ASKOFU MSIMBE AFAFANUA ZAIDI TAMKO LA PAPA KUHUSU USHOGA LINAVYOPOTOSHWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @RuwanechiMinja
    @RuwanechiMinja 9 місяців тому +1

    Asante Baba...

  • @catholiclifemedia
    @catholiclifemedia 9 місяців тому +2

    Amina Baba🙏

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 9 місяців тому

    Tumemsikia vizuri.pastoral bessing.
    Hii tumeikataa

  • @Gide-dq3wq
    @Gide-dq3wq 9 місяців тому

    Hiii ni rasha rasha kuna mvua mbele.

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 9 місяців тому

    Kama duniani hakuna dhambu Yesu asikesubiwa ,kuna roho Mtakatifu na roho mtaka vitu.

  • @bazarugundiza9517
    @bazarugundiza9517 9 місяців тому

    Mmh! Tamko liko wazi

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 9 місяців тому

    Mngeanza mapadre kuowana nyinyi kwa nyinyi

  • @sullecom
    @sullecom 9 місяців тому +1

    Sasa kwa nini kamfukuza yulee padre wa marekani

  • @audifansisafari5587
    @audifansisafari5587 9 місяців тому

    Baba hata usipate shida na mashetani hao hawana elimu na Kanisa KATOLIKI

  • @MaitonEzekiel-ng1cw
    @MaitonEzekiel-ng1cw 9 місяців тому

    Watashindwa hao wapumbavu
    Katika hii Dunia ni kanisa katoliki tu lenye ubavu wa kukemea dhambi ndio mana wenye dhambi wengi wanalipinga

  • @angelajoseph4643
    @angelajoseph4643 9 місяців тому

    Tubuni mnapotea

  • @Fr.LaurentSakwa
    @Fr.LaurentSakwa 9 місяців тому

    Mtajitetea sana kwa hilo lakini ukweli upo pale pale ,na hiyo ndio njia mnayotumia ku promote ushoga

  • @elishalugano5679
    @elishalugano5679 9 місяців тому +1

    Eti baba mtakatifu wawapi? Mtakatifu ni Mungu pekee yake!

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 9 місяців тому

    Msipindepinde mkuu wenu kasema😮

  • @IsayaMpalanzi-qu7iv
    @IsayaMpalanzi-qu7iv 9 місяців тому

    Uwe mkweli wewe pili hakuna mkamili zaidi ya Mungu usipende kumwita mtu mtakatifu

  • @jayputini2731
    @jayputini2731 9 місяців тому

    Huyu atakuwa nae ni wale wale

  • @Gide-dq3wq
    @Gide-dq3wq 9 місяців тому

    Huyu askofu katokea wapi

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 9 місяців тому

    Askofu tatizo la SS wakatoliki hatujui biblia, Kwa hiyo maasikofu wowote duniani wanaopaza sauti ni waongo ila wewe ndio mkweli, na Yule alimfukuza Kwa nini, roho mtakatifu yupi ,anamchochea papa aliyesema ushoga si dhambi, maana hakuanzan leo, hajui biblia vinginevyo angeosoma maanfiko angeona hadira za mungu, mungu akusamehe nasi pia Kwa kutokujika ktk kuelewa neno la mungu

  • @Laizer3
    @Laizer3 5 місяців тому

    hao mashogaa ni wakuuliwa tu hakuna namna

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 9 місяців тому

    Papa kasema, mbona wewe unatumia mtamdao, dunia nzima wanamlaani ninyi mnamtetea vipi? Hatufai kwa jinsi anavyoongea na yote haya ni pressure ya Biden 😮

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 9 місяців тому +1

    Askofu uwe mkweli. Ni kweli kuwa baba mtakatifu amepotoka sana. Sikiliza maaskofu wa Malawi wanasemaje. This present pope hapana. He is always sticking to help same sex partners. Why always touching such things!

    • @mamakhadijah2352
      @mamakhadijah2352 6 місяців тому

      Read the book of revelation and Daniel huyu ndio beast mwenyewe anataka kuabudiwa badala ya Mungu na ujue tu yeye ndio yuko nyuma ya ushoga hata hao marais wanaoruhusu ushoga kwenye nchi zao ni msukumo wake haya mambo biblia ulitabiri na leo tunaona yakitumia mbele ya macho yetu tuse biblia na maombi mengi roho mtakatifu atakufunulia kweli yote . Barikiwa

  • @zuberimussa5508
    @zuberimussa5508 9 місяців тому

    unafunika moto nashuka wewe ! litawaka tuu papa kasema maneno yanaeleweka, na huo ndio msimamo wa kanisa

  • @Gide-dq3wq
    @Gide-dq3wq 9 місяців тому

    Anaongea nn huyu pado amjasema

  • @SizariAloyce
    @SizariAloyce 9 місяців тому

    Baba mtakatifu? 🤣🤣🤣

  • @AthumanJuma-hg2cl
    @AthumanJuma-hg2cl 9 місяців тому

    Wewe unaongea nini utafukuzwa kama mwezako