MGONJWA MNAZI MMOJA ATOROSHWA USIKU USIKU, MKURUGENZI AWEKA MTEGO, AWANASA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya rufaa mnazi mmoja Dkt. Muhiddini Abdi Mahmoud amelaani vikali vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watumishi wa hospitali hio kwa kuwaondoa wagonjwa kimagendo hospitalini hapo na kudai kua hakuna vifaa vya matibabu husika na kuwapeleka katika hospitali binafsi kwa lengo la kuwapatia matibabu kwa kuwatoza fedha
    Hilo limebainika mara baada ya Mkurugenzi huyo kubaini kutokuwepo kwa mgonjwa wa ajali ambae alikuwepo katika hospitali ya rufaa ya mnazi mmoja katika harakati za kumtafuta mgonjwa huyo alibainika kuwepo katika hospitali ya AASIAHH S HOSPITALI ilipo shehia ya Mkele Mkoa Mjini Magharib
    Aidha Dkt. Muhudini amesema kufanya hivyo kwa madaktar hao ni kurudisha nyuma juhudi za za serikali kwa kuwekeza fedha nyingi ili kuhakikisha wanachi wanapatiwa matibabu huku akibainisha kua wahusika wote watachukuliwa hatua za kisheria.
    MGONJWA MNAZI MMOJA ATOROSHWA USIKU USIKU, MKURUGENZI AWEKA MTEGO, AWANASA!
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 58

  • @jumajuma3337
    @jumajuma3337 Рік тому +1

    jamani weeee hapo kuna shida mimi nilikuja na mgonjwa wangu mnazi mmoja hakuatiwa huduma nilidima zaidi ya miezi 2 kwa tatizo la kua manyama kwenye kookaburra.
    mwisho nikaamua nimpeleke kmkm akapatiwa huduma nzuri tu.
    mnazi mmoja kuna shida madaktari sio waaminifu na hayo yapo hadi kwenye hospital za wilaya na za kata. dawa hakuna vipimo hakuna wahudumu hakuna
    daktari mmoja atoa huduma chmb cha daktari maabara yeye kwa wazazi yeye
    mashaka tuuuu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому +3

    Kama huduma ni nzr asingetoroka tatizo lipo

  • @BONGOKUMENOGATV
    @BONGOKUMENOGATV Рік тому +5

    mnazi mmoja wanazingua Sana sio sili wacha ninyamaze lipite

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +9

    Hamuna mpya etii mgonjwa anakaa haulizwi lolote mtu anaumia hata miye natoroka au kutorosha kila mtu anahitaji kupona

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому +1

      @@neemamkemae2580 asante malaya mwenzangu mana malaya tunajuwana ni kama wachawi tunanembo zetu

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому +1

      @@neemamkemae2580 hichi sio kikuma chako cha maji baridi hichi ni cha maji chunvi umoto ndo asili yake labda hicho chako unachokitawazia maji ya baridi ukitoka nacho sokoni

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому

      @@neemamkemae2580 nyoo hiyo kuma yako weye ndo yenye shombo mkeketwa kisimi shipa la mkwe wangu ni dogo kuliko la babaako wewe kama huna mkwe kaa hukoo utiwe ukitolewa mana hakuna mwanaume atakaye acha kazi zake akakuowa weye

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому

      @@neemamkemae2580 kuma zilizokeketwa kama ya kwako ndio yenye shombo

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому

      @@neemamkemae2580 nyoo mamaangu hatamani shipa lenye gozi na pesa haha inadamu ujuwe haitui tu kila kona hayo mawazo ya kutafuta pesa no ya wanawake wadangaji mimi nimeolewa na namiliki biashara na nasaidia wenzangu nimeajiri watu wanapata riziki kupitia mimi wewe danga tu hapo mpaka kuma ivuje maji pesa huipati muhudi mana sio damu yenu pesa inaonekana unaitamani lakini pesa haina habari na wewe

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Mnazi mmoja hamuwajibiki munalipwa pesa tu na zarau nyingi kwa wagonjwa nyote mungetolewa wakaletwa madaktari wengine halafu ukakiona Cha moto huko majumbani kwenu Rais angekwenda kwenyewe kujionea huko hospital

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 Рік тому

    Hamuwajali wenzenu wakishabkumwa nnawaona kama mizigatuu labda tajiri ndio anae hakuwa hata mm kwa kuikosa maisha yng natoka ndioee

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Рік тому

    Huyo mgojwa kakaa siku zote hizo huko mbazimmoja mbona hajapasuliwa ikisha madaktari wajeri ile mbaya siptali ya mnazi mmoja mpaka ulishie ndio upate huduma.

  • @noffalsalim
    @noffalsalim Рік тому

    Izo hospital zifungeni bc.

  • @mercyoda511
    @mercyoda511 Рік тому

    Funga iyo hospital. Na uyo Dr awajibishwe

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 Рік тому +4

    Mungu wangu.

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 Рік тому +2

    Mimi mnazimmoja sitoisahau siku nilokwenda kujifungua madocta wa kike wanakiburi hatari. Kunadocta mmoja alimpiga msichana kibao wakati anaumwa uchungu .kisa alikuwa anapiga kelele baada ya kujifungua kilichompata docta huyo hahahahahaha nikikumbuka hucheka pekeangu

    • @halimamajid4042
      @halimamajid4042 Рік тому

      Muongo

    • @shaphaina9941
      @shaphaina9941 Рік тому

      @@halimamajid4042 uongo gani hapo ?

    • @laylatali3604
      @laylatali3604 Рік тому

      kilimpata Nini au na yeye alirejeshewa vibao? 😀😀

    • @shaphaina9941
      @shaphaina9941 Рік тому

      @@laylatali3604 yani alipomaliza kuvaa dera tu wakati yule doctor ameinama sijui alikuwa anafanya nini yule msichana alimpiga ngumi ya mgongo maana sauti ya ngumi sote tulishituka wengine tukabakia kucheka tu. Alipomaliza msichana yule hakugeuka nyuma akaendelea na safari yake .

  • @ridhiwanakida3074
    @ridhiwanakida3074 Рік тому +1

    sio mnazi mmoja tu hospital zote za serekali ni uzuka tu

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 Рік тому +2

    UGUMU WA MAISHA HUFANYA HAYA YOTE

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому

    Mhhh hilo dustibin hapana aisee hadi mende 🤭

  • @isayamr.nothingtosomething4222

    Kwakweli hio hospitali huduma hakuna mi nahisi angalau mungeweza kurekebisha mapungufu ya hio hospitali ya mnazi mmoja Ili wagonjwa waweze kua na Imani na spitali hio

  • @siyenusaleh4577
    @siyenusaleh4577 Рік тому

    Acheni unafkmgonjwa Toka tareh21 Hadi Leo tarehe 12 hajafanyiwa chchote kile had kanza kutoka vidonda mtu kavunjika mikono yote miwil mguu umevunjika mara mbili kichwa pia then hata kimoja hamjamfanyia chchote Zaid ya kufunganga km mungekuwa making na Kaz zenu watu wasingefikia huko matibabu yen ni yakuongea tu sio kuwajobka acheni upuuz

  • @nurdinkarata7985
    @nurdinkarata7985 Рік тому +4

    Safi sana peleka jela hao wauwaji

  • @bluerainbow5640
    @bluerainbow5640 Рік тому

    Ivyo vifaa mbona hatujawahi kuviona au vinafichw maan me mjomba wangu Mpka kafariki hajapat matibabu kakaa almost 1 wk naa me nahc kabla kusema kwanz angalieni ayo munayo yatangaza kweli vifaa vipo

  • @mwanahamisahmada7379
    @mwanahamisahmada7379 Рік тому

    Ila mm nashuru allh nnazimoj nilifanyiwa ubasuwi nimeshuhulikiw uzur na sada,nime pata alhamdullh nashkr San nimekwa sik telee

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому

    Mgonjwa anaeziwa hata kwake asigeeziwa hivi wenzetu wamejipanga kwenye suala la afya naelimu

  • @simbakhamis5732
    @simbakhamis5732 Рік тому

    Hata mm nimeamua kwenda kufanya upasuaji dar,Salam kutokana na huduma zetu nimekaa na ugonjwa miaka 15 nimeamua kisafiri kufika 2 nimepata matibabu mpaka Sasa naendelea vizuri nashauri kwani MH Rais wetu akawa anapita mwenyewe kuangalia wananchi wanavyo teseka

  • @thuwaibaothman2547
    @thuwaibaothman2547 Рік тому

    Muhim watu wanapona tu, ata km mtu anatibiwa shimoni, madhal anapona hamna shida

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 Рік тому +2

    Watu wana roh mbaya sana jamani kwanini jamani mmmmm ongera kaka ila

  • @zakiaferuz4561
    @zakiaferuz4561 Рік тому

    Mngekuwa mnafanya supervision kukagua mazingira ya hospitali,vituo vya afya,na zahanati kujua ubora wakw

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Рік тому

    Ss km mtu haipati huduma kwnn asitoroke a kapate huduma

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому +1

    Boresheni huduma msilete midomo mirefu

  • @manahiljamal834
    @manahiljamal834 Рік тому

    Hamnaga weee nendeni uko

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🙄😢

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Рік тому

    mlitakiwa mumfate na tumjue you dkt

  • @babyrasta9685
    @babyrasta9685 Рік тому

    Hospital ya Mnazi Mmoja hapana huduma acheni kutudanganya , Watu wanapyeza Maisha kwa kukosa huduma nzuri, Raisi wetu tunaomba utumbue mjp kwenye iyo Hsptl.

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому

    Njooni oman muone huduma zinavotolewa

    • @tiffaommy846
      @tiffaommy846 Рік тому

      🙄🙄Oman ipi

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@tiffaommy846 kwani we unaijuwa oman ipi

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@tiffaommy846 mjinga we mmoja we ndio nyie mnaokujifanya hamuyaoni yanayotendeka halafu usinishobokee kwenda kule macho kama jini lakuitwa

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@tiffaommy846 mbwa wemmoja we

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 Рік тому

      @@tiffaommy846 tena koma