Alhamdulilah,Subhnallah Maneno mazito kabisa Sheikh wangu Umekua Bora sana ..Allah amekuzidishia utulivu ktk kufikisha Elimu ..Allah akuzidishie Afya njema wew na Familia yko Na usichoke kutuelimisha kwa ajili ya Allah Shukran Sana .
Muogope Allah hayo maneno yako c sawa mwehu n wewe Kenya hakuna cc tunapata faida na ikiwa haupati kitu acha matusi huo ujahil bro acha ushabiki wa kijinga na sheikh bachu Allah subhannahu wa taala akuhifadhi sana n watu wapuzi kama Hawa n shari zao imagine wee mmoja cc n wengiii tunaofaidi
Shukran barakallah feeh sheikh
Mungu akupe mwisho mwema
Leo nimewahi wa tatu wooow. Masha Allah
Kheyri nimewahi wa tatu
Allah akufanyie wepesi sheikh
Wallah nakuelewa sana sheuhammad
Alhamdulilah,Subhnallah Maneno mazito kabisa Sheikh wangu Umekua Bora sana ..Allah amekuzidishia utulivu ktk kufikisha Elimu ..Allah akuzidishie Afya njema wew na Familia yko Na usichoke kutuelimisha kwa ajili ya Allah
Shukran Sana .
❤
Haya ndio mambo ya kuwafunza waislaam siyo radd
Abu jifunze ata nahau kidogo
Ww kama unaweza chukua namba zake na ukamfunzee
Bacho ruduikwenu katulie acha kuwaopotoa mamwehu wakikenya elimu sio faniyako
Muogope Allah hayo maneno yako c sawa mwehu n wewe Kenya hakuna cc tunapata faida na ikiwa haupati kitu acha matusi huo ujahil bro acha ushabiki wa kijinga na sheikh bachu Allah subhannahu wa taala akuhifadhi sana n watu wapuzi kama Hawa n shari zao imagine wee mmoja cc n wengiii tunaofaidi
Wee mpuzi kama wanaopotosha watu ama we n mwanafunzi wa diwani haya maneno kama yake
@hassanWanjiku kwanini wapotoshaji wakipewa kweli hununa
@hassanWanjiku kwanini wapotoshaji wakipewa kweli hununa
@hassanWanjiku uwahabi niwaesraeli
Jungasana fiqhi usijaribu atakidogo
We muongo bhan sio lazima mtu atoe usia
kuwa na adabu basi
Wewe kijana kama umeachana mahizb achananao mazima hiyo chenel al Hajar Tv ni Salafy hao??