MAFURIKO MENGINE KATAVI - NYUMBA ZAFUNIKWA na MAJI - BARABARA HAZIPITIKI - VIONGOZI WAFIKA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 місяців тому

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 7 місяців тому +4

    Dah! Mvua za mwaka huu sikuwahi kuzishuhudia ktk kipnd changu cha miaka36 Sasa Ee mnyaz Mungu tunusuru na janga hili si kwa mapenz yangu bali utakavyo wewe🙏

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 7 місяців тому +1

    Allah awspushieadhala nduguzetu polen sana

  • @VeronicaSisimbi-dv3bn
    @VeronicaSisimbi-dv3bn 7 місяців тому +1

    Alumino

  • @FaridaMwaiswelo-qu9bl
    @FaridaMwaiswelo-qu9bl 7 місяців тому

    Poleni sana eeee mungu tulinde😢😢😢😢

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 7 місяців тому +1

    Samia achia nchi uongozi wako umekataeiqa na mungu, matatizo kila kukicha hii ni ishara kuwa uongozi aukuwa wa haki niwa zuruma, damu ya makufuri inalia kaburini

    • @robimgendi6147
      @robimgendi6147 7 місяців тому

      Mbona hata nchi za wenzetu zina athirika, wengine ukame, wengine mafuriko.
      Kwani mwaka 1994 nchi ilikuwa inaliliwa na damu ya nani?

  • @FrankSikanyika-o2e
    @FrankSikanyika-o2e 7 місяців тому

    poleni sana ndugu zangu mngu atawavusha

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 7 місяців тому

    Fanyeni namaombi Pia mungu awasaidie kuwafanyia wepesi
    Hiyo serikali yenyewe haiwezi kuondoa jambo au janga alilo liweka mwenyezi mungu Kwahiyo tufanyeni sana maombi

  • @deogratiusdominick8882
    @deogratiusdominick8882 7 місяців тому

    Duuuuhhhh pole sana ndugu

  • @LovenessSimbeye-oi6fg
    @LovenessSimbeye-oi6fg 7 місяців тому

    Poleni sana kwa mjanga makubwa

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 7 місяців тому

    Pole sn ndg zetu

  • @ZawadiSakamela
    @ZawadiSakamela 7 місяців тому

    Poreni xana

  • @SamsonGabriel-pp7uf
    @SamsonGabriel-pp7uf 7 місяців тому

    Mwaka huu shda😮

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 7 місяців тому

    Nakumbuka makanyagio kachoma madiniinn kashaulili 😭😭😭

  • @saimondede6044
    @saimondede6044 7 місяців тому +1

    Mpango kazi lazima upangwe mafuriko yamekuwa tatizo

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 місяців тому +1

      Mvua za El Nino zimeleta majanga makubwa. Mungu nusuru waja wako kipindi hiki kigumu

  • @zuhuraTzBakal
    @zuhuraTzBakal 6 місяців тому

    Amedi ari

  • @HASSANJUMAKIMARO
    @HASSANJUMAKIMARO 7 місяців тому

    Tusali jamani ndugu zangu,ibada maombi ni dawa MUNGU YUPO.

  • @RachelThomas-lf9sq
    @RachelThomas-lf9sq 7 місяців тому +1

    Polen ndg

  • @jacksonruhahas1168
    @jacksonruhahas1168 7 місяців тому

    Mungu mkubwa..

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 7 місяців тому

    Aitwe yule Mropokaji wa Chadema aitwaye mwana mapinduzi mpumbavu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 7 місяців тому +1

    Hii janga ni km mwaka 1998

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 7 місяців тому +2

    Tanzania kuna jambo

    • @robimgendi6147
      @robimgendi6147 7 місяців тому +1

      Sio Tanzania tu, maeneo mengi yanakumbwa.
      Hizi ni athari za mabadiliko ya tabia ya nchi

  • @Sulemanlukumay
    @Sulemanlukumay 7 місяців тому

    Mmmh

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 7 місяців тому

    Niwaambie kitu ...haya majanga hayakuwahi kuwa tz ila uovu wa viongozi ndio matokeo yake hayo ..hata ulaya ilifikia hivi uongozi ukapatikana mzuri

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 7 місяців тому

    Maji kuvuka mipaka yake tupo kipindi cha hukumu,hali siyo ya kawaida

  • @SelijusiMalambo-q2u
    @SelijusiMalambo-q2u 7 місяців тому

    Hao nyumba zao walijenga mabondoni

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 7 місяців тому

    TMA walisha SEMA tangu mwaka Jana kutakuwa na mvua kubwa za elininyooo ndo izooo ni mabadiliko ya Hali ya hewaaaaa

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 7 місяців тому +1

    Serikari yenyewe omba omba, nyi pambaneni kivyenu vyenu,

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 7 місяців тому

      Bajeti yote ya 2024/2025 itaishia kwenye miundombinu