UWEZO AWARD 2017 - A COMMUNITY CHANGE PROJECT FROM DAR ES SALAAM SECONDARY SCHOOL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • UWEZO AWARD PROJECT, ni mashindano ya wanafunzi wa shule za sekondari yanayowapa fursa ya kujifunza kwa kupitia changamoto kwa kubuni na kutekeleza miradi bunifu ya kijasiriamali yenye kuleta matokeo chanya kwenye jamii inayowazunguka. Lengo kuu ya mradi huu ni kuwasaidia wanafunzi kujifunza ujuzi wa kijasiriamali na ujuzi wa karne ya 21 wakiwa bado wapo shuleni ili uje kuwasaidia hapo baadae kukabailiana na chngamoto za soko la ajira aidha kwa kujiajiri au kuajirika kwa urahisi. DAR ES SALAAM Sec. School ilikua miongoni mwa shule zilizoshiriki miradi hii kwa mwaka 2017.

КОМЕНТАРІ •