Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kweli Boss Mchawi anahaki ya Kutisha yaani kazaliwa Mara Mbili Iringa Na Dar, hapo lazima Kudundia Pua ukikutana nae 😁😁😁 Anyway 💪✌️🏃
Kkkk ata mimi nimepagawa nilivyomsikia hizo kalamu
😂😂😂😂
@@arafathswaleh 😁😁😁😁🙌🙌🙌
@@mwanahamisiswedi3093 😁😁😁😁🙌🙌🏃🏃
😂😂😂😂😂😂nimecheka sana
Mashaallah kumbe uko n jina Zuri Boss mchawi❤❤ nmelpenda jina lako Yussuf
Kaka unaweza sana ila unatisha sana usiombe uangalie usiku halafu usahau kuomba du'a wee balaa bluuu😂😂💐🇹🇿peperusha baba dunia yote wakujue🔥
😂😂😂😂😂😂
@@damesabundiko4066 🤣🤣 yalinikutaaa🙌
@@GfgGgh-v5z 😂😂😂nimecheka kifala Sana leo nikidhani ni mm pekeangu kumbe ninawendzangu
❤❤
@@damesabundiko4066 ahahaha tupo wengi🙌🙌
Kumbe handsome boss mchawi...
Kumbe boss ndo muhandsome hvi🥰
Plz tutolee Season ya pili ''BOSS MCHAWI''.imekaa sana.kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunawapenda sana pya tunakubali kazi yako.
Jamaa namkubali huyu Allah awajalie ndungu pamoja na rk,, big up from kenya
Boss unatisha but ataivyo hiyo filamu tamu sana nataka hiyo ya worng house ukuje ikiwa ya masaa matatu yani full movie
Yani Hilo jina la boss mchawi lakupendeza😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
😅😅😅
Mashallah kumbe sheikh jmani boss mchawi daaa handsome u look so mwah
Mola akuzidishie nguvu na utulivu katika kazi yako safi Mr Yusuf n Mr Rk pamoja n nyote mnaoshirirkiana na CHINGA media🙏
nimekukubali sana boss muchawi
freshi kabisa!!!! mwambie wamalize hiyo movie ya BOSS MCHAWI... kindly... mnatueeka hamu sana!!!
Yan me siamin kama kweli unaigiza coz hii ipo kama seriously ❤
Nampenda Sana ako power kwenye movie 🇰🇪🇰🇪
Yusufu upo vizuri
Mimi nko in love with him tangu nianze Kuona movie zake mwambie Nampenda sana❤❤❤❤❤❤
🎉
Wee Bana unamuonea Sana RK bt mh nakuogopa wee acha tu
Boss mchawi kafanan n harmonize ... 😊😊 Msiseme hamjaona 😂😂nwei leteni season 2 Sasa.........🎉🎉
Nakukubali sana coz unaweza kwa Kila kitengo
Jamani kwakweli mimi nakuogopa sana bosi ila kiukweli nakupenda san ❤❤❤❤❤❤😮
Harmonize look alike
Doh kumbe Yusuph Yuko handsome kinyama❤..mh sitamwogopa tena,,I say anaweza sana kaka 😂
Ebwana season 2 vp
❤❤amependeza boss mchawi mwenyewe ila whong house ile shingo unavyofanya uumii lakini ila unafanya vizuri sanaaa
Kutoka nairobi Kaka nakubali kazi sako
Tafadhali naomba kujua kama kuna season 2 ya wrong house same to Siri ya huba Na boss mchawi 🙏🙏Currently I'm so idle
Ningependa kutowa pongezi kwa R.K na Boss mchawi kwakuwa wanaifanya tamthilia hii kwa akili nyingi
Mashallh Mungu akuhifadhi kaka vazi lako limekujubali km Jina lako mashallh usiache vazi hilo
Hannington hapa kutoka Nairob naipenda filamu ya boss muchawi😅😅 ❤❤
Watching from Kenya,boss kazi nzuri keep pushing
Boss mchaw huyu kaka n noma mpaka waweza his n mchaw kweli
Haki mm nakugopa pale kwenye wrong House,, walai unatisha Hadi nikikutana na wewe natoka mbio
❤❤❤❤kwli role yko umeplay vyema ila hta mm nakuogopa anyway
Unaweza sana boss
Kutoka Kenya nakubali kazi zako
Huyu jamaa ni noma sana
Muna weza sana. Nawafata zaidi ya sana. I'm Vuyambite ezechias from Beni in DRC contry
am so happy but you con'd use English but i love you about your movies 🥰😘
Boss mchawi umetisha sana kwenye Ile movi
Mwambiyeni huyo BOSS MCHAWI alete season 2 🙌🙌
Kaka unaweza bana yaan big up sana mkuu
Kazi yako ya boss mchawi movie hatari sana
Appreciate you more ma brother 🫡
Yousuf unajina zuri na waweye mzuri ila umenitisha kuwa mcwawi🇧🇮
Mash Allah this movie is a great one, but sometimes the brightness quality is low, watching from Ghana 😊❤
Brother Kaz nzur sana
Napenda Sana movie zako ila nakuogopa inatosha sana
Umetisha boss mchaw
Akk Boss hongera
aki siamini kama ni wewe kaka yangu🎉🎉🎉😢😢😢❤
Umetisha Sana we ninoma❤
Mtangazaji Ushaolewa?
Mzaliwa wa iringa aliyezaliw daresalam😂😂
Nyumbani iringa😂😂ila kazaliwa dar 😅😅
Sio poa
😂😂😂
Jaman mim hiyo boss mchawi cijaifatilia hivi ni nzuri kweli auMana nishazoea kuwaangalia kina clam vevo
Hutojutia bando lako ni nzuri
Iko vizuri sana
Bonge la movie
zaidi ya clam vevo
Pia wrong house Iko pow samq
Kutoka kenya twakukubali sana c ukam kenya tuondoe rais wetu
Utasema harmonize😂😂😂😂😂
N❤❤❤❤❤ mwambie
Napenda iyo gipind. Chako saaaan
Unafaa zaidi ya sana
Kumbe ni mzuri ivi
Yusuf kumbe ww n handsome n venye unafanya Kaa Babu kishoka n boss mchawi unatisha sana
Aah mnyarukolo,
Huyu mwamba anajuwa sana na anatisha kweli❤😂🎉
yaan kazaliwa iringa pia kazaliwa dar kweli anahaki yakutisha😂😂
Ndugu wa harmonize au????
Ak tunadai movie ya boss mwachawi next episode
Huyu jamaa kumbe n real😂😂😂
Duuuh macho yanaogopesha
Mi mwenyew nliiangalia usiku wee nliota ndoto nko mabaharin uko wee naiogopa pia mm😢
Wamalizie box mchawi Ile iishe ndo walete move nyingne
Hata mm nimekuwa naogopa sana mtu akijifanya ananijua tangu niione boss mchawi nakuja ndo ealewale
Hawa kiufupi2 uigizaji wanaweza na sana wanatumia akili nyingi sana katika movie zao.
Sauti nzuri❤❤❤❤
Show zake ni kali namtambua kinoma
Leo kapendez Hila hiko kiteng walichomuwek ktk wrong house hanakiwez duh duh si mchez
Mimi mwenyewe namuogopa huyu jamaa aisee
Nikikutana na huyu jamaa njian ntakimbia kama kichaa
Jmn mm nimwandishi mzuri sana wa move story wish kupata chane na kuigiza pia niko poa plz nitaanzaje na mm ntaman kufanya kazi na wew
lazima ujilipue
Unatisha sana
watoto wakikuona wanatoroka😅😅😅
Umetisha bab
Rong house episode 15 ilikwamia wapi tuikujie 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yusuf au boss mchawi umeitendea vyema nafasi yako.... Itafika mbali
Jina ya bos muchawi inakustahili😂😂😂
Yusufukumbewenimwislamu sija amanivazi nagisimiminimeku elewa😂😂😂😂usikusiwezikulalanawe wenyumbamojahatakamamama nababa wakosiwezi ila unaweza
Kama kweli vile unatisha kaka
Jamani na mimi naweza kuigiza na napenda naombeni nafasi
Weee naishi kuogopa kaka 😂😂😂
Hilo shoka wuueh
kaka yangu una Tisha waaaa
Iringa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tupo na sisi kwenye tasnia ya uigizaji
Wee ni mchawi kweli😮😅
Kweli kabisa 😊
Mimi hata nikutane na wewe siwez kusalimia 😆😂😂 apanaa wewe
🎉🎉🎉
Hugo ataliwa
Mh kama sie vile ila mumependeza mavazi yenu boss mchawi namptangazaji
Tatizo hawatumalizii michezo yao michezo yenu mizuri cn lkn mnatuacha na utamu hamumalizii vipande vya mwisho
Rada n episode 23 season2
Mimi hata nikimuona nakimbia
Kweli Boss Mchawi anahaki ya Kutisha yaani kazaliwa Mara Mbili Iringa Na Dar, hapo lazima Kudundia Pua ukikutana nae 😁😁😁 Anyway 💪✌️🏃
Kkkk ata mimi nimepagawa nilivyomsikia hizo kalamu
😂😂😂😂
@@arafathswaleh 😁😁😁😁🙌🙌🙌
@@mwanahamisiswedi3093 😁😁😁😁🙌🙌🏃🏃
😂😂😂😂😂😂nimecheka sana
Mashaallah kumbe uko n jina Zuri Boss mchawi❤❤ nmelpenda jina lako Yussuf
Kaka unaweza sana ila unatisha sana usiombe uangalie usiku halafu usahau kuomba du'a wee balaa bluuu😂😂💐🇹🇿peperusha baba dunia yote wakujue🔥
😂😂😂😂😂😂
@@damesabundiko4066 🤣🤣 yalinikutaaa🙌
@@GfgGgh-v5z 😂😂😂nimecheka kifala Sana leo nikidhani ni mm pekeangu kumbe ninawendzangu
❤❤
@@damesabundiko4066 ahahaha tupo wengi🙌🙌
Kumbe handsome boss mchawi...
Kumbe boss ndo muhandsome hvi🥰
Plz tutolee Season ya pili ''BOSS MCHAWI''.imekaa sana.kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunawapenda sana pya tunakubali kazi yako.
Jamaa namkubali huyu Allah awajalie ndungu pamoja na rk,, big up from kenya
Boss unatisha but ataivyo hiyo filamu tamu sana nataka hiyo ya worng house ukuje ikiwa ya masaa matatu yani full movie
Yani Hilo jina la boss mchawi lakupendeza😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
😅😅😅
Mashallah kumbe sheikh jmani boss mchawi daaa handsome u look so mwah
Mola akuzidishie nguvu na utulivu katika kazi yako safi Mr Yusuf n Mr Rk pamoja n nyote mnaoshirirkiana na CHINGA media🙏
nimekukubali sana boss muchawi
freshi kabisa!!!! mwambie wamalize hiyo movie ya BOSS MCHAWI... kindly... mnatueeka hamu sana!!!
Yan me siamin kama kweli unaigiza coz hii ipo kama seriously ❤
Nampenda Sana ako power kwenye movie 🇰🇪🇰🇪
Yusufu upo vizuri
Mimi nko in love with him tangu nianze Kuona movie zake mwambie Nampenda sana❤❤❤❤❤❤
🎉
Wee Bana unamuonea Sana RK bt mh nakuogopa wee acha tu
Boss mchawi kafanan n harmonize ... 😊😊 Msiseme hamjaona 😂😂nwei leteni season 2 Sasa.........🎉🎉
Nakukubali sana coz unaweza kwa Kila kitengo
Jamani kwakweli mimi nakuogopa sana bosi ila kiukweli nakupenda san ❤❤❤❤❤❤😮
Harmonize look alike
Doh kumbe Yusuph Yuko handsome kinyama❤..mh sitamwogopa tena,,I say anaweza sana kaka 😂
Ebwana season 2 vp
❤❤amependeza boss mchawi mwenyewe ila whong house ile shingo unavyofanya uumii lakini ila unafanya vizuri sanaaa
Kutoka nairobi Kaka nakubali kazi sako
Tafadhali naomba kujua kama kuna season 2 ya wrong house same to Siri ya huba Na boss mchawi 🙏🙏
Currently I'm so idle
Ningependa kutowa pongezi kwa R.K na Boss mchawi kwakuwa wanaifanya tamthilia hii kwa akili nyingi
Mashallh Mungu akuhifadhi kaka vazi lako limekujubali km Jina lako mashallh usiache vazi hilo
Hannington hapa kutoka Nairob naipenda filamu ya boss muchawi😅😅 ❤❤
Watching from Kenya,boss kazi nzuri keep pushing
Boss mchaw huyu kaka n noma mpaka waweza his n mchaw kweli
Haki mm nakugopa pale kwenye wrong House,, walai unatisha Hadi nikikutana na wewe natoka mbio
❤❤❤❤kwli role yko umeplay vyema ila hta mm nakuogopa anyway
Unaweza sana boss
Kutoka Kenya nakubali kazi zako
Huyu jamaa ni noma sana
Muna weza sana. Nawafata zaidi ya sana. I'm Vuyambite ezechias from Beni in DRC contry
am so happy but you con'd use English but i love you about your movies 🥰😘
Boss mchawi umetisha sana kwenye Ile movi
Mwambiyeni huyo BOSS MCHAWI alete season 2 🙌🙌
Kaka unaweza bana yaan big up sana mkuu
Kazi yako ya boss mchawi movie hatari sana
Appreciate you more ma brother 🫡
Yousuf unajina zuri na waweye mzuri ila umenitisha kuwa mcwawi🇧🇮
Mash Allah this movie is a great one, but sometimes the brightness quality is low, watching from Ghana 😊❤
Brother Kaz nzur sana
Napenda Sana movie zako ila nakuogopa inatosha sana
Umetisha boss mchaw
Akk Boss hongera
aki siamini kama ni wewe kaka yangu🎉🎉🎉😢😢😢❤
Umetisha Sana we ninoma❤
Mtangazaji Ushaolewa?
Mzaliwa wa iringa aliyezaliw daresalam😂😂
Nyumbani iringa😂😂ila kazaliwa dar 😅😅
Sio poa
😂😂😂😂
😂😂😂
Jaman mim hiyo boss mchawi cijaifatilia hivi ni nzuri kweli au
Mana nishazoea kuwaangalia kina clam vevo
Hutojutia bando lako ni nzuri
Iko vizuri sana
Bonge la movie
zaidi ya clam vevo
Pia wrong house Iko pow samq
Kutoka kenya twakukubali sana c ukam kenya tuondoe rais wetu
Utasema harmonize😂😂😂😂😂
N❤❤❤❤❤ mwambie
Napenda iyo gipind. Chako saaaan
Unafaa zaidi ya sana
Kumbe ni mzuri ivi
Yusuf kumbe ww n handsome n venye unafanya Kaa Babu kishoka n boss mchawi unatisha sana
Aah mnyarukolo,
Huyu mwamba anajuwa sana na anatisha kweli❤😂🎉
yaan kazaliwa iringa pia kazaliwa dar kweli anahaki yakutisha😂😂
Ndugu wa harmonize au????
Ak tunadai movie ya boss mwachawi next episode
Huyu jamaa kumbe n real😂😂😂
Duuuh macho yanaogopesha
Mi mwenyew nliiangalia usiku wee nliota ndoto nko mabaharin uko wee naiogopa pia mm😢
Wamalizie box mchawi Ile iishe ndo walete move nyingne
Hata mm nimekuwa naogopa sana mtu akijifanya ananijua tangu niione boss mchawi nakuja ndo ealewale
Hawa kiufupi2 uigizaji wanaweza na sana wanatumia akili nyingi sana katika movie zao.
Sauti nzuri❤❤❤❤
Show zake ni kali namtambua kinoma
Leo kapendez Hila hiko kiteng walichomuwek ktk wrong house hanakiwez duh duh si mchez
Mimi mwenyewe namuogopa huyu jamaa aisee
Nikikutana na huyu jamaa njian ntakimbia kama kichaa
Jmn mm nimwandishi mzuri sana wa move story wish kupata chane na kuigiza pia niko poa plz nitaanzaje na mm ntaman kufanya kazi na wew
lazima ujilipue
Unatisha sana
watoto wakikuona wanatoroka