woooow, this is very beautiful... watoto wazuri, wamejawa nuru, wamezungukwa na upendo!!! wamefanya vizuri sanaaaaaaaaaa, Mungu awainue in the name of Jesus, I am blessed!
Yaani huu wimbo naupenda sana na pia nimewapenda hawa watoto wameupendezesha zaidi wimbo huu. Vipaji vyao viko wazi kabisa, hongera Paul kazi zako ziko vizuri. Nafuatilia sana nyimbo zako.
Unajua nikikuangalia bwana Paulo Clement we ni mtu wa tofaut sana, watoto wanafanya cover ya nyimbo yako rakini unaonekana ni mtu wa fraha sana, MUNGU akuinue kaka YANGU, Hira mnapokua mnatupia video zenu toen maeleza mnavyo patikana vipaji vipo vingi sana mtahani
Powerful song; hata malaika mbinguni wamecheza; huu wimbo na energy yenu mlioitumia unabomoa ngome zote; kwa viongozi wasasa na wajao katika maeneo yote wakiutazama hawaishii tu kumsifu Mungu; pia wanajifunza leadership skills. Mbarikiwe sana.
Mungu uwafunike kwa damu yako takatifu vijana hawa ili wakue na kukutegemea wew kila saa kila wakati kila dakika na hata kila sekunde,Shetan yupo mawindoni wasije kengeuka, wamefanya vizuri sana imekuwa nzuri kwa jinsi walivyobena uhalisia wa ujumbe zaid hata ya ile orgnl Be blessed young singer's
Hakika kuna hak ya kujivunia kuwa na kristo ndani yetu awezae kufanya haya yote yye ni namba moja naitabak kuwa hivyo Mungu awabarik sana et huu wimbo kwangu kila siku nimpya::
Hey guys Aki God awabless 2 Sana yani hyo sng iko pouwa Sana mungu awape nguvu ya kuendelea na hicho kipaji yani mko poa hata cjui nsemeje acha God awabless 2
very nice madogo mpo juu.... Mr. PAUL kuza vipaji hivyo MUNGU akukumbe kazi yako ni njema saana .... FISHER RECORDs mmetulia music, sauti safii.... very nice nmependa kazi yenu
mungu akuongoze na kipaji chako ndugu yangu naupenda uo wimboooo duuuh na ulipokuja kuimba wewe umezidi kuupa nguvu sanaaa.na aloimba mungu ambarik sana.YESU NAMBA 1
Wooow 🙏🏽nabarikiwa Mwenyezi Mungu awasimamie Na mtumie Sauti kumuimbia naona kitu ndani yenu Hiyo Ni karama ambayo Kwa kwakupitia Sauti mtaweza kutoa mapepo Na kuponya kwasababu amewapa kipaji🙏🏽
Mungu awape neema kuzidi kutumika katika viwango vikubwa vya unyenyekevu...am more than blessed and touched with these anointed voices of these younger men. BLESSINGS.
ALIYETAZAMA HII NYIMBO 2019,gonga like hapa
Alphonce Haule haichoshi jmn
Na hawez kuchosha kuskiliza
Alphonce Haule 2020
September 2024 coming to watch this banger again YESU NAMBA MOJAAA 🔥🔥🔥
Aliyewatch hii nyimbo,,clouds baada ya maombi ya nchi yetu 17-19/04/2020,,gonga like milion,,corana dawa yake YESU tu,,
hakika
woooow, this is very beautiful... watoto wazuri, wamejawa nuru, wamezungukwa na upendo!!! wamefanya vizuri sanaaaaaaaaaa, Mungu awainue in the name of Jesus, I am blessed!
Grace Seth hjhihujjjuj
Grace Seth kabisa
Grace Seth watoto nzuri sana
Amina
kaswd
Akuna kitu chochote kinaweza tutenga na Mungu sisi ni namba moja watu wa 2024 mko wapi jamani
Likes hapa 2020 bado nabarikiwa na huu wimbo
2020🙏🙏💯💯 kama unasikiliza gonga like dogo anajua
Tusikilize ujumbe Mungu anapata utukufu hapa
Yaani huu wimbo naupenda sana na pia nimewapenda hawa watoto wameupendezesha zaidi wimbo huu. Vipaji vyao viko wazi kabisa, hongera Paul kazi zako ziko vizuri. Nafuatilia sana nyimbo zako.
2024 nimerudi kuitazama tena🙌❤️
Jaman ampenda hiyo dogo anajua
Unajua nikikuangalia bwana Paulo Clement we ni mtu wa tofaut sana, watoto wanafanya cover ya nyimbo yako rakini unaonekana ni mtu wa fraha sana, MUNGU akuinue kaka YANGU, Hira mnapokua mnatupia video zenu toen maeleza mnavyo patikana vipaji vipo vingi sana mtahani
Jamhuri Zacharia amen
Paul clement frh km zote
Mungu ni mwema
Penda sana Joshua na Gideon sichoki kutizama .stay blessed boys
Sasa hivi sijui wapo wapi Hawa watoto jaman, God bless them...happy for them❤
My son Mungu azid kukuinua G i love yuuu❤
Still watching 2020 gonga like
Yani hii ni zaidi ya zaidi! Nashindwa hata cha kuandika, haka kadogo kanajua kuremba nyimbo!
When God decides to use different ages to spread His word....Baraka tele Gideon ❤ and thank you Paul Clement for this beautiful song.....
Powerful song; hata malaika mbinguni wamecheza; huu wimbo na energy yenu mlioitumia unabomoa ngome zote; kwa viongozi wasasa na wajao katika maeneo yote wakiutazama hawaishii tu kumsifu Mungu; pia wanajifunza leadership skills. Mbarikiwe sana.
yan nakosa cha kusema jins walvyoubark moyo wangu hawa vjana Gideon na mwenzako,,,,I like this
Gidion aka JOTTA wa Tanzania. Sari sana na mtegemee Mungu utafikambali sana kama karama kweli umepewa
cjawahi kuchoka kusikiliza hii wimbo,wamemfunika mwenye wimbo saaaana...aiseeeeee
nzuri mno 💓💖ohhh!!!kids you gonna kill me for this song jaman.hapo mwishoni sasa uwiiiiiiii!!!!!
Duuu yan siku haipiti cjatazama wimbo huu na sichoki kuangalia nyimbo hii mana inanibariki Sana ,Mungu wa mbinguni awabariki Sana aisee
I’m so happy that you can use your angelic voices to glorify God! Love from Kenya 🤍 🇰🇪
Mungu uwafunike kwa damu yako takatifu vijana hawa ili wakue na kukutegemea wew kila saa kila wakati kila dakika na hata kila sekunde,Shetan yupo mawindoni wasije kengeuka, wamefanya vizuri sana imekuwa nzuri kwa jinsi walivyobena uhalisia wa ujumbe zaid hata ya ile orgnl
Be blessed young singer's
❤Amen
Nachagua hii kuwa ndo funga mwaka yangu.. This is beyond perfectness..
Zaidi yako hakuna.... Mungu wewe ni ALFA na OMEGA💯💯.... Blessed Brothers😇😇😘😘😍😍 Yeeeees YESU ni namba MOJA..... JESUS Over EVERYTHING💯💯
amen blessings
duuuuuh!! Mungu awainue viwango vngne asee
I’m waiting for this song to reach a million views. It deserves it!! Truly Jesus is #1 ❤️
Cjapata nyingine zaidi ya hii naipenda jamani mungu bariki izi toto aiseee.
Godfrey Mpokasye c,enfants ce shante beaucoup
JULIUS MKWIJI kwakwel mwili unasisimka kaka daaaah......big up kid
Dah!! I love it, is very amazing Mungu saidia Amen
No matter how many times I listen it just doesn't grow old love the voices
Same to me
Dàaàaaaaaaaaaaaaaaaah safi sana watoto wa Yesu Mungu awasaidie mnakitu mtafika mbali kama mtashikwa mkono amina
Very nice!!sichoki kuangalia hii video.
Kazi nzuri sana.
Am blessed with this kids.
Mungu azidi kuwatumia.
Mungu azidi kuwainua Gideon & Joshua, kazi nzuri
Mungu awabariki kwa kazi nzuri Gidion na Joshua. Fatweni nyao za kaka yenu Paul Clement
Huyu mtoto atakuwa tishio siku za usoni.....amini msiamini!!!!!!!!!
JACOB MALODA yani hadi sasa kashakuwa tishio! Akiimba mwili unanisisimka
This is powerful....@paul clement....this is Mentorship....May God bless you as you continue to lift the young generation....Godsblessings...
AMEN
JACOB MALODA naiwe hivyooooo
Thanks
Hakika kuna hak ya kujivunia kuwa na kristo ndani yetu awezae kufanya haya yote yye ni namba moja naitabak kuwa hivyo Mungu awabarik sana et huu wimbo kwangu kila siku nimpya::
Am not getting enough of this song..wow! God bless these amazing souls. Gidion and Joshua
Ee MUNGU mjalie mtoto wangu Vincent awe na kipaji km uyu.....nakupenda sana mtoto mzuri....mungu awaongoze
I never tired of watching this one.Ni nzuri mnooo.Asante sana Paul Clement kwa project nzuri.Be blessed.Nani yupo hapa May 2019?
4sure it's #1 jesus,,, & alpha na omega barikiwa xn jmn mbaka mleta raha yn mungu azidy kuwainua
This two boys have a great ministry in them, Paul i hope you will be their Destiny Helpers. Its 2020 and we are still watching.
Mungu awabariki sana kwa kumtangaza Bwana vzur hasa katka kpnd cha ujana...keep it Jo n uar young Gidii,Kaz yenu co bure mtalpwa
Utukufu na arudishiwe mmiliki,Mungu wetu ni mkuu🙏hyo ndio njia sahihi ya wokovu wenu watoto.
Ooooooh can't stop listening to this sweet song its givin me goose bumps Gideon mwaaah may the Lord richly bless u
Alex Gitau goose bumps all over me
what a talent!
Ak feel so smiling for this song it's so fantastic I lov u singers (happy happy ooh ooh ooooooh, Yesu no. Mojaaaaaaa
Huu wimbo hats niusikiloze kila siku hauchuji Yesu namba moja!
woooo tisha saana boy s moyo wangu umefunguka baada tu ya kuskia na kujiskia fureheshi
Yesu Namba moja,zaidi yake hakuna maana we Yesu ni Alfa and Omega
wimbo huu unanibariki sana.yaani haunichoshi kila mda nauangalia.well done gidion and joshua
Wow blessed kids. Napenda hii. Paul clement nature this kids wana huduma kubwa 🙏
Hey guys Aki God awabless 2 Sana yani hyo sng iko pouwa Sana mungu awape nguvu ya kuendelea na hicho kipaji yani mko poa hata cjui nsemeje acha God awabless 2
very nice madogo mpo juu.... Mr. PAUL kuza vipaji hivyo MUNGU akukumbe kazi yako ni njema saana .... FISHER RECORDs mmetulia music, sauti safii.... very nice nmependa kazi yenu
kupitia wimbo huu nimekua nabarikiwa sana na nimekua namkumbuka mungu kwa kila kitu..hakika yesu ni no moja
mungu akuongoze na kipaji chako ndugu yangu naupenda uo wimboooo duuuh na ulipokuja kuimba wewe umezidi kuupa nguvu sanaaa.na aloimba mungu ambarik sana.YESU NAMBA 1
naupenda sana huu wimbo nawapenda wote mungu alinde huduma zenu awalinde
Namuona pul anavyo enjoy na wanafunzi wake big up my young brother 🙏🙏💪
Wooow 🙏🏽nabarikiwa Mwenyezi Mungu awasimamie Na mtumie Sauti kumuimbia naona kitu ndani yenu Hiyo Ni karama ambayo Kwa kwakupitia Sauti mtaweza kutoa mapepo Na kuponya kwasababu amewapa kipaji🙏🏽
Be blessed ,nabarikiwa kuona watoto wanamtukuza Mungu,Mungu ni mwema
more good than original😍😍Please ubaki hukuhuku weye mutoto usiende bongofleva please. Mungu akulinde Ameni
Mungu awabariki watoto wazuri Mzidi kumtumikia yeye siku zote za maisha yenu
Daah hii cover sijawahi kuichoka sio tu kubarikiwa pekee bali na vibe nalo ni lakutoshaa 😇😇😇
Wow can't stop listening to this two boys...they are full of awesomeness
i Will born a son like Gideon in Jesus name
Dah kila nikiskiliza huu wimbo machozi lazima yanitoke. May God bless them beyond expectations
Huu wimbo ni mzuri sana umeboreshwa mpaka nabarikiwa hswa dogo ameitumia vizuri sauti aliopewa na Mwenyezi Mungu Mbarikiwe sana
Yesu wew namba moja,
Nikiomba mkate huwez nipa jiwe,
Nikiomba samak huwez nipa Nyoka,
Oooo ooh oooh
love u boys,
be blessed.
Hakika MUNGU hatoacha kujizihilisha kwa watumishi wake lov it and big my young brother from another mother
nawapataje hawa vijana naomba majibu yenu jamani hata nikiwa meneja wao tufanye kazi kwa kweli naomba majibu
We mtoto unakipaji Mungu akufikishe mbali kwenye huduma yako
Uwiiii Paul usimwache huyu mtt aisee ,Mungu azidi kuwainua,yan anaimba unaona kabsa usoni yuko na furaha.May God bless You for his work aise😘👏🏻👏🏻👏🏻
Naupenda huu wimbo mnoo. ❤❤❤
Mungu azidi kuwabariki watoto na hii huduma hakika mmejua kupollute mind yangu...haipiti Siku cjaskiliza huu wimbo..hakika mbali mtafika.
Awesome duo...May God bless and Increase them.......@Paul Clement- You have awesome disciples there....
Very very nice Paul Clement your songs blessed me may God be bless you bro keep going on
barikiwa jaman wimbo unanibariki sana kila siku lazima niuwangalie Paul Mungu akuinue ktk viwango vya juuu
Wow....what a remix...I love it esp.the other tall guy,but Gideon is cool too.
Woohoo!!!! It's better xong niceee i believe that Matafikaaa mbali xanah love u
Khaaa!! huyu dogo anaimba sana mnaweza mkamtumia mkafanya makubwa mno! muda ndo huohuo alionao
Big up sana hawa watoto Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya kiutumishi maani wako vizuri balaa!!!!!!!!
Paul Clement you are such a good mentor. Kudos to you
Mwimbaji na nusu huyo dogo...big up Sana😘😘😘
Yaan nikiitazama hii nyimbo machozi yananitoka kwa furaha
This one sinks deeper than the original..
Wooow wooow wooow
Naenjoy sanaaa much lop nyie😘😘😘😍
aaaaah wewe stay blessed wadogo zangu ni mnajua for sure nmesisimuka jinsi mlivyo bariki nafsi yangu..
paul clement, kuddos kwako kaka. i have played this song a million times. cant get tired of this jam.
Clement we love the original but this talent you growing is just awesome be blessed
Waooooh...my youngest brother God bless your...love u so much
Ama kweli Yesu ndiye number moja. Talented guys, and the rifts and runs kwanza the older one vocals on point.
Nimemuona dogo Josh Cleopa, Keep it up God is smiling the BIG smile aisee
Madogo wamerelax ...unakitu cha kuchota toka kwao Relaxation very fundamental
Paul wewe ni mtumishi aisee!! ni daraja kwa wengine!! big up to you and hawa watotoo
Duh, Mungu ni mwema sana, kazi nzuri sana, mbarikiwe Joshua na Gedion..huu ni wakati wenu
yan hawa watoto wamenifurahisha na kunibariki saaaaaana, Mungu azid kuwatumia
Wow wow so amazing kids I can't wait to watch this song so talented may God bless you. Nawapenda sana
tukuze vipaji.. big up #Paul Clement, big up #Fisher
wakumuimbia Mungu wapo wengi sana.
Napenda wanapombeba huyo dogo, wana kipaji, MUNGU awainue zaidi
hahahah that was amaizing....yan josh unaimba kwa kutulia sana...kijana kaniacha hoi alivobebwa kuimba Mungu awainue sana mpk mshangae
U guys r amazing u hav angelic voices big up Gideon😘😘wid Joshua 😍😍
Mungu awape neema kuzidi kutumika katika viwango vikubwa vya unyenyekevu...am more than blessed and touched with these anointed voices of these younger men.
BLESSINGS.
amazing
I love it..be blessed kids