Rais William Ruto aagiza shule zifunguliwe tarehe 13 mwezi huu
Вставка
- Опубліковано 7 тра 2024
- Rais William Ruto Ameagiza Kuwa Shule Zifunguliwe Tarehe 13 Mwezi Huu. Rais Amesema Uamuzi Huo Umearifiwa Na Utabiri Wa Hali Ya Anga Ambao Unabashiri Kuwa Mvua Inazidi Kupungua. Aidha Rais Amesema Kuwa Ukarabati Wa Shule Na Miundomsingi Iliyoharibiwa Utafadhiliwa Na Fedha Za Hazina Ya Ng-Cdf.
Aii bana si atleast tungekaa hadi next month
Rudini mnabo
Angengoja mvua iishe kabisa, barabara zikauke ndio shule zifunguliwe. Hii haraka na madereva wetu vile wanaweka pesa mbele kuliko maisha, Mungu atuhurumie na ahifadhi maisha ya wazazi na watoto wetu. Matajiri hawaelewi shida za maskini. Hiyo elfu kumi ndio rent, chakula, mavazi, school fees etc
😮 noted
Kabsaaaa!
Akona kichwa mbaya huyu
Alright
Na fees tulikula😂😂😂
😅😅😅 wacha kunichekesha
Eeh peleke mtoto wake