Dave 30k Yako imepotea TU kwa huyo Stella hivyo, Dave tafadhali John sio wa huyo mama just go and pick that kid,hooooi joiner may the Lord do his miracle ajue mamake,
From the start hv never trusted thiz police n trust me they are one pia huyu police nikimoja kuna mahali anawasaidia ndio maana unaona pia mirium akiwa na yy she's comfortable than close to dev n champe
Nimesikia hawa wamama wako na magaidi wako n gun ama nimesika vibaya,eti nyuma ya Catholic hurch amake sure hajaonekana na hajatokezea,..so dave and ur team jxt add more afande for ur save❤
Champee endelea to kkumbuka hiyo meno na mkumbuke akutaka kuwasikiza nlijuwa kuna kitu but mpadilishe police plz kwa niaba ya joyner plz juu huyu amefall inlove na miriam
Uyu mama atombolewe jicho moja moja,akatwe sikio moja moja yaani kila part yake itolewe one one hadi akufe mbwa ya mwanamke af mirrium na hio team igine wapelekwe Airport waekwe kwa rally aeroplane wakanyangwe tumbo wakufe manugu hawana haja duniani😢
Dave separate hawa watu mkitaka mpate ukweli mirriam anakaa mjanjandio anawakataza kusema ukweli yote wanaongea nimirriam anawapanga kama umegundua hicho namimi tujuane
Once mmeshika suspects hamfai kuwaachia simu, ju watacommunicate na wenzao wengine na itawapea hard time. Watoto mnatafuta wanaeza toroshwa nje ya kenya hata
Kweli ameongea kama kameme fm yaani wako na group yao ya Z App 😢😢 kisirani miriam bado ako hapo ama amelala kwa boot, wacha alale ndio hiyo black devil iendelee kuongea, Joyner atapatikana in Jesus name
Joyner hakumbuki wazazi....Caren alifanyiwa tu hivo. ...nawe ni mnyama ata mtoto wako hauna huruma naye....na Daktari amekula pesa ngapi kutoka kwa million juu alikuwa ame agree na Milliam. Juu ya mtoto wake
Anglia hiyo Pete kwa kidole chake hiyo NI ya uluminati ndiyo mutowe hiyo Pete muchome or throw in the toilet and flush. Na utaona ana kosa nguvu. Na KILA WAKATI MTOTO utapeyana katika JINA LA y YESU na Dave ita damu ya YESU Saa yote.
Officer aliingia box ya milliam kitambo hizi vile nikama zita isha bila mazao I fell pain for those innocent children 😢😢 mahali muna elewekea sijuwi aki God have mercy
Huyu mama asiwachiliwe na asikubaliwe kuzungumuza na milium wakiwa na pastor.she will be more useful in this investigation if she doesn't mix with akina milium
Bravo champee usiwapee nafasi hao ni wanyama mbona wanafanyia watoto hivo ?ndio maana mungu anaadhibu nchi yetu juu hio mambo ya unyama wanafanya huko watoto ni Malaika wa mungu na inafaa hao polisi wawe wawili plz S D wasaidiane
Pls Dave tafuta John aki atarudishwa soko,same case pasta show hawi aliokolewa aliuzwa part 2 akachijwe guess wat babake aliusika kumuuza for now akipelekwa children home so chukueni John apelekwe children home
Dave kama hao watu wanapanga deal wanapeleka mtoto pahali kisha wanakupeleka how sure are you hawatakupangia kisha wakupeleka ety wanaenda kukuonyesha kisha wakuumize ama wakuue😢😢 May good be with you Dave
Dave how comes u leave this people with phone..you know that is risking... Even yhey can attack you rem the gooms wako nje they can do anything hayaaaaaiiiii..... Wanatoa wapi simu za kucommunicate??
Ooh God. I’m speechless just crying for innocent kids
This two women are 😈, dave usiwapele police mpaka watowe Joyner, na mbona huyu police anawapea simu , hawa police wanafanya vibaya ,
Ni vile amesikia deal kubwa kubwa za pesa. Elewa polisi wanapenda hongo.
Huyu mwanamke ako na roho ngumu kuliko mawe.champe thanks kwa kuongeza hasira yangu kwa yako.i wish ningekupa pliers umfinye nayo hiyo pua
😂😂😂😂Champee hataki jokes
Dave 30k Yako imepotea TU kwa huyo Stella hivyo, Dave tafadhali John sio wa huyo mama just go and pick that kid,hooooi joiner may the Lord do his miracle ajue mamake,
Alipe hio 30k huyo mother Stella mchawi
Kajukue huyo mtoi tafathali David
Police anawauza Dave ,mbna anawapea phone wakiwa ndani,, it's like wako pamoja
From the start hv never trusted thiz police n trust me they are one pia huyu police nikimoja kuna mahali anawasaidia ndio maana unaona pia mirium akiwa na yy she's comfortable than close to dev n champe
Anafanya Kazi inakua ngumu sana
huyu police ni team ya zakayo
Dave,please tafuta John na uriport kwa police aede childrens home cz hayuko pazuri atapeanwa tena,aki sikuangi na amani cz John😢😢
Aky I support you aky Dave ampeleke John children home
My thoughts too that kid is not save there
Deve hasikiangi
Champee ako na hasira na huyu mama
Champee toa machungu broo alikuuma muume iyo pia
Nimeskia wako na gang.tell that police to be carrying a hidden bastola
Nimesikia hawa wamama wako na magaidi wako n gun ama nimesika vibaya,eti nyuma ya Catholic hurch amake sure hajaonekana na hajatokezea,..so dave and ur team jxt add more afande for ur save❤
Arrest all these people including daktari coz they are still communicating and making your work tough.
@@LOVELYAggie Kama anataka kushinda hii kesi, lazima asikilize advice za watu wengine.
Dav uyu afisa Ako deal Moja na Hawa magaidi tafuta akuna stano wakuhelp ikesi mtoto apatikane plz kelele mingi Anita saidia
By the way it's like amelfanyiwa ile kitu na mirriam. Officer hudumia mwananchi wacha kuside nao watu
Simu zote chukua @senior Dave pls
Siku hizi askari ndio wauwaji wa kwanza sasa hizi ni gani eti afisa kumbanina gasia mzeee
@@DamarisMutisya-i8kkabisa heri akae nazo yeye
Champe aki 😅atafanya tucheke ata kama kuna shida😂
Ako nae mbaya sana
Aliuma champee tumbo ile siku
🎉aliniuma sana
Mbona hamjamuuliza mtoto mlompelekea ako wapi
Champee endelea to kkumbuka hiyo meno na mkumbuke akutaka kuwasikiza nlijuwa kuna kitu but mpadilishe police plz kwa niaba ya joyner plz juu huyu amefall inlove na miriam
Uyu mama atombolewe jicho moja moja,akatwe sikio moja moja yaani kila part yake itolewe one one hadi akufe mbwa ya mwanamke af mirrium na hio team igine wapelekwe Airport waekwe kwa rally aeroplane wakanyangwe tumbo wakufe manugu hawana haja duniani😢
😂😂😂aki Nacheka ya huzuni aki na lilia watoto aki hawana wakiwalida aki mpaka wanauzwa na mama zao 😢😢😢
@@marymutavi imgn aki dunia inaisha walai,....anyway nipitie mama we grow together plz
Kindly John aende children's home please
Dave hakumbuki hio walai sio ama stano
Aki senior Dave achukuwe John aenda children home huyo mama atamuuwa
Ata John si mtoto wake please help John
@@tellynjoki1179ukweli kabisa
Kwa ivyo hata John amedungwa dawa akasahau wazazi wake si mtoto wake.
Champee congratulations ur doing very good job tadika kabisa.
Dave separate hawa watu mkitaka mpate ukweli mirriam anakaa mjanjandio anawakataza kusema ukweli yote wanaongea nimirriam anawapanga kama umegundua hicho namimi tujuane
Sure
True
True
Ni vile ameona afande ni mpole na Ako na spirit ya last
Dave asipochunga, huyo afande atamuuza. Ni mpole sana na pia anakaa ni kama anaogopa miriam.
Be careful na huyo police ,Kuna vile Ako na hai wakora,wanapataje simu wakiwa jela.
Ukweli
Dave ongeza backup ya mapolisi,sasa joyner akipatikana apelekwe hos,,so ata madocters wako ndani kwa hii deal
These people should be arrested and put in custody
They Don't deserve to live with people in community
Champe ako na hasira akikubuka vile huyu mama alimuuma 😂😂
😂😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Alilimwa akh 😂😂😂😂
Good job champee..finya kabisa ..huyo officer hasaiidii chochote ako pamoja na miriam
Once mmeshika suspects hamfai kuwaachia simu, ju watacommunicate na wenzao wengine na itawapea hard time. Watoto mnatafuta wanaeza toroshwa nje ya kenya hata
Aki kama stano ,hata information Huwa haiendi
Senior Dave tafuteni thafai ikae Kwa gari yakuchapa watu kaa hao,nakienda cell wa sikae mahali pamoja wakuwa wanapanga vile watandanganya
I wish champee agekua officer na harusiwe kuadhibu hawa watu ....God open the way to champee
True
@@Emmamaina2632 nipitie mama wr grow together plz
@@kifenjijunior132 nipitie plz
@@Emmamaina2632 nipitie mama plz
Aki God kwanini usipee hizi ngo'mbe ugonjwa WA cancer na gonorrhoeal siumwe mpaka sikufe 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Alafu Dave ambia mama Joyner atume picha ya Joyner ndio mkimuona ndio mumujuwe
Kweli ameongea kama kameme fm yaani wako na group yao ya Z App 😢😢 kisirani miriam bado ako hapo ama amelala kwa boot, wacha alale ndio hiyo black devil iendelee kuongea, Joyner atapatikana in Jesus name
Brave, Senior Dave, and group. Good job.🎉
Huyu afande achana nae anawapa simu waki cominicate na wenzao😢😢😢why why why
I wish angejua vyenye amenibo huyu afande anafanya Kazi unajua ngumu Kwa Dave ju Sasa simu unawapeaje
Joyner hakumbuki wazazi....Caren alifanyiwa tu hivo. ...nawe ni mnyama ata mtoto wako hauna huruma naye....na Daktari amekula pesa ngapi kutoka kwa million juu alikuwa ame agree na Milliam. Juu ya mtoto wake
Devy hope ulichukua number ya hao couple
Huyu mama anauza mtoto wake. Aki Dave chukueni John tena atauzwa
Anglia hiyo Pete kwa kidole chake hiyo NI ya uluminati ndiyo mutowe hiyo Pete muchome or throw in the toilet and flush. Na utaona ana kosa nguvu. Na KILA WAKATI MTOTO utapeyana katika JINA LA y YESU na Dave ita damu ya YESU Saa yote.
Seniordave be careful ofthis child sydicate wanaeza kuharm
Hii ukweli yooooote na bado watakua huru waendelee kuua😢😢😢😢aki nchi yetu
Dave endea John walai si wa huyu madam maybe
Huyu officer wako kimoja...anawauza...anawapea phones that's why they are always a step ahead of you guys.....
Champe mvurute mapua kabisa😢
😂😂
😂😂😂😂n ikiwezekana avurute adi maskio akh champee vile alilimwa ile siku
Officer aliingia box ya milliam kitambo hizi vile nikama zita isha bila mazao I fell pain for those innocent children 😢😢 mahali muna elewekea sijuwi aki God have mercy
Miriam alisema Kuna mafuta (dawa) anasalimia wanaume wanaingia box so.... askari ndanii
Ata mm naona polis wanapendana na mariam ata kimchapa hawez
senior dave forget that police he is giving miriam phone, and they are good friends light now miriam told him she will give him 10k please
Senior dave kazi unafanya wow!!! Very nice I love the job your doing....safisha hii Kenya yetu
Weeeee Weeeee mi naona nikinunua shamba saudi 🇸🇦 ju kenya kila mahali ni laana tu.
This police officer is not fit to this case Dave look another officer and report this people to the police
Huyu mama arundishe pesa yenye ililipwa hospital...juu hiyo plans ni zake zote
Huyu mama afanye a shikuwe
😢😢😢
Huyu mama asiwachiliwe na asikubaliwe kuzungumuza na milium wakiwa na pastor.she will be more useful in this investigation if she doesn't mix with akina milium
Champeee shutua hko katumbili kako nyumaa na kofii moto😂😂😂😂😂
Mungu wangu kenya jamani 😢😢😢😢watoto mnawatoa
Huai jamani mbona amjiuzi
Nyie wenyewe jamani
Bravo champee usiwapee nafasi hao ni wanyama mbona wanafanyia watoto hivo ?ndio maana mungu anaadhibu nchi yetu juu hio mambo ya unyama wanafanya huko watoto ni Malaika wa mungu na inafaa hao polisi wawe wawili plz S D wasaidiane
Wah uyu na hawa wafanyikazi wake dave wafungwe forever sababu wakiachiliwa hawataacha wakae ndani forever❤
Senior Dave Mimi nimekuogopa,,🤭😔
May God protect you because Sio rahisi
Dave ukishika mtu jukua simu take kabisa ndo you cut off communication
Thank God Joyner is alive,,,Hawa wazae watoto wao wauze.nkt
Dave ,follow Joyner please kindly and that mama the buyer must shows the paperwork show . God be with you Dave and your teams
David go and bring John again please don't give her if you you bring him
Senior Dave, you are the kind of CID's Kenya needs. Kudos!
Champee leo kalipiza kichapo yote alipata siku ile😂
😅😅😅Champe ana feel pain ya kulipisha
Champee pewa maua yako juu amechukua asira yangu ukaongeza na yako 🔥🔥
Champeee👍👍if hasira was a person gonga yeye kabisa
Msichana mrembo,,,,urembo yenye haina faida ,,,Wazazi wake watasema nn wakiona haya,,,ati ile pesa yenye uwatumia niya kuua na kuuza watoto😭😭😭
Na Jane ni nani tena🤔waah. Chapee anasikia asira vile huyo mama alimchapa aky💔😭but Wacha wapeane watoi please
Pls Dave tafuta John aki atarudishwa soko,same case pasta show hawi aliokolewa aliuzwa part 2 akachijwe guess wat babake aliusika kumuuza for now akipelekwa children home so chukueni John apelekwe children home
Dave sernitize the phone ya huyo big mama
Senior Dave mumechukua yule mtoto mlikuwa mumempelekea kabla auze tena
Huyo ni wake alikuwa anacheza game tu haezi uza huyo myoto wake
Miriam ndio jambaxi sugu hapa
Dave kama hao watu wanapanga deal wanapeleka mtoto pahali kisha wanakupeleka how sure are you hawatakupangia kisha wakupeleka ety wanaenda kukuonyesha kisha wakuumize ama wakuue😢😢 May good be with you Dave
Kwani champee anakuanga insane? Sababu mtu akicoparate mnamhoji ndio mjue ukweli zaidi Sasa ukimgongagonga si atanyamaza😅
Davie kwanza mwedee joyner
Dave now ujue pia nyinyi mnapagiwa mabaya muendange mkiwa mumejipanga careful guys.
Make sure umekaa na simu zao
Na venye alikua kama scorpion aliwatesha walai huyo amalizwe ni gaidi champee congrats May God intervine
Young man champee may God bless you
Good work dave God is there na Joyner atapatikana,,,after that feedback ya mali ya dan
Pls Dave tafuteni Joy kwanza tafadhali. One at a time pls. Mama Joy is waiting.
Police awe amejihami juu wakati mlikua mnachukua john mnasikia walikua na geni isipokua waliambiwa mko na polisi
Senior Dave please,,,look for another afande
And please look for that innocent child John
Haki mimi niko na uchungu kwa hizi story za watoto na ni wanawake wananjua uchungu wa mtoto
senior Dave plz tafuteni adi huyo mama jane,akakule ugali kamiti😢
Huyu mama anafaa kunyongwa aliuma champee sanaa
Atutaki afande😒
Woiyee ngaii kuuwa tena...eti kichaka njia ya kuenda nyahururu ngaii...mungu tuhurumie
Champee na wewe no bure kabisa kazi yako no vita tu,saa ingine unanyamanza usikie maneno.
vtu kama hizi ndo hufanya mungu anakasirika.watu kama hawa wa kuuza watoto si wangejukuliwa na maji😨,they are so hurtless bana 💔💔💔💔
Kwani mama stela ni boom
Atawenye hawaja uzwa muaokoe muwarudishie
Wazazi wao musiwaache
Apo.
champee angakua polis wangejuta 🤺🤺 then this polis anawapea simu wakiwa dani but good job Dave and your team 👌
Endeni kwa hizo mahospitali wanachange hawa watoto
Senior Dave I think this case is beyond you tafuta link usikie SCI jili ukimpeleka polisi ata bribe na atoke this lady ako na connection
Anacheka nini sasa
This Stella is smiling and yet ameua na kuuza watoto wa watu,
Am routing her until tupate joynar
Dave how comes u leave this people with phone..you know that is risking... Even yhey can attack you rem the gooms wako nje they can do anything hayaaaaaiiiii..... Wanatoa wapi simu za kucommunicate??
😢wah uyo mwananke aki senior Dave fanya jambo inafaa ata auliwe pia yenye😢
Aky champee unafanya mtu acheke kma ataki anyway good job champee
Dah!! Nimechoka mwili roho na nafsi OMG why ? Why? Why?
Aki champee ..unakumbuka Ile kichapo ya hio siku tu. Nilikuhurumia
Dave ,plz I hope that officer is armed just in case.we need you!!
Senior Dave tafadhali mchukueni John atateseka tafadhali sana watamuuza tena. Muondoe hapo
Ngai apa tu syokimau
Ngai hawa wa mama wasiurumiwe ata kidogo prison direct
YAN HUYU MAMA JON ROHO YAKE IKOJE HAD ADUNGE MTOI WAKE SINDANO AMPELEKE PORINI MASKN