Tazama mjengo wa ghorofa mbili ukishushwa Goba, Fundi afunguka kila kitu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @kuvetamzazi8689
    @kuvetamzazi8689 2 роки тому

    Hongereni sana kwa kipindi hiki kizuri mlichotuandalia

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga Рік тому

    Ujengaji wetu wa Tanzania jamani. Yaani tunatumia mavyuma kibao, na mahndaki utafikiri tuko kwenye nuclear war. Nimejenga nyumba ya gorofa UK kuanzia foundation mpaka juu, utaona ni tofauti kabisa na ujengaji wetu. Yaani tunatumia nondo nyinyi sana.

    • @HIM3153
      @HIM3153 10 місяців тому

      Mazingira ya uk na tz tofauti. So utajikuta unatumia nondo za kutosha kuliko huko.

    • @eliasnavytanga
      @eliasnavytanga 10 місяців тому

      @@HIM3153 Tofauti yake nini? Tanzania mnajenga kizamani Sana. Yaani hakuna earth quake au typhoon, nchi iko shwari kabisa. Hali ya hewa imetulia. Undongo pia karibu Sawa. Sioni sababu ya kutumia vyuma vingi Sana. Huku beam 6 Tu, mchezo umemalizika. Matofali pia yanakuwa Yale mepesi, bubble blocks.

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 9 місяців тому

      ​@@eliasnavytangaNina omba kufahamu ghorofa Moja ya vyumba vinne viwili juu na choo na bafu na viwili chini na choo na bafu na sebule Kwa makadirio ya nondo zita tumika ngapi?