KWAKO MAMA MPYA UNAENYONYESHA MTOTO!! JIFUNZE MAMBO YA KUFANYA NA YA KUACHA KIPINDI UNANYONYESHA!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @florianafrimin9066
    @florianafrimin9066 10 місяців тому +5

    Nimefrai sana
    . Mtoto ana miezi miwili sasa lkn tumbo n la Peter msechu😅😅

    • @luyaamatho9580
      @luyaamatho9580 14 днів тому

      😅😅😅😅nimecheka ata mm ana miez 2 lkn tumbo kubwa kiasi

  • @FadhiliAwadhi
    @FadhiliAwadhi День тому

    Asante dada zama kwa darasa zuuri

  • @christinamwambalaswa5055
    @christinamwambalaswa5055 2 роки тому +6

    Shukran mm nimeanza kula wali baada ya wik 2😀

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 Рік тому +1

    Masha Allah. Doctor Mariyam uvaaa stara umepndeza san. Kiheshm

  • @neypaul6416
    @neypaul6416 Рік тому +1

    Asantee Kwa elimu nzuriiiii dada Zama 🥰

  • @Mohamudnoor5821-gw5qg
    @Mohamudnoor5821-gw5qg Рік тому

    Asante sana madaktari kwa mada nzuri kama hii,kwa kweli nimejifunza mambo mengi mno,

  • @hajrahmtolea2709
    @hajrahmtolea2709 Рік тому +2

    Tunashukuru sana dada kwa kutuelimisha

  • @FeristerPaul-kz5fj
    @FeristerPaul-kz5fj Рік тому +1

    Thanks dada zamarani

  • @BeatriceNandrie-yk4wz
    @BeatriceNandrie-yk4wz Рік тому +2

    Asante Kwa mafunzo mazuri sana sana nimejifunza mno 🙏 swali nimejifungua unfortunately nina UZITO MKUBWA je naruhusiwa kufanya mazoezi???? Je mazoezi hayaadhiri unyonyeshaji???

  • @zuhrahamza9077
    @zuhrahamza9077 2 роки тому +1

    Ahsantee da zama nimejifunza

  • @YustinaNemes
    @YustinaNemes 3 місяці тому

    Mim nikiwa kwenye uzazi nakula kama adhabu tu na maziwa bado hayatoki, kumbe najishindilia uji, supu na mtori hadi kunenepeana, asanteni sana kwa elimu hii

  • @fatumaabduly5086
    @fatumaabduly5086 Рік тому

    Asantee Sana kwa SoMo mbona sasa wanatuambia ukila mboga mboga mtoto anaharisha kijani

  • @sophiakayumba5974
    @sophiakayumba5974 2 роки тому

    This discussion is superb!! Thank you Zamaradi TV & the docs, for passing this knowledge!

  • @si-qm1ki
    @si-qm1ki 11 місяців тому

    Yaan hawa ndo lactation experts..wanaelezea vzur mno..japo kwenye kipengele cha mtoto kukataa nyonyo gafla...umekatisha..tafadhal tutafutie hiko kipengele na namna ya kutatua hilo tatzo ..hasa watt umri kuanzia miez 2

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 роки тому

    Asante sana kwa Elimu tuliopata

  • @maryreginald9362
    @maryreginald9362 2 роки тому +3

    Dah yaan mimi nilivoenda tu hospitali baada ya wiki nesi akaniambia KAZANA KULA IVI SAIVI NNA KILO 78 WAKATI NILIKUWA NA KILO 45. Tumbo sasa utadhani kiloba. Ningepata makala hii tangu mwezi wa nne ningekuwa na ka mwili kangu ka tumbo 28. All in all Shukrani. Zamaradi kwa elimu hii murua

  • @fatmamateru7992
    @fatmamateru7992 Рік тому +1

    Mashalaaa nimelipenda somo

  • @NeemaAlex-v7c
    @NeemaAlex-v7c Місяць тому

    naomba kujua sample ya vikombe au chuchu za mtoto kunywea maziwa ambavyo havitunzi mafuta kwa pembeni

  • @AsiaMkwizu
    @AsiaMkwizu Рік тому

    Axante xaan dada zama ❤❤

  • @singuadam2092
    @singuadam2092 2 роки тому

    Ahsante sana

  • @sadasaid7212
    @sadasaid7212 2 роки тому +3

    Da zama lile swali mbona sijapata majibu? Kuhusu ikitokea nimembebea mtoto kabla ya miaka miwili ni sahihi kumuachisha kwasababu anadhohofu mwili na Ana harisha Sana, kiuswazi tunaiga luse

  • @claratemba44
    @claratemba44 Рік тому +1

    Zamaradi kipindi hiki ni muhimu sana kina mafunzo mazuri sanaa

  • @fadyaidris220
    @fadyaidris220 2 роки тому

    Dazama ubarikiwe Sana nimejifunza vingi

  • @BeatriceNandrie-yk4wz
    @BeatriceNandrie-yk4wz Рік тому

    Jamani ungeweka simu tungeuliza maswali mengine uliyoyasahau....but mtoto Yuko chini ya miezi sita hajaanza Kula chochote ananyonya tu ila anapata choo kigumu ana analia sana wakati wa kupata choo Hadi kumpelekea anye kidogo kidogo nakilio hii mekaaje nitafanyaje Ili choo kiwe kilaini??

  • @suzanne7717
    @suzanne7717 Місяць тому

    🙏

  • @JohnphaceSengo
    @JohnphaceSengo 2 місяці тому

    Ahsante sanaaaaa❤❤

  • @MarryMboya-x1y
    @MarryMboya-x1y 21 день тому

    Ukiwa unamuonyesha unaruhusiwa kufanya dayati na kufanya mazoezi

  • @YustinaNemes
    @YustinaNemes 3 місяці тому

    😮😮😮huku mi nanyimwa hadi mbogamboga na maji ya kunywa yaani wabibi hawa

  • @fatumaabduly5086
    @fatumaabduly5086 Рік тому +1

    Dah mmetuokoa uku uchagwni unawekewa mtori nusu sado bado mbege inakusubiri yaani mpka unahisi kupasuka na utakula tu

    • @NifashaRomy
      @NifashaRomy Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂Nusu sado au kindooo inaboaa

    • @luyaamatho9580
      @luyaamatho9580 14 днів тому

      Haha😂😂😂😂jmn nusu sado

  • @Mohamudnoor5821-gw5qg
    @Mohamudnoor5821-gw5qg Рік тому

    je?ikiwa mtoto bado hajafikisha miaka miwili na mama amebeba ujauzito,huyu mtoto atatumia nini ili kumyonyesha mtoto wake mpaka atimize mda wake?

  • @dativachuwa2317
    @dativachuwa2317 Рік тому

    Dah ahsanteni kwa mada!!
    Mimi Sina fridge na natamani kuendelea kumkamulia mtoto maziwa nimwachie je,na atayatumia kwa siku nzima je hapo Yale niliyoacha asbh ataweza kuyatumia kutoka saa moja asbh mpaka saa tisa alasiri?

  • @badria5771
    @badria5771 11 місяців тому

    Mm maziwa yatatoki na nyonyesha bado mtoto ana mienzi 3 na nusu ananyonya ila hayatoki na nakula vyakula vya kutia hadi maziwa ila hayatoki nifanye nn

  • @neemasulle6240
    @neemasulle6240 Рік тому

    Niambie vyakula sahihi kwa mzazi