MGAMBO ARUSHA ADAIWA KUMSHUSHA MTOTO KWENYE BASI NA KUMBAKA, APIGWA HADI KUZIMIA "DAMU ZIMETOKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 194

  • @WizzyVancy
    @WizzyVancy Місяць тому +14

    Wazazi wa Huyo mtoto pia wakamatwe mtoto huyo ilitakiwa awe shule

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Місяць тому +23

    Kwanza kabisa wazazi wanaruhusu mtoto wa miaka kumi kwenda kufanya kazi,pili huyu kijana alawitiwe na afungwe maisha

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt Місяць тому +3

      Kabisa mtoto wa miaka kumi Asghafirullah

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u Місяць тому +3

      ​@@SalmanMughal-lq5lt Mtoto wa miaka 10 ni mtoto ambaye hawezi hata kufua. Ataweza kufanya kazi za ndani kweli?? 😢😢 Ona Sasa mtoto kavubuliwa na huyo jini mgambo

    • @foodbasiccourt2028
      @foodbasiccourt2028 Місяць тому +1

      Hujawahi pigwa na maisha

    • @edwinamos9734
      @edwinamos9734 Місяць тому +1

      Una maana gani?

    • @sarahkwamboka8190
      @sarahkwamboka8190 Місяць тому

      Kulawitiwa tena ama unaamanisha kuhasiwa?

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Місяць тому +5

    Hongereni sn wananchi mngeliuwa kabisa.Pole mtoto.

  • @morinerwehumbiza2408
    @morinerwehumbiza2408 Місяць тому +3

    Mungu wangu, mpaka machozi yamenitoka. Dunia imeharibika sana. Wanawake walindeni watoto wenu, kuna watu ni wanyama kabisa. Huyo mgambo afungwe kifungo cha maisha, sheria ichukue mkondo wake, haki itendeke. Huo ni ukatili uliopitiliza.
    Alafu mbaya zaidi alikuwa anampiga makofi ili akae kimya. Wangempiga mpaka auwawe kabisa, iwe fundisho wengine wenye tabia za kikatili namna hiyo.

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 Місяць тому +13

    Jamaniii 😢😢😢 Dunia sijui inaelekea wap 😭

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Місяць тому +7

    Arusha kunaongoza kwa majanga nchi nzima

  • @MaryJasely
    @MaryJasely Місяць тому +5

    😭😭🙆 mweeee umasikini mbaya mungu tusaidie

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f 29 днів тому +1

    Jamani hilitatizo litakua nikubwa lifanyiwe uchuzi huwenda kwamtindo huu wapo watoto wengi wanasafilishwa sehemu mbali mbali kufanya kazi ilisha tokea mtoto kaokolewa na polic hajui anako kwenda kabadilishwa gari analia watu wema wakatoa taarfa sasa magar yamikoani yasachiwe huwenda kirasiku watoto wanakabiziwa watu wasiokuwa nauchungu nao hadi litakapo wakuta😢

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 27 днів тому

    Jamaniiii, MUNGU atulindie watoto wetu.

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Місяць тому

    Subhanallah 😢mbon bint mdogo hivyo afu huo muhuni apewe kichapo tena mpuuzi huo 😢😢Maskini 😢😢

  • @EmilianJoseph-u5b
    @EmilianJoseph-u5b Місяць тому +11

    Kwan kisheria haifai huyo jamaa akibakwa😢

  • @aishayeahhasan7379
    @aishayeahhasan7379 29 днів тому

    😢😢😢Yaarabi angalia hiz roho za wanaume mashetani

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m 29 днів тому

    🎉huyo mngemhasi tu na kumpeleka polisi

  • @KijahTimoth
    @KijahTimoth Місяць тому +8

    Mungu atusaidie Dunia imeharibika sana

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e Місяць тому +8

    Iv wazazi wenzangu hamna uchungu unamsafrisha mtto akafanye Kaz kweri mtto mdgo warai

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda Місяць тому +1

    Uwiiiii mungu tusaidie waja wako nini hiki kinattokea kila siku UYO angwe tafutiwa makomando wakambaka nae akahisi ni maumivu gani yalio mpata binti UYO subhanallah😢😢

    • @JoshuaAizack
      @JoshuaAizack Місяць тому

      Makomando ndio wabakaji eee!!???

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 Місяць тому +8

    Innalillahi wainnailayhi rajiuun 😢😢😢

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs Місяць тому

    Kosa ni lawazazi jamn miaka kumi akafanye kazi kweli jamn wazazi au walezi kweli mmekosea sana

  • @verombwambo3703
    @verombwambo3703 Місяць тому

    Jmn hivi kweli wazazi huruma zimeenda wapi miaka kumi unamsafirisha mtoto kuwa kijakaxi kweli😢😢😢😢😢😢😢

  • @neemajoseph6397
    @neemajoseph6397 29 днів тому

    Ila wanaume mtoto wa miaka kumi kweli 😭wangemuua tu kwakweli

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 26 днів тому

    Mm mtu akinibakia mwangu ajinyonge mana sitokaa sawa kama namm sija mbaka

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Місяць тому +4

    Uyo mbwaa mngemuuwaa mnamuachajee aseee ningakua hapo bas tuuu mmeniangusha sanaaa

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel 27 днів тому

    Amedharirishsa taasisi,anatabia mbaya sana

  • @AminaKidare
    @AminaKidare Місяць тому +2

    wazazi tuwe na huruma na watoto wetu jmn , hv mtoto wa miaka kumi anafanyaje kazi za ndani huu ni ukatili , mi naona wazazi wake ndo chanzo cha yote haya

  • @20topbestintheworld91
    @20topbestintheworld91 Місяць тому +3

    Miaka 30 hiyooooo😢😢

  • @vero57
    @vero57 Місяць тому +4

    Watu wazima wamejaa tele hata wa bure, kwanini umebaka mtoto wa watu!??? Alafu eti ni askari!!!

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 29 днів тому

    Mhhhhhhhhh mbona kama Tanzania kama laana zimejaa sana ombeni sana sana 😢

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Місяць тому

    Hongera kaka webaba mwema barikiwa sana

  • @mwanas2
    @mwanas2 Місяць тому +3

    Kwanini meruhusu mtoto kuondoka haki ingetakiwa kuchukuliwa kesi ifunguliwe mbwa uyo afungwe kabisa.

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 Місяць тому

    Daah!, hili jambo ni la ajabu na hovyo mno serikali ichukue hatua kali sana kwa huyo kijana. Imeniuma sana.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Місяць тому

    HUYO NI MWONGO ALIJIFANYA AMEZIMIA WANGEMUUWA TUU HUYO BABA HUYO AMEZOEA HVY VITENDO. AFUNGWE MAISHA MSHENZI SANA. NA MZAZI WA MTOTO AKAMATWE

  • @JujuGurugu04
    @JujuGurugu04 25 днів тому

    Wazazi wakamatwe sukuma ndani mbwa izo

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Місяць тому +1

    Hongera basi la kandahar staff na arusha stend nyie ni wazazi

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 Місяць тому

    Tatizo nimoja tuuu damu zinazo toka Arusha ninyingi sana kwahiyo xitawatafuna ushakuwa mkoa wa kishetani shetani kwani raisi wenu ni Samia au kuna raisi mwengine 😭😭😭

    • @vaikaayagadiel520
      @vaikaayagadiel520 Місяць тому

      Nayafuta maneno yako kwa damu ya Yesu Kristo, Arusha ni mkoa wa amani Yesu ndie mfalme hapa

  • @lucybundala6435
    @lucybundala6435 Місяць тому +1

    Mungu tulinde sis wanawake na watoto wetu peke yetu hatuwez

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 14 днів тому

    kwa nn msingemuua kabisa mana ni jambo baya sana hili.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u Місяць тому

    Mgambo wanaaminiwa sana na CCM sasa si watoke kukemea hili au.

  • @ShaniUrembo
    @ShaniUrembo Місяць тому

    Mungu tunusuru 😭😭😭 tulindie watt wetu

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 26 днів тому

    Skuiz bora mtu akibaka akikamatwa kwenye tukio nayy afichwe abakwe

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 29 днів тому

    Jamani mbona kila siku arusha huu mkoa una shida gani au unalaana ya Mungu hebu tuwaombeeni

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija Місяць тому +5

    uweni kabisa pigeni mpaka afe hawa wanaume ni kama wamelaaniwa shenzi

    • @MalaikaBright-rv6yb
      @MalaikaBright-rv6yb Місяць тому

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢kwanini hawajamuuaaaaaaaaaaa dahhhh

  • @HappyElias-t9f
    @HappyElias-t9f Місяць тому

    Wazazi, na walioruhusu kumuhangaisha mtoto wakamatwe na adhabu Kali itolewe 😢

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 Місяць тому +1

    Polisi ihakikishe mtoto huyo anapimwa vizuri, vipimo vya DNA ya uchafu alioachiwa na Mtuhumiwa wa mbakaji. Sheria ifuate mkondo wake, ili haki itendeke kila mmoja.
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @TeclaMarco
    @TeclaMarco Місяць тому

    Hata sijaelewa sijui ninatatizo la ajili🤔🤯

  • @KambaleJux
    @KambaleJux Місяць тому

    Na wazazi wa huyo mutoto wakamatwe huyo mutoto alikua anasitahili awe shuleni

  • @jamilally3916
    @jamilally3916 Місяць тому +3

    arusha apana kwakweli ila uyoama mtoto wako wa miaka 10 unampeleka kufanya kz za ndani nn hiki kmn😭😭

    • @AROLATWINA
      @AROLATWINA Місяць тому

      Kwetu wasukuma kidogo anakua tayari kashamudu kufanya kazi za apa na pale,japo hatupendi ila maisha pia na matumbo ndo yanatusukuma kuliruhusu hilo.
      Naamin hakujua pia kama lingemkuta mwanae😢😢

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 29 днів тому

    Afikishwe mahakamani sheria imshughurikie

  • @barakapaul6685
    @barakapaul6685 Місяць тому

    Dah wazazi njaa zitatuua sasa, mtoto wa 10 yrs awatafutie 😢

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому +2

    Duuh mungu wangu miaka kumi kwan huko grita wako na akili kweli mungu wangu

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db Місяць тому

    Jaman Arusha kwa matukio mmh inasikitisha pole sana mtoto

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 Місяць тому +1

    Jamaniiii jamaniiiii wazazi mna nini lakini mtoto wa miaka kumi kwenda kufanya kazi za ndaniii jamaniiii uwiiiii ona mtoto alichofanyiwa sasa shida zisitufanye tukawatowa watoto wetu sadaka tupambane mpaka mwisho Kwa ajili ya watoto wetu

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 Місяць тому +1

      Watu wamekuwa wavivu hawataki kufanya kazi, ngono wanafanya, watoto wanazaa ila hawataki kuwajibika kulea watoto ...inauma sana

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Місяць тому +2

    Kamebakwa bado kupigwa,hao waxaxi wake ni mbwa utampaje mtu mtoto mdogo kwa ajili ya kaxi xa ndani? Wananchi mngeuwa kabisa,likafie jela.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Місяць тому

      Ukute ni yatima siunajua mwenye uchungu juu ya mtoto ni mzazi tu so hatuwezi jua inaumiza sana

  • @antonywanjiru4971
    @antonywanjiru4971 29 днів тому

    Huyo jambazi aliemlawiti huo mtoto mnyofoeni sehemu za siri na wazazi wa mtoto wachukuliwe hatua za kisheria.

  • @MarryG-p9d
    @MarryG-p9d Місяць тому +1

    Ee mwenyez mungu naomba uwalinde watt we2.

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 Місяць тому

    Umafia mwingi tanzania,mwenyezimungu utulinde,sote

  • @ZawadiHemedi-c5d
    @ZawadiHemedi-c5d 28 днів тому

    Duh 😢

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba Місяць тому

    Upelelezi ufanywe kwa watoto wa nyumbani, sijui kama wako salama😭

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo Місяць тому

    Aiusha ilitakiwa iwe kenya mana nimagaidi

  • @graciousakida3811
    @graciousakida3811 Місяць тому +6

    Arusha kunani palee.......

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Місяць тому

      Free mason kama wote Arusha uovu umekua mwingi

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 Місяць тому +10

    Hivi mama una mruhusu vp mtoto mdogo wa miaka 10 akafanye kazi za ndan jaman umri wa mwanangu kabisa 😢 hee kweli kuna wazazi makatili

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 Місяць тому +5

      umasikini ukiwa umekuganda hadi kwa mwili ndugu yangu, na pia ukute mama haja taka ila baba kataka , au ukute mama na yeye ali olewa akiwa mdogo sasa anaona hakuna tatizo. tusiwe wepesi wa kutoa hukumu kabla ya kujua undani,

    • @AROLATWINA
      @AROLATWINA Місяць тому +1

      Ni katika utaftaj mpenzi,hakujua kama hilo lingemkuta mwanae😢

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 Місяць тому +1

      Ogopa, Ogopa Umaskini........Umaskini Kuna muda unakula mpaka akili 😢😢😢

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s Місяць тому

    Arusha marez ya watoto hakuna ndo maana ayo yote

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 Місяць тому

    Alaumiwe nani ? Wazazi wa binti? Mtu alomleta? Alieagiza? Aliembaka? Au tulaumu serikali kwa kuruhusu binti mdogo kusafiri toka mwanza hadi Arusha bila wazazi? Dah! Wanaume mmekuwa wanyama sana kwa mabinti zetu, jamani ni mtoto wa miaka 9!! Mungu awalinde mabinti zeru

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 Місяць тому

    Duuh 😢 MUNGU tusaidie

  • @AishaDauban
    @AishaDauban 22 дні тому

    Yaan ningea mm ndo rais wallh haw nikuwaua tu

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 Місяць тому +4

    Wanaume sijui wanakosa pesa ya kutongozea 😂😂😂😂

  • @AsaphAroko
    @AsaphAroko Місяць тому +2

    Arusha Kuna mambo.

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Місяць тому

    Arusha jehanamu ndogo aisee

  • @Iam_fadheel
    @Iam_fadheel Місяць тому +1

    Daaah huyo jamaa alaniwe

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi 27 днів тому

    Huyo mbwa c mngemuua tu mbwa nae wa kumuacha

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 Місяць тому

    Hakika hiki ni kizazi cha nyoka duh!!!

  • @coldkiller-7
    @coldkiller-7 Місяць тому +1

    Kwanini nyinyi wazazi mnamtuma mtoto mdogo kiasi hicho aje kufanyakazi?haya sasa haya ndio matokeo yake,acheni njaa wazazi mtoto anahitaji nyie ndi mumlee

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 Місяць тому

    Wangemuuwakabisa kama kuendelea kubaka akabakie. Makaburini uko Yani apo. Mngemaliza Tu iyoshidayakubaka

  • @KambaleJux
    @KambaleJux Місяць тому

    Huyo alikua anasitahili kifugo cha maisha

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 Місяць тому

    Subuhhallaah 😢jaman

  • @winifridamateru1098
    @winifridamateru1098 Місяць тому

    😭😭😭😭jamani binadamu sisi kwann hivi lakini

  • @thomasmorris4779
    @thomasmorris4779 Місяць тому

    WAZAZI WA HUYO MTOTO WOTE WAUNGANISHWE KESI MOJA.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Місяць тому +1

    Mngliulia mbali lishenzi likubwa ,Mngelivuunja hta miguu.

  • @BizzBoy-g9k
    @BizzBoy-g9k 25 днів тому

    Sio uchafu sema shahawa au mbegu.

  • @foodbasiccourt2028
    @foodbasiccourt2028 Місяць тому +1

    Hivi wanaume mnamapepp gani

  • @marthaaugustinokimilike4228
    @marthaaugustinokimilike4228 Місяць тому +1

    Sijazaa ila yaumiza ata kuskiliza😢

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Місяць тому

    Africa bado tunafanya masihara na usalama wa watu alafu cha ajabu huyo muhalifu eti kapewa dhamana 😭😭😭

  • @PaulChalo-i7b
    @PaulChalo-i7b Місяць тому +3

    Afungwe maisha

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 Місяць тому +3

    Siku hizi kuna wazazi tu, walezi walishaisha

  • @HidayaMohammed-i8l
    @HidayaMohammed-i8l Місяць тому

    Kwan hana mke jaman😢😢😢

  • @NelsonBrydon
    @NelsonBrydon Місяць тому

    Wazazi mtto Bado mdogo anatakiwa shule munapeleka akafanyekazi sisawa

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 Місяць тому +1

    Nitawalaumu kama huyu mgambo hamjamuua, mngemchinja hadharani

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f Місяць тому +1

    Munguwangu mtt wa watu

  • @BlessMbogela
    @BlessMbogela Місяць тому +1

    Bora ungepiga mpaka mkaua mshenzi Sana huyo mgambo

  • @witnesssabato5457
    @witnesssabato5457 Місяць тому

    Mh amembaka kinyume na maumbile tena? 🤢🤢🤢

  • @annafredinandmatandiko8438
    @annafredinandmatandiko8438 Місяць тому

    Yaan wanaume mnashida gani lakini 😢😢

  • @vero57
    @vero57 Місяць тому +3

    Mama uliye mrudisha kwa sababu ya mdogo, kafanya vizuri. Askari mgambo una bakaa unatatizo gani wewe!!????? ,

  • @EmilianJoseph-u5b
    @EmilianJoseph-u5b Місяць тому +6

    Arusha jmn🙆😭😭

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Місяць тому +1

    Dah! Dunia imefkia pabaya san hyo jamaa niwakuuwawa tu

  • @KhamisFeysal
    @KhamisFeysal Місяць тому

    Arusha kuna matokeyo weee

  • @violettemitchel6772
    @violettemitchel6772 Місяць тому

    Angekatwa uchi....kabla ya mengine

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Місяць тому

    Uwiii naogopa jamani

  • @Chaz-c9w
    @Chaz-c9w Місяць тому +1

    Huyo mgambo alikua anatakiwa auawe

  • @HappynesdidasShirima
    @HappynesdidasShirima Місяць тому +1

    Duh !!Ni huzuni

  • @abdullahwaziri5499
    @abdullahwaziri5499 Місяць тому

    Arusha mnatuangusha sna sasa amebaka mtoto mdogo si mngemtunisha tuu

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows Місяць тому

    Ushetani tu