
Nina miezi miwili Sasa hiv nanilisha jikatia tamaa mana nimesikia mbaka umalize miaka miwili ndo ushiliki tendo landoa kumbe sio
@JamilaLeonce Pole sana message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Barikiwa sana Dr Kwa elimu unayotupatia,, tunakupenda sana Dr wetu tumejifunza vitu vingi kutoka kwako.
Amina Ndugu yangu ❤️
Habar Dk ninakushukur sana Kwa elimu Yako mtandaoni nimejifunza vingi kutoka kwako na Bado naendelea kujifunza Asante na MUNGU akubariki sana✋ swali langu Dk mwanamke ambaye ni uzao wake wa kwanza anatakiwa haanze lini kutumia uzazi wa mpango...?
Naomba usikilize video husika ya maswali yako ndugu yangu
Namshukur sana🙏
@KeviNgailo-ex4wd Okay
Doctor MUNGU akubariki sana niko karibuni kujifungua kila swali nililokua nalo na wasiwasi vimeondoka nimejipata nakua jasiri
Amina ndugu yangu
Ahsante sana imenifunza
Okay
Doctor asante sana kwa elimu yako maana kwa tusio soma tunaambiwa kwa aliye fayiwa upasuaji inabidi akae miezi 6 asifanye tendo la ndoa hiyo inapelekea mwanaume kuama kwenda kwenye nyumba ndogo kwa hiyo Kwa elimu hii umetusaidia sana Mungu akubariki sana Doctor. By Maskini jeuri kwetu uswahilini
Nashukuru inatakiwa ujiite Tajiri jeuri 😅😅😅😅
@@DrMwanyika hahahhahahahaahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 doctor nimependa sana elimu yako sana sana
@@DrMwanyika samahani nje na mada! doctor kuna baadhi ya wanaume wana nyonya maziwa ya mke wake wakati wa kunyonyesha je kuna madhara yoyote doctor
Amina ndugu ubarikiwe Sana
😂
Asante dokta wangu wa nguvu nmekuelewa vizuri mungu akubariki
Amina ndugu yangu
Ubarikiwe sana kwa masomo yako❤❤ unatujenga sana
Amina ndugu yangu
Shukran doctor tunakupenda sana Mungu akubariki
Amina
Naomba namba ya what sap
@ShomaShabani Iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Asante kwa usjauli mzur
Amina ndugu
ahsante doctor unatuelimisha kwa meng
Amina ndugu yangu
Ubarikiwe docter kwa elim nzuri
Amina ndugu yangu
Asante saan dokta mwanyika mungu akibariki
Amina ndugu yangu
Asante Dr mwanyika nmekuelewa
Aminaaaana
Asante sana kwa SoMo nzuri Mungu akubariki
Amina
Asante sn docta kwa maelezo yako
Amina ndugu yangu
nilifanya wiki 3 baada ya operation ila juu juu TUu, jee naweza pata madhara Gani?
Sijakuelewa
Dokta umenisaidia sana upo vizuri
Aminaaaana
jee pia ukimeza antibiotics for 14 days after C's kwa ajili ya kupona ni vibaya?
Fuatilia video zetu hapa UA-cam
God bless you doctor
Amina ndugu yangu
Asante san kwa somo
Okay
Asante dokta
Okay
Habari yako dr pole sana na kazi mimi nimejifungu tarehe 19- 10- tarehe 30 nikatolewa nyuzi sasa tatizo langu nilikuwa dr baada ya week nikajisikia uoga ila sasa nilipoenda clinic nesi akanimbia ulusiwi kuoga zaidi ya kujifuta unaweza pata madhara baadae naomba maelekezo yako dr
Kama kidonda kimefunga vizuri unaweza. Ukaoga tu bila shaka
Ahsante sana mungu akubariki kwenye kazi yako
Aminaaaana ndugu yangu
Uko vizur Sana ,
Amina ndugu yangu
Asante sn
Okay
asante sana doctor
Aminaaaaa
Habar dokta, minilifanyiwa op mwez 2 tarehe 20. Ila niliongezew dam namtoto nikakosa. Mshono hauumi ndan wala nje. Jenaweza shiriki tendon kwasasa
Naomba usikilize video tumesema muda upi tokea kujifungua
Nakama nimejiunga nauzazi wampango, akimwagia ndan naweza pata ujauzito.
Hapo sijakuelewa umejiunga au unatumia Uzazi wa Mpango?
Nnamzunguko wa cku 21, nimeingia period tare22 mpaka26, tarehe 28 nimeweka kijiti. Je nikikutana tarhe30 naakamwaga ndan naweza pata ujauzito 🙏
Okay nadhani tunazungumza WhatsApp now nimekupa maelekezo naomba ufuate maelekezo niliyokupa
Doct samahani mm nimejifungua kwa opareshen na nimemaliza miezi 3 sasa lakini nimefanya tendo na mume wangu nasikia maumivu ya tumbo sasa apo sielewi
Barikiwaa Sana tunajifunza mengi mnooo
Aminaaaana sana Ndugu yangu
Hongera sana doctor me naomba nikushukulu kwasababu kupitia video Zako umenifunza kumtunza mke Wang kipind chaujauzito wake ikiwemo KUHUZULia nae kila crinik mpaka nimepata mtt Wang wakwanza wakiume. Congratulations Lakin pia nilikuwa naswali kuhusu kufanya tendo
Nisawa umeainisha kuwa ni baada ya siku42 kama Hana Shida je nitahazari zipi zakuzingatia ili tusimuasiri mtoto?
Maana tunaweza kuanza kufanya ikapelekea Katt kuanza kuzofika nilikuwa naomba ushauri wako
Suala la tendo la ndoa halina madhara yoyote kwa Mtoto anayenyonya.
Kumekuwa na iman nyingi hasa mtaani Ila sitak kuziamin Ila ntaziamin endapo zitakuwa zipo sambamba nakitalam
Nikwamba tumekuwa tukiaminishwa kuwa ukiwa na mtoto anae nyonya endapo itatokea mmefanya tendo na ikatokea umemgusa mtoto hata kwa bahat mbaya hiyo nayo Inakuwa mbaya inaweza kumpelekea mtoto kudumaa
Kitalaam imekaaje hiyo doctor
@@DrMwanyika😔
@Enokaben Si kweli ila cha msingi wanajamii wanasema mkimaliza tendo muoge vizuri ndio mshike mtoto kabla ya kunyonyesha Sasa sidhani kama ni kweli ila Bora kuamini kwamba inatakiwa kuoga kabla ya kunyonyesha Mtoto baada ya Tendo la Ndoa.
@@DrMwanyika Thank you very much doctor, I would like to say that God bless you and continue to do your work well, educate us and there are many of us who are behind you to follow you. Thank you very much and congratulations🙏
Je kama mwanamke aliongezewa njia wakati WA kujifungua kidonda kikawa hakiponi anaweza kufanya Nini ili apone?
Anatakiwa kwenda hospitali akafanyiwe uchunguzi na kuweza kushonwa upya ndugu yangu
Najifunza meng sna asante allah akuzidishie
Amin
Kwhy zikisha fika hizo wiki 42 au huo mwezi na wiki mbili
Kama mm situmii kinga yoyote nataka kutumia kalenda sasa na anza kuhesabu vipi bd sijaelewa
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Napenda masomoyako
Amina ndugu yangu
Doctor kutokwa na uchafu wenye nyuzinyuzi baada ya kujifungua kwa upasuaji je n tatizo gan hilo
Uende hospitali wakufanyie Uchunguzi
Me,nimejfungua kwa Op ila dam ile ya uzazi ilitoka mwanzon kam kawaida lakin mpka sasa inatoka vitone vitone haikat je kutakuwa na shida yeyote doctor kwasababu nashindwa kuelewa nina mwezi mmoja na nusu
Uende hospital ukafanyiwe vipimo hiyo ni shida na siyo kawaida
@@DrMwanyika Sawa docta
Okay
@@DrMwanyika samahani dokta mm nimejifungua Kwa op ninamwenz nasiku nne ila Kuna kitu kinanishanganza uxhauli naomba upande wakulia ninamaumivu makali halafu natoka uchafu walangi kama kama makamasi hv man nimala yakwanza op kixha unakaa kama unafuta FUTA hv nasijashonwa nyunz nzakutoa nihumo kwahumo kixha nawaswa je itakuwa ndan unashida nachanganyikiwa hats sielew
@husseinnuru7544 Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Mm nilifanyiwa oparesion ndo uzazi wa Kwanza mtoto nikamkosa narusiwa kushika mimba baada ya muda gan?. Na nilifikisha sku 42 naweza tumia njia ya uzaz wa mpango na hip njia bora kuliko zote doctor. Pole kwa gazet
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Docta samahan mim nimejifungua kwa operation tareh 16 hadi sasa ni siku18 kidonda kimekauka ila kuna sehem bado kidogo na akitoi maji wala usaa ila Lina maumivu kidog kwa nje je ni saw
Hapana ndugu yangu uende hospitali wakufanyie Uchunguzi
Sorry doctor kwa kazi,,,,
Swali langu ni kwamba,,,, nilifanyiwa operation tarh 17/11/2023 na nimeshiriki tendo la ndoa tarehe 2/3/2024 ,,
Je hapo Kuna uwezekano wa kupata ujauzito tena????
Ndio
Mbona nasikia Kwa yule alofanyiwa upasuaji anatakiwa kufany tendo la ndoa baada ya miezi 6 iyo Iko vp
Sikiliza video
Naomb kuuliza nimejifungua kwa oparrshen. Lakini kidoda changu upande wa kulia ni gumu sana kwa mdani pembeni ya mushono panaweza kuwa na shida
@anethsanga7473 Lini umejifungua?
Dokta nimejifungua mara 4 kwa upareshen madktari wanenifungga kizazi jee kuna changamoto gani katka ufungaji kizazi unazoweza kukutana nazo
Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu
Sorry dokta habari naomba kuuliza mwanangu anasumbuliwa sanaa na tumbo tena nyakati za usiku na nukimnyonyesha namweka mabegani kuna muda anacheua kuna muda hacheui ana muda wa Wiki mbili
@AngelRaymond-v4m Pole sana message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Samaan doctor mwanaume anaweza PATA madhara ikiwa ameshiriki tendo na mama alijifungua kabla ya wiki 6 na je Kwa mwanamke huyu anaweza kushika ujauzito
Tafadhari naomba usikilize video
Dk naomba kujua na kirefu cha STAH? Naukifanyanyiwa upasuaji wa stah unaweza pata ujauzito tena?
Samahani doctor mtuu alio jifungua kwa upasuaj anakaa miak mingap aj abeb mimba nyingine
Naomba usikilize video kuhusu maswali yako hapa UA-cam
Je utapata mimba kipindi hicho cha ndani ya miezi mitatu baada ya kujifungua
Ndio
Dokta samahani nilijifungua nikawa nimechanika ilahawakunishona nasahivi imepita miezi6 ninaeza nikaenda hospitali ingine nishonwe
Uende hospitali wakucheck
Doctor mm nimejifungua kwa operation lkn nimeambiwa nikae kwa muda WA miezi sita ndio nikutane na mume wangu je hii ni sahihi
Hapana kwa Nini?
Kwasbb kidonda kinakuwa hakijapona wanasema
Naomba usikilize video zangu
Samahani baada ya siku 42 kutimia kwa mwenye mshono autoathirika
Naomba usikilize video 👆
Samahani doctor mm nimejifungua kawaida ila nimeongezewa njia lakn nikutana na mme wangu inashindikana
Pole sana naomba unitumie message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Nasitahili Kubeba nini wakwa wakueda kujifungua
Sijakuelewa
Asalam Alykum doctor Mimi nimejifunguwa kwa upasuaji Niko na mwezi mmoja lakini bado natoka ushafu tena Kama una vinyamanyama lakini haunuki ni nini
Pole sana uende hospitali pia wakaku chunguze maana siyo kawaida, Kwa unanyonyesha?
Docta unachukuwa muda gan piriod kurudi katika hali yake??
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Asante san mm nimeambiwa eti adi miez 6
Okay
Dr aliyejifungua kwa op mwezi wa kumi akaona mp 16 mwezi wa 8 mpaka sasa hajaona tena ni tatizo dr
Sijakuelewa ndugu yangu
Habari dk ukifanyiwa opr ya STHA unaweza pata ujauzito?
Sijakuelewa
Docta mm naomb kuliza ukiwa umefanyiwa operation wa uzazi unaruhusiwa kufanya mazoezi yoyote yakupunguza tumbo
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Ni kwa muda gani mama alojifungua kwa upasuaji anapaswa kuanza kula vyakula vyote kama kawaida
Fuatilia video zetu hapa UA-cam
Doctor nilifanyiwa operation mtoto nikakosa nikae mda gan ili ni bebe Mimba
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Dokta mim nilijifungua kwa operation na kwabahati mbay hawakushona vizur hvy baad ya wiki 3 nirirudiwa kushonwa kidonda kwa nje kimepona na nina sikia kam kina washa ila sikuni sas mim pia naweza shiriki tendo la ndoa
Mtoto ana umri gani?
Mwezi miwili
Okay hapo inategemeana uliza hospital uliko hudumiwa
Pia docta ,,,, je ukishiriki tendo la ndoa mtoto akiwa under 5 months madhara gan huwa yanatokea,,,,
Samahani doctor niko nje kidogo Nilikua nauliza mimi nimefanyiwa oparation ya uvimbe kwenye kizazi je natakiwa kukaaa muda gani bila kufanya mapenzi
Uvimbe upi?
Wanasema ni mayoma
Aah subiri miezi 6 kabla ya kutafuta mimba nyingine
Asante sana Mungu akubariki 🙏🙏❤️
Amina ndugu yangu
Habar dikta mm nimejifunguwa kawaida ila mwanangu alitanguliza bega sasa sijui maana yake unaweza nifafanulia apo samahan
Nikufafanulie Nini?
@@DrMwanyika maana yakutanguliza beg maana sijawai sikia pia nimepewa masharit mengi sana
Pia siku 42 naruhusiwa kufanya tendo la ndoa
Nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo juu
Naomba ufuate maelekezo hapo juu
Asnt san
Okay
Doctor.kuna mwanamke kapata Mimba na ana mtoto ananyonya Sasa uyo mtoto anaumwa.naskia kuumwa kwauyo mtoto inatokana na iyo mimba.naitaji kujua Kam nikweli.nakam nikweli shida kubwa ninin na suluhisho ninin doctor.
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu
@@DrMwanyika ok
Ok
Doctor Mimi nimejifungua kawaida nimefanya tendo la ndoa kabla ya siku 42 naweza pata mimba au madhara yeyote
Sikiliza video boss
anaruhusiwa kuweka kinga baada ya hzo wki 6 ndio aanze kufanya?
Kinga ya Nini ?
@@DrMwanyika si labda sindano au kijiti au kitanzi ili ukila mzigo asishike mimba?
Nenda hospital na mkeo mtachagua njia sahihi ya Uzazi wa Mpango
Je Kama umejifunguwa kwa upasuaji alafu unafanya tendo la ndoa baada ya siku42 aina madhara
Naomba ufuatilie video zetu Mkuu
Nimefanyiwa op nina sku 41 ila sim za sir kunatoka viutelezi vina rangi kam ya usah
Kuna harufu au muwasho?
Hapana
Okay, haina shida
Asante dokta mungu akubarik
Amina
Mimi nilifanyiwa upasuaji wa mayoma ni miezi mingapi nikae bila kukutana na mumewangu
Muulize Daktari aliyekufanyia
Dokta habar wakat nimejifungua dokta alienizalisha alinikataza kutumia njia yoyote ya uzaz wa mpango zina shida kwan ?
Kwa sababu gani?
@@DrMwanyika hata sijajua ndomana nimekuuliza kwann alinikataza? Au ilikua mapema ? Labda nilitakiwa nikae hadi mwez ? Ndo nitumie ?
Mimi sioni sababu ya kukatwaza labda kama hukumuelewa, Baadhi huwa huruhusiwi kutumia kama Unanyonyesha kwa sababu zinaweza kupunguza maziwa kwako kwa ajili ya Mtoto wako
Je nisahihi kula ugari akipitia upasuaji
Fuatilia video zetu hapa UA-cam
Dr naomb unitoe wasiwasi nimejfungua kwa upasuaji hadi sasa nina miez miwili sasa bhn kuna jiran yang ananiambia usfany tendo la ndoa hadi ufikishe miez sita coz et kindonda cha ndani bado hakijapona alaf nikifany et uchafu utaend kukaa pale kweny kindonda hich cha ndani
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Samhn doct mm nimejifungua kwa kawaida na nilipata stich jee ni kwa mda gn naweza kupona na kukutana na mumewangu, na jee ni dawa gn nzur naweza tumia kwa kuponyesha kidonda ?? Maana ni wiki ya pili lkn bd kinatoka maji km ya taka taka
Naomba usikilize video mkuu
Dkt mim nimejifungua kaw 0p lakin kuna kama utelez unatoka una kama rangi kidogo kuna shida
Na nyama za tumbo ka maumivi sehem ya mshono kwa juu mim ni mnene
Lini umejifungua?
Doctor ety ukijifungua ukifanya tendo la ndoa bila kinga na cjaona cku zangu naweza pata mimba tn
Sikiliza video tafadhari 👆
Je akuna njia mbadara ya dawa za uvimbe mkubwa zaid ya upasuaji
Ndio
Out of mada ukiwa mja mzito then ukawa na maumiju ya jino unaweza kulitoa au kutumia painkiller yoyote? Au Kuna njia nyingine yakutumia ili maumivu yapungue
Muone Daktari wa Meno Ndugu yangu atakupa ushauri kuhusu jina pain killer siyo njia ya kupunguza maumivu ya Jino
Asant
Okay
Dr nini kinasababisha mtu anapojifungua na baada ya miez mitatu hapat ham kabisa??
Inategemeana Kuna Mambo mengi huwa yanapelekea
homa ya manjano kwa mtot mchanga
Imefanyaje ndugu yangu
@@DrMwanyika naomba unielezee kidògo. kuhusu homa ya manjano mana mwanangu ana cku ya tano macho yake naona yanakua njano
Okay
🙏kwa somo Dr., Naomba kuuliza ikiwa umejifungua na hujaanza kuona siku zako unaweza sex tu bila Kinga! Na usipate ujauzito?
Fuatilia video zetu ndugu
Dr me nimejifungua kawaida ila mtoto alinichan lakin saiz Nina mwez n wik 3 nikifany tendo damu yenye haijakolea wekundu inatoka n nikimalz nasikia maumivu
Pole Uende hospital ukafanyiwe Uchunguzi ndugu yangu
Nikonamwezi miwili bada ya kujifuguwa na kidonda yenye nilikatwa kwauke wangu bado haiponi shida ninini
Pole Sana Uende hospital ukafanyiwe Uchunguzi na watakutibu.
Dokita mm nimefanyiwa upasuaji sawa nimienzi miwili nasiku tano nkwe kimefunga mana sijaekwa nyingi nzakutoa dokta ndani ninamaumivu makali bado itakuwa ninashida dokta
@husseinnuru7544 Naomba unitumie message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Dokta mke wang ana miezi 3 toka ajifungue lkn kitovu chake kinatoa maji maji kidogo kuna shida apo
Ndio nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo juu
Mwanamke akijifungua anachukua mda gani kunasa mimba
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Samahani dokta je Kama umejifungua salama lakini umeongezewa njia unaruhusiwa kukutana lini na mme wako
Kama watu wengine walijiofungua ndugu yangu
Dokta mimi nimefanyiwa opereshen nina miez mitatu nimekutana na mwenza wangu lakin damu ilitoka je sababu nn
Uende hospital ukafanyiwe Uchunguzi ndugu
Doctor mm nilifanyiwa upasuaji Mara 2 mtoto wa 3 na wa 4 na sasa nina mimba ya 5 je siwezi kujifungua kwa njia ya kawaida?
Ndio haiwezekani kwa sababu una operation mbili
Nilipima ultrasound mtoto yuko vizuri kashageuka kwann isiwezekane kujifungua kawaida?
Dada wewe ni mbishi kweli basi Mimi sina neno
Ndugu haiwezekan mm naww tupo sawa tuombe mungu tu tujifungue salama na mm nilitamani nijifungue mwenyew ila nimeambiwa hawezekan nikashukuru mungu huenda hii ni njia salama kwangu
@user-hy9pp5rp9i Amina ndugu yangu
Dr mimi nilijifungua trh 2/10/ 2022 Hadi Leo sijaona hedhi mtoto Ana miezi 10 na Sina mimba nini tatizo?
Bonyeza link hii sikiliza video
ua-cam.com/video/Lm0tGUQ0D1o/v-deo.htmlsi=BHiiF-x-kXZSdyOu
Kuna watu wanasema ni lazima kufanya tendo la ndoa siku ya 40 ili kuzibua masikio ya mtoto ni kwel au uongo
Uongo
Je kwamtu ambaye azioni siku zake wakati wa kulea anaweza kubeba mimba
Ndio kama hatumii Uzazi wa Mpango anaweza kubeba Mimba endapo kama hanyonyeshi vizuri na Mtoto wake Yuko chini ya miezi 6
Samahani dr mimi tar 31/5 nimejifungua salama kabisa na tar 16 nimeshirki tendo la ndoa na mme wangu na sikusikia maumivu yoyote ,je kunamadhara yoyote naweza kuyapta mimi au mtoto
Sikiliza video ndugu
Docta mi nimebeba mimba mwaka na nusu na nilipasuliwa kwa hiyo siwezi zaa kawaida
Inategemeana na sababu iliyopelekea ufanyiwe Upasuaji mara ya kwanza na Mambo mengine mengi ukienda hospital watakuchunguza na utapata majibu sahihi
@@DrMwanyika mtoto alitanguliza uso
Sawa fuata maelekezo niliyokupa hapo juu mkuu
@@DrMwanyika shukrani doctor. Mwanangu anawiki tatu tangu nijifungue ila kwa sasa anajisaidia kinyesi cha rangi ya kijani tatizo ni nini? Na sijampa chochote zaidi ya maziwa yangu tu?
Haina shida
Doctor ukipuguziwa mafuta tumboni tumbo litapungua
Sijakuelewa mkuu
Yani nimejifungua Kwa oparation sasa wakanipunguzia mafuta ndio najiuliza nitakuwa na tumbo dogo
Nina wiki 3 Toka nifanye oparation lakini uchafu unatoka ukeni wa langi kama usaa ila hautoi arufu ,je nitakuwa na tatizo au
Eeh
Nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo
Dokta mm nimejifungua kwa operashen mwezi wa 10 toka nilipopata damu mwezi huo Hadi Leo sikupata sijaiona Sasa kuhusu tendo hapo nikifanya sipati mimba? Msaada pls dokta
Ni vema utumie Uzazi wa Mpango
Mtu aliye jifungua kwa upasuaji anaweza kufunga mkanda ili tumbo irudi kama mwazoni
Ndio ila baada ya kidonda kupona
Habar Dr mwanyika mke wangu alijifungua kwa operation ss tumekaa miez 8 hatujashirik tendo la ndoa je nikishiriki and akinyonyesha mtoto je kunakubemenda mtoto hapo?
Fuatilia video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako
Mimi nna swali dokta
Ok
Habari,,Mimi nimejifungua Kwa kuongezewa njia nikifikisha izo siku 42 na nikifanya tendo la ndoa naweza shika mimba
Naomba usikilize video mkuu
Dk mm toka nipate ujauzito lkn naona kama nina bawasiri
Kwa Nini?
@@DrMwanyika sijajua shida ni nn
Pole Dr naweza kukusaidia kitu
@@wemamndeme8709 nisaidie tu
Msaidie
Duh! mke wangu ujauzito wake nataka umhudumie wewe uko hospital ya wapi Umetoa elimu nzuri sana hikika mungu amekupa kipaji
Boss Mimi Niko Iringa mkuu
habari za kazi dr mimi na shida naomba msaada wako nilijifungua trh 30 mwezi wa 9 k
nimejifungua mwezi wa tisa damu ya uzazi ndo inaelekea kukata umebaki uchfu tu wakawaida sio ikatoka tena damu nimeuliza wamenibia nimeingia kwenye hedhi sio tatizo dokta naomba msaada wako
@rashidihamimuchaye49 Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@rashidihamimuchaye49 Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
Samahan naomba namba yako
Iko kwenye profile picha yangu hapo juu mkuu
Mpaka nataman kipind chote cha ujauzito wangu ujao nihudumiwe naww
Ety eeh
Je ukijifungua kwa upasuaji mazoezi ya kutembea na kunywa chai yanachukua muda gani
Naomba ufuatilie video zetu hapa UA-cam kuhusu maswali yako