Shughuli ya kutafuta miili inaendelea Mathare

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 кві 2024
  • Shughuli ya kutafuta miili katika eneo la Mathare jijini Nairobi ziliingia siku ya tatu hii leo, huku familia zaidi zikiripoti kutoweka kwa jamaa zao. Haya ni huku zaidi ya familia 300, zilizoathiriwa na mafuriko katika eneo la Kiamaiko zikisitiriwa katika shule ya msingi ya Valley Bridge

КОМЕНТАРІ • 9

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 11 днів тому +2

    Hakika Mungu anataka tumrudie haya maafa kila kuchao wakenya ya tupasa tutubu zaidi 😢🧎🏽‍♀️

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 11 днів тому +2

    😢😢😢😢inauzinisha sana poleni sanaa

  • @hawaaaidarus7046
    @hawaaaidarus7046 11 днів тому

    Poleni,

  • @hillaryngeno310
    @hillaryngeno310 11 днів тому +1

    Landlord anataka pesa ...gani na watu wameathirika huyo landlord ache upuzi

  • @gww-px8vc
    @gww-px8vc 11 днів тому +1

    Imajin trying to rinse a matress 😪😭 sad indeed

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 11 днів тому +1

    😢😢😢

  • @morineopana8991
    @morineopana8991 11 днів тому

    Uyo landlord aache bangi

  • @justinebosire9804
    @justinebosire9804 11 днів тому

    uyu anaitwa pesa si yeye n pesa ama.

  • @ivoneatieno8731
    @ivoneatieno8731 11 днів тому

    😢😢😢