Ng'wana Kang'wa - Lalaga Official Video 4k.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 214

  • @mtundaagnes5609
    @mtundaagnes5609 9 місяців тому +32

    kama umeusikiliza zaidi ya mara tano weka like

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 9 місяців тому +12

    Kumbe wew ndio msanii mkubwa nimejua leo

  • @JohnMapalala
    @JohnMapalala 8 місяців тому +1

    ❤❤❤Hii imeenda

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 9 місяців тому +7

    👏👏👏👏👏👏 Safi sana kwa wimbo wa kumkumbuka JPM. Alikuwa jembe kwelikweli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @maduhumanyangu1544
    @maduhumanyangu1544 9 місяців тому +7

    Unabuni Vitu Vikali sana Omabala...Congratulation to u

  • @MrishoMrisho-y4j
    @MrishoMrisho-y4j 9 місяців тому +2

    Tunakumic sana 😭😭😭😭 robo ya sukari Sasa hivi 130

  • @MASTABUYA
    @MASTABUYA 9 місяців тому +6

    Mra saf sana ss hukumusoma
    ❤❤❤ Tunapiga kazi

  • @Mwanafundi
    @Mwanafundi 9 місяців тому +4

    Eee fundi ntemi sana hawakuwez wasukuma wote kwakuimba

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 9 місяців тому +7

    Daah, hukokwangoma za asiri wewe nimsaniiwangu pendwa🎉🎉🎉🎉❤

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 9 місяців тому +3

    Hongera saana Nyanda.... lyembo lyawiza

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 9 місяців тому +5

    Ntemi Omabala umetisha Brother kazi nzur ujumbe mzuri❤

  • @PaschalAnthony690
    @PaschalAnthony690 9 місяців тому +1

    Wimbo mzuri❤ pia Director Nampa maua yake

  • @LucyMpemba
    @LucyMpemba 9 місяців тому +4

    Hongera Kwa wimbo mzuri Ng'wana kang'wa

  • @joeljulius5926
    @joeljulius5926 9 місяців тому +3

    🎉🎉 chukua maua yako,wimbo mzuri sana

  • @PauloAmos-k2f
    @PauloAmos-k2f 9 місяців тому +2

    Kaka ❤🎉🎉🎉 ASante sana mwenyezi Mungu akubalikitu hakuna neno nzuri kama hii❤❤❤

  • @khamzalockymaster6008
    @khamzalockymaster6008 9 місяців тому +2

    Kazi nzuli saaana ngw'ana kangw'a tunakupenda kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  9 місяців тому +1

      Pamoja sana karibu 🇹🇿

  • @kulwamaguzmaguzu2202
    @kulwamaguzmaguzu2202 9 місяців тому +5

    Kwa kwel mmmm bc mungu anajuwa

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 9 місяців тому +3

    Mungu amuangazie nuru njema chuma

  • @mrishobulabo8014
    @mrishobulabo8014 9 місяців тому +8

    Mwaka huu hadi Maji yatalowa 😂😂yaani video kaliiii Ina hadhi ya VVIP hongera Sana director Migera your doing good work hongera Sana mwana kang'wa ujumbe mzuri 🔥🔥🔥

  • @fotunatuspaul5665
    @fotunatuspaul5665 9 місяців тому +11

    Ngoma kali sana ,,nakukubar wasukuma oyee

  • @CatheriniThabiti
    @CatheriniThabiti 9 місяців тому +4

    Duuu nimeumia sana

  • @RobertWanila
    @RobertWanila 9 місяців тому +1

    Endelea kutuelimisha umeupiga mwingi amina

  • @drhuman2474
    @drhuman2474 9 місяців тому +7

    Ningekuwa mtoa tuzo, huu wimbo ungepata tuzo mwaka huu🙏

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 9 місяців тому +7

    Safi sana kwa nyimbo nzuri, R.I.P JPM 🙏

  • @petrokatikilo630
    @petrokatikilo630 9 місяців тому +1

    Huwa nakuelewa bwana mdogo

  • @donbeteofficial
    @donbeteofficial 9 місяців тому +7

    Daaah hii video balaa🔥🔥🔥

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 9 місяців тому +4

    Jaman anko magu 😢😢😢 namkumbuka mno

  • @Elizabethpaulo-c8u
    @Elizabethpaulo-c8u 9 місяців тому +8

    We mtoto Kiboko yao haki ya mungu, utalizaa watu kwenye huu wimbo, ujue tusifananishe magufuli na vitu vya ajabu,,, hapa Tz.

  • @frmacopanga
    @frmacopanga 9 місяців тому +2

    Wimbo mzuri pia video nzuri sana🎉

  • @danyohanatv1926
    @danyohanatv1926 9 місяців тому +1

    Director Ngosha hapa mwanakamwa Yuko vizuri Sana

  • @massive1765
    @massive1765 9 місяців тому +1

    Daaah rip JPM, honhera Ngw'ana Kang'wa kwa wimbo mzuri

  • @RashidiDaudy-ez6zt
    @RashidiDaudy-ez6zt 9 місяців тому +5

    Ngoma moja kali sana
    Hongera Ntemi wa Mabala

  • @J4UPro
    @J4UPro 9 місяців тому +1

    Safi sana ndugu yangu!
    Magufuli nilimkubari sana,
    Umetuliza tena

  • @HasaniShija-ye5xg
    @HasaniShija-ye5xg 9 місяців тому +2

    Ngoma kari sana yenye ujumbe tutazidi kumkumbuka jpm hatutamsahau kwakweri

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 9 місяців тому +3

    Wimbo mzuri sana ,umenitoa machozi ,umesimulia mazuri ya hayati raise JPM ,,pumzika Kila nafsi itapumzika .

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 9 місяців тому +4

    Umenikumbusha mbali sana😢😢😢😢

  • @bugalirecords4862
    @bugalirecords4862 9 місяців тому +8

    Unyama sana kaka kaz nzuri 🔥🔥🔥

  • @Ngwanasamaka
    @Ngwanasamaka 9 місяців тому +6

    Wimbo jumla na video vyote sawa❤❤

  • @JuliethJoseph-p7f
    @JuliethJoseph-p7f 9 місяців тому +4

    😢😢😢😢Umeniliza haki ...

  • @PascalChales-r7o
    @PascalChales-r7o 9 місяців тому +7

    Mwanakangw,a nakubali Sana kaka upewe mauwa yako 🎉🎉

  • @ABELMAGESA
    @ABELMAGESA 9 місяців тому +5

    Ng'wana kang'wa kaka hongera sana🤣🤣🤣

  • @ElizabethSumbi-zw9jg
    @ElizabethSumbi-zw9jg 8 місяців тому

    Kaz nzuri hongera san ntemi omabar umenikumbusha mbari san pokea mauwa yako 💅💅

  • @masaluleonardrobert57
    @masaluleonardrobert57 9 місяців тому +3

    Magufuli my favorite president ❤❤❤

  • @NemaJohn-l7y
    @NemaJohn-l7y 9 місяців тому +2

    Napenda sana nyimbo zake pia ananikumbusha baba yangu magufuri 😢

  • @MagaigwaNs
    @MagaigwaNs 9 місяців тому +2

    Wew jamaa hakuna was kukulinganisha nae kwa nyimbo za asili hakika tunakupenda sana❤

  • @justinkadonya3434
    @justinkadonya3434 9 місяців тому +3

    Nyanda wane safi sana sema kofia mama j nismkute kaifua napita nayoo😂😂😂😂

  • @kalibangulashollas7523
    @kalibangulashollas7523 9 місяців тому +5

    mungu azidi kukupa ubunifu zaid bro unatuwakilisha vyema sana

  • @judithsarahmasanja550
    @judithsarahmasanja550 9 місяців тому +3

    Hongera sana sana. Umetukumbusha mbali sana

  • @victorbariety3334
    @victorbariety3334 7 місяців тому +1

    Yaani sichoki kusikiliza wimbo mzur sana Wa hayat KIPENZI changu big up sana kaka Kwa Wimbo mzuri sana

  • @AllySalum-h4j
    @AllySalum-h4j 9 місяців тому +3

    nyanda ndondo!!! hua sijutii MB zangu

  • @CostantineKapella
    @CostantineKapella 9 місяців тому +4

    Nimekukubali sana

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 9 місяців тому +3

    Rafiki wewe unamapenzi ya kweli RIp magufuli

  • @rogetichuo4687
    @rogetichuo4687 9 місяців тому +2

    Nimeichek bro japo nimechelewa seen 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @johnshimuda8331
    @johnshimuda8331 9 місяців тому +5

    Umetukumbusha kumkumbuka shujaa wetuu Japokua hatujawahii kumsahauu

  • @Yusudav
    @Yusudav 9 місяців тому +5

    Umenikumbusha mbali sana, hakika nimejisikia vibaya sana kama amekufa leo tu😢

  • @IsackDeogratias
    @IsackDeogratias 8 місяців тому +2

    Umetisha kak umeimba kwa hisia San mungu akubrik nzuri mnoo nmeipenda❤❤❤

  • @Lugalilamihambo
    @Lugalilamihambo 9 місяців тому +3

    ❤❤ nakubar sana kaka ❤❤

  • @latifa7358
    @latifa7358 9 місяців тому +7

    Ngoma kali sana 🙌

  • @JamesNyanda-yi7wu
    @JamesNyanda-yi7wu 9 місяців тому +2

    Ntemi omabala the King Music sukuma gang salute

  • @Mackimilly
    @Mackimilly 9 місяців тому +4

    Your voice my weakness ❤❤❤❤

  • @InostmagoyoMagoyo
    @InostmagoyoMagoyo 9 місяців тому +3

    😢Moses hongera kijana

  • @RenatusYuda
    @RenatusYuda 11 днів тому

    Huyu jamaa anajuwa zaidi ya kujuwa msanii wangu pendwa, wasiomkubali Wana wivu tu. Mungu akutangulie kwa utunzi mzuri kwa Kila nyimbo zako.

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 9 місяців тому +4

    Wabeja tuko pamoja na JPM sitomsahau

  • @yovinampale4873
    @yovinampale4873 8 місяців тому

    Asante sana Kwa kazi nzuri sana.

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 9 місяців тому +2

    Magu uliniliza Sana baba huu wmbo umenkumbshbtena

  • @merryalone3618
    @merryalone3618 9 місяців тому +1

    Nyimbo zur sasa kaka

  • @jumamarco
    @jumamarco 9 місяців тому +3

    nimekuelewa sana mwanakang, wa

  • @emmanuelqyukwa8578
    @emmanuelqyukwa8578 7 місяців тому

    Uko juu ntemi , endelea kufanya zaidi kaka 🎉🎉🎉

  • @MKOLOSAIZENGO-o7f
    @MKOLOSAIZENGO-o7f 5 місяців тому

    Video nzuri sana umeipiga kisomi kaka hongera

  • @AlexandarBeatus-ee8iz
    @AlexandarBeatus-ee8iz 8 місяців тому +1

    Wewe na kisima ndo mnatuweka salama wa sukuma ,congratulations ntemi omabala

  • @madinamaleka
    @madinamaleka 6 місяців тому +2

    kaka kazi mzuri big up dir.madina apa

  • @alphonceehumba8907
    @alphonceehumba8907 7 місяців тому +1

    Sana mdogo wangu tulaga milimo❤❤❤

  • @SamaKisatu
    @SamaKisatu Місяць тому +1

    Iv kumbe watu huwa wanavipajia kabisa leo hii jamaa yangu unaimba ivi jaman hongera

  • @luhendenjile8240
    @luhendenjile8240 8 місяців тому

    Ntemi ni Ntemi Duhu Big up sana Fedu

  • @kachelengwa
    @kachelengwa 9 місяців тому +4

    Kazi nzur sana kakaangu

  • @biglionmsaficlassic6928
    @biglionmsaficlassic6928 9 місяців тому +4

    Audio video viko ok naiona ikifika mbali hii nyimbo mauwa Yako kaka🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 9 місяців тому +1

    Safi sana ng'wana kang'wwa😢

  • @sammymelkion
    @sammymelkion 9 місяців тому +3

    Dah!!! Bro hii ngoma + Kichupa ni 🔥🔥🔥

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 9 місяців тому +1

    Dah umetukimbusha machungu jaman😢😢😢

  • @maduhukisuja7237
    @maduhukisuja7237 9 місяців тому +3

    Ngoma kali na inavuta hisia sana. Hongera kaka kwa kutumia kipaji chako vizuri.

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola798 9 місяців тому +1

    Big sana, Ntemi omabala

  • @magrethezekiel6354
    @magrethezekiel6354 9 місяців тому +1

    Umewezaa kiukkwel

  • @NaomiGashule
    @NaomiGashule 6 місяців тому

    We kaka uko mzuri ivo unaimba nyimbo gani imba za dini

  • @mbwilo
    @mbwilo 9 місяців тому +1

    Umetisha

  • @WILLIAMJUMA-ow5zk
    @WILLIAMJUMA-ow5zk 9 місяців тому +5

    Umezidi kuuchoma moyo wa watanzania

  • @ShamimuRajab
    @ShamimuRajab 8 місяців тому +1

    Umetutonesha hagi bagosha shatona😢😢😢kulaga uhangame nyanda

  • @Amina-wc6zh
    @Amina-wc6zh Місяць тому

    kusma ukweli mie nakkubali sna mungu akupe maisha malefu nakubli nymbo zako muno

  • @joshuanjau3429
    @joshuanjau3429 9 місяців тому +7

    Nomaaaa sana kk

  • @ValentineNabwire
    @ValentineNabwire 6 місяців тому +1

    Wooow❤❤❤❤am akenyan but the song is so nice...naipenda jamani keep it up

  • @KachojiTz
    @KachojiTz 9 місяців тому +4

    😭😭😭😭😭 hii nyimbo umenitoa machozi

  • @ntuzuboy7342
    @ntuzuboy7342 9 місяців тому +2

    Umefanya vyema sana

  • @MasanjaSteve
    @MasanjaSteve 9 місяців тому +1

    Daah u made it bro

  • @AllyNyiga-wt1oi
    @AllyNyiga-wt1oi 9 місяців тому +5

    Nice song

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 9 місяців тому +4

    Daah umetumbusha 😢😢😢

  • @SaidTwaha-v4w
    @SaidTwaha-v4w 9 місяців тому +3

    May god reast in his soul😭😭

  • @user-jn2ud7pm5w
    @user-jn2ud7pm5w 9 місяців тому +1

    Congratulations 🎉

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 7 місяців тому

    Umenikumbusha Tanzania from dubai

  • @FaustineKawe
    @FaustineKawe 9 місяців тому +1

    mwamba unang'aa sana kwavideo za kisasa endele hivo hivo, sauti inakubali, video safi mapozi, mtafute kwanza mwana wa kanda ya ziwa utoe nae ngoma ili safari mpya ianze hado hado

    • @FaustineKawe
      @FaustineKawe 9 місяців тому +1

      mtafute best naso uanze naw safari mpya

  • @tinmkatoliki2374
    @tinmkatoliki2374 8 місяців тому +1

    Safi sana ngoma kali

  • @deusgamaya7763
    @deusgamaya7763 9 місяців тому +5

    unyama xana mtu wetu