@@MelineOmondi mimi najua si acting,nashukuru Dave na Fred kwa kazi yao nzuri ya kuokoa, yule mjinga Mark ndie qlisema ni acting but najua kabisa sio vile
Dave trust in God usitrust watu and dont believe in false prophet cause wanataka kukumaliza pray God akupee wisdom tu juu hapo wenye unadeal na wao only God who can save you
Wenye tuna amini jerry ako safe tupinge like ya imani atapatikana
In Jesus Name Amen
@@naomybosibori9504 amen
Amen@@naomybosibori9504
Tuombe Mungu Jerry apatikane kama Baby Jayden 😢😢😢 Mungu ni mwema
Jerry Ako job ni kuact ana act shideni hapo hii ni ujinga mtupu
The blood of Jesus Christ 🙏 be upon you Senior and team
Woiyee, senior wacha mungu awasaidia pamoja na team yko
Mungu awasaidie mpate jerry
Damu ya yesu ifanye kazi xx mungu awatangulie na jerry is fine where he is
We speak blood of Jesus Christ over your lives,
Mungu ingilia kati
Mungu awakumbuke wote team strong awasingire na damu yake
May the Angles of the lord be with u guys
Chungeni asiwapeleke kwa majambazi wenzake
Mungu amlinde jerry popote ulipo na waongoze mnapoendelea na uchunguzi
Dci Fred, some mission uende na backup
Mungu akulinde
Damu ya yesu iwazingire
Fred bebanga pingu wakati uko mission kama hii
Sasa hakuna pingu kama ni acting😢
Wewe nani alikuambia n acting@@marymutavi
@@MelineOmondi mimi najua si acting,nashukuru Dave na Fred kwa kazi yao nzuri ya kuokoa, yule mjinga Mark ndie qlisema ni acting but najua kabisa sio vile
@@marymutavi mark alikuwa anapretend Kwa Dave kumbe n shetani
@@MelineOmondi kabisa,na mahabusu wote akwatoa ndani wakuje kumaliza Dave,baada ya kupokea hongo.
i speak protection in the name o Jesus christ
Waa!,,,Mungu awalinde akih na Jerry tunamfunika kwa damu ya Yesu
Blood of Jesus be with you in every mission you are and God protect Jerry
Watu wangu! Mungu tu awaride popote mnaenda
Dave z bishop n loan usitupee amini Mungu utalipa hpa n kutafuta Jerry n Mungu anajua hio gari imetumika vinzuri
Mungu.saidi.blood.of jesus
God akuwe place poa. Aky coz this not gud aky
mungu wangu protect frea en dave
Pole sana dave😢😢
😢😢😢kuliko MTU aumizwe hivi bure mbona asiseme ukweli ones tu...jerry mungu akulinde upatikane ukiwa uhai
Huu ni upuzi Keele ni mingi huyo jamaa ako poa sana❤❤❤
Mungu awatangulie
Kwa Imani baby boy Jerry atapatikana mzima amiinaa, Wacha mungu awatangulie in Jesus name
Dev wewe ni muonga sna then penye panafaa kuwa serious unaleta mchezo
Mungu amsaidie Jerry pahali yuko awe salama
Mungu awalinde
Mungu ako na yy huyo kdf
Woi apatikane akiwa uhai
Senior unamwaga mtama ati-ofisa/DCI ala but good job
Fred mungu akupe nguvu
Jerry may the lord our saviour protect you wherever you are
Kwani mtafika saa gapi
May God be with you all and may the lord protect jerey wherever he is
Mungu bariki dave na gari kumbwa
Jerry Mungu akulinde mahali uko
Mungu tenda jambo
God protect Jerry to blood of jesus 🙏 😢
Kwani huyu ako na nguvu za kishetani?, mtambeba bila kumfunga mikono si itakuwa ngori!!!
Ukicheza na umbwa atakuta shemeki😂😂😂😮😮😮
May our lord protection be with you in Jesus name amen
God it's tough and had for this team dave, give them strength, protect and cover them with the blood of Jesus Christ
Freddie toa hiyo tie
Duthi za uizi azinaga break, safe journey Fred and senior team
Oooh mr Fredy,you are energetic 😢tembea na pingu please 😮
Huyu no mangaa
Mtu wa drama tu
mimi ukinipea kitu then usemange hiyo nilikupea vile dave kila mara huambia champe nakurudishia mimi ningekua champee waa nakurudishia
Dci Fred ufai kutembea pekeyako tembea askari jameni
Am happy for you fred this work cost your energy and everything guys continue relying in God and he will led you
Wewe Dev unacheza na watu wa masetani ukiwaidi
Video imeisha mkiwa Kwa Barabara, Dave simuwe mnaruka kwingine aki mnaboo,
Uyu kijana Ako nguvu za mashetan
Minyaaaaa kwa nguvu uyo anajifanya kama ana nguvu
Ee yawa this man anaitwa Fred si ana nguvu poo, Mano kuon gi ngege, si rice na maharagwe, ama ni mihogo na uji wa wimbo
Kwani mkitembea na pingu itakua aje
vijana wadogo mtakufa bure juu ya tamaa
Devvy vile kanapiganga nduru 😅😅
kwani akina Dave na Fred walinyongwa na peter ama nn baka sai akuna update😮
Huyu hafai kuwa kwa barabara juu ni muuwaji, labda ameua wengi
Senior ulipeleka wapi KDR na unateseka na motor bike hivi
May the Blood of Jesus cover you guys in the might Name of Jesus christ
Qwn amjui kuedit nkt mnaboo
Sasa hizi ndo zile vitu tunaitanga script "real script" anyway wale followers wa Mark 👋👋
Hii ni gaidi kabisaaaaaaa
Huyu jamaa akona nguvu zngne sijui anatoa wapi
Za kisetani anatumika na wachawi
Kwani huku ni kiandutu😂😂😂
May our God covers you with the blood of his son
Jerry ,story yake ananimiza😢😢😢
Dave trust in God usitrust watu and dont believe in false prophet cause wanataka kukumaliza pray God akupee wisdom tu juu hapo wenye unadeal na wao only God who can save you
Majambazi sugu ndiyo huyu.Ndiyo wanaosumbua Nchi yetu 😢
The blood of Jesus talks, it's going to talk guys
Sasa hizi ni vitu ngani kwa duthi tena
C mafuta itaisha before mfike aki
Siungetumia Ile gari ulimnunulia Anita
Uyu mark hii kazi ndio anataka s afanyange tumuone 18
Senior nijukumu la fred kujitambulisya kwa criminal as dci n not you!!!
Dave hupigwa hadi na wamama wacha ujinga
Magaidi wako Kenya hiii,,,huko kwa Pasta show ni mauaji huku ni Kidnapping,,,what's happening in our Nation,bila kusema kwa True TV
Dave haki ni muoga😂
kijana ukiingia dani dio utakipata
Angalieni asiwasabababishie ajali
Akili ni Mali akiamngu Fred amejaribu kusungusha huyu jamaa Hadi akaingia box wueh
Kwani anawapeleka wapi😳
Dave kazi anaweza ni kuwekana micr.
Huyu ni gaidi sugu,aki dunia iko na mambo
Aki pigu wooiye
Huyu ni jambazi sugu
Shida ya senior devu hasidi Fred arukaruka tu
Maybe akiambiwa apeleke MTU anaenda kuua weee
Help your friend in mombassa mkiwa na riaga please
May the blood of jesus christ cover you guys.
Don't let that criminal slips in your hands please we want justice for Jerry
Blood of Jesus Christ over you team, God bless Freddie
Script script script huyo nduthi man ni wetu
Sa kwann watu hujificha kwa kanisa
Mkatoliki kamili