Mama Wema ulilolifanya ni sahihi mzazi hafurahishwi mwanae akienda kinyume na maadili yetu na utamaduni wetu wa kiafrika umeongea point na nifundisho kwa watoto wetu waache dharau lazima waheshimu wazazi na tamaduni zetu
Mama hongera kwa kuzaa, pili siku nyingine salamu hii ukiamkiwa kuwa "heshima yako mama,sema iendelee kuwa ya kwangu peke yangu" ndio hivyo mama, samahani kwa kukuelekeza
Angaria watangazaji wa tanzania warivyo kuwa wapumbavu na machokora eti wema mamayake anamushauri nini kuhusu kpata😅😅😅😅 mtoto mtangazaji ni mradi ayo tu wengine nyoko nyoko
Mama kusema ukweli unatakiwa umushkuru huyo kijana kaamua kumstil mwanao pasipo kujali umuri,mwanao katumika sana lakin kakosa wa kumuoa,huo ushauri wako ungeutoaga zamani ungemsaidia mwanao ila leo umechelewa
Kamstil nn sasa,kwaiyo kama kamstl ndo wafanye uhun wa kuzarrsha wazaz waish bila kujulikana nyumbn ila mitandaon,,siamn ktk kustlka naamn ktk Mungu kwamba akiamua kukupa wako ata uwej atabk na ww tu so uhun uhun wa kipumbf
Waandisha wa habar ni wapumbaf sana mnakua ma fala sana huwez muuliza habar za kipumbaf mzaz kama hizo et kuzaa sijui et mapenz huo ni unafk wapumbaf sana nyie huo ni usenge
Na Whozu ndio kamsaidia Wema kurudi kuwa alivyo kujiheshimu alishakwisha 😢 .Whozu arudi kwa Tunda watulie waongeze familia hapo anatumika na hata hamna asante.
Whozu sikia maneno ya huyo Mama wewe bado kijana mdogo ondoka usikae kwa Mwanamke, huyo Mama kakutukana tena ki uwazi uwazi. Huyu Mama kasahau Wema kukaa na Whozu kastirika katulia kwani kuolewa je hao aliotembea nao walimuoa mbona alichezewa mpaka akashuka thamani, afadhali sasa kukaa na Whozu karudi kueleweka. Whozu rudi kwa Tunda huyu Mama anamdomo sana .
Yn uyu n mama wng kabisa ❤wema n una mama mzr mwenye upendo hekima muheshimishe mama ako asee
wema kakaa na mondiiii weeeee mama ukusema kitu leo whozu unaanza kuleta shida 😂😂😂TOKA ZAKOMBELEEEEEEEEEE
Mashallah mama mrembo pia ana saut nzur
Mama unapoint sana mungu atakupa subra na inshallah yatatengenea ameen
Tanzania COME we STAY iko nyingi sana hata Waislamu
Mama Wema ulilolifanya ni sahihi mzazi hafurahishwi mwanae akienda kinyume na maadili yetu na utamaduni wetu wa kiafrika umeongea point na nifundisho kwa watoto wetu waache dharau lazima waheshimu wazazi na tamaduni zetu
Super Mom ❣️
Hili neno heshima yako then unaitikia marhaba mhh
Hongera mama ipo cku wema ata zaa lisilo wezekana kwa binadamu kwa Mungu lawezekana mama umeongea point
Yes maama you are right the man should man up
Mama yuko right
Hongera xn mama zidi kumuombea kwa mungu mwanao atapata mtt ishaalah
Mama kachelewa kumushauri biti yake,katamba tu sana
Nahiyo miaka niuongo amefisha miaka
Mbn diamond kakanae wema bila ya ndoa na hujaaema
Unamshikisha whuzu wema?mbona hukufanya hivyo huko nyuma ,waache wanachunguzana bado,mm kwani hujui siku hizi wanaanza kuishi ndoa baadaye mama
Ni kweli mama umeongea point mtoto ni mungu mwewe
Wewe ni mama 🥰😍
tz mama g petience ozoko mariam sepetu
Mama wema she is supper lady
Very intelligent lady!.
upo right
WEMA BADO UNA MAMA AMEONGEA UKWELI MTUPU FATA MAELEKEZO YA MAMA YAKO AKITANGULIA MBELE YA HAKI HAKUNA MTU WA KUKUSHAURI HAYO 🙏🙏🙏🙏
Ushamuharibu ndio unasema, Tulia tu usijifanye kuwa na hekima..
Kukaa bila kutambulishana si sana, ila kinachomuuma sana mama inaonekana Whozu analelewa na Wema. Hiki ndicho kinamuuma sana mama!!
Mama kaongea kwa uchungu whozu shikamoo😂😂😂😂
Mama hongera kwa kuzaa, pili siku nyingine salamu hii ukiamkiwa kuwa "heshima yako mama,sema iendelee kuwa ya kwangu peke yangu" ndio hivyo mama, samahani kwa kukuelekeza
Mama mhongo.sana wema 1988 yani mihaka 35 ...mungu amurumihe sana you mama kweli
Miaka 35 ni mikubwa
Mama umeongea cha muhimu, ulimzaa wema 1986? Au 1988? Kwa hiyo Wema ni 37 yrs kama sio 35 yrs😂mmesikia hukoo😅au tuongeze sauti
But google says she’s 33
Hiyo imeendaaa
Mama Leo kaongea kweli umri wamwanae 1986
😂😂😂86 ndio alizaliwa then 88 niya kitambukisho
Angaria watangazaji wa tanzania warivyo kuwa wapumbavu na machokora eti wema mamayake anamushauri nini kuhusu kpata😅😅😅😅 mtoto mtangazaji ni mradi ayo tu wengine nyoko nyoko
Huyu mama nimemwelewa anauchungu sana
Mama hampendi Whozu ,,,😂😂hawez sema tu waz
Mtangazaji upo vzr kaka
Sema mama'angu umechelewa mtoto wako ameshazeeka ndo unakumbuka kumsimamia maadiri
Safi sana mama umenena mema
Hawa wakaka wambea mama khaa
Ulishindwa nini kumueleza mwenyewe nyumbani
Hakika mama anaumizwa na matokeo ya mwanawe
Uyu mama ni kama mama angu kabisa mi neno yakee😅😅
Ulilo sema ni sahihi ila alipokua na Diamond mbona hukuwa unaongea hivo ww mama mbaguzi 😂😂😂
Alafu uyu mama kama kalewa ivi ao macho yangu
Mbona alivyokua na diamond mama ulitulia tu kwa hiyo inaonekana wazi mama anaangalia kipato dunia hii balaa kweli Kweli
Anataka ndoa mama sio km hampendi whozu
Sio kwamba hampendi hapana ila hapendi anavyokaa kwa kwanamke bila utaratibu
Hungeropoka siku ya birthday. Ungemwacha asherekee. Ulimdhalilisha hadharani ukamharibia siku ulikosa ustaarabu. Muite kando muongee si hadharani
Mama kusema ukweli unatakiwa umushkuru huyo kijana kaamua kumstil mwanao pasipo kujali umuri,mwanao katumika sana lakin kakosa wa kumuoa,huo ushauri wako ungeutoaga zamani ungemsaidia mwanao ila leo umechelewa
Kamstil nn sasa,kwaiyo kama kamstl ndo wafanye uhun wa kuzarrsha wazaz waish bila kujulikana nyumbn ila mitandaon,,siamn ktk kustlka naamn ktk Mungu kwamba akiamua kukupa wako ata uwej atabk na ww tu so uhun uhun wa kipumbf
1986--1988😂😂😂 mama tukuelewe vp na kule insta card y hsptl feki yaonesha 1990 na bday nyuma ya mwaka 2018 alikua na miaka30. Basi hayaaaaa hayatuhusu
Daaah !mama anajua amezaliwa ila kasahau Wema kamwambia 1990 daaaah,
Tumejua wema n 1986 mama kajkuta kajchanganya ikabd aende sawa na mwanae1988😅
Mwanae kasema kazaliwa 1990 Amefika 33
Mama kaongea kweli umri wa mwanae 1986 kumbe mwanae anajirudishaga nyuma makubwa ndonn Sasa
Hiki kizazi hakijui kuisha kama wana ndoa bila ridha ya wazi ni laana, ni matusi kwa wazazi
Mama anatakai mtoto wake mzuri
Dudu tamu mamaaa
amkia heshima yako ndo nini?
Kwahyo whozu anakaa kwa wema😅😅😂
wandshi wa hbar kuwn na maswli ya mana ssa hv wandshi w hbar wngi ni WA kuokota mtaani ndio mna maswli Yao hyana msingi maswli ya hvyo hvyoo
Yapu
Waache wajichanganye bado hawajasema watasema miaka yake halisi akifa
Sasa ndio mtandaoni jamn .. cku ya kuzaliwa binti yako 😢
Mama alilewa kwanza ndio akaanza kuongea inamaanisha ichi kipo moyoni mda mwingi Leo kapata pakusemea
Kumbe kazariwa 1986 makubwa sasa kujirudisha nyuma ndonn mtu una miaka 37 unasema 33 duuu watu mnapenda utoto dunia hiii wasanii nyie
Afu maza kama kazimua vile 😅
Whozu mama mkwe hakupendi ondoka harakaa umariooo utakuponza
Unakumbuka shuka kushakucha
Vijana wametoka mbio baada ya kusikia comment ya mama sepetu.
Waandisha wa habar ni wapumbaf sana mnakua ma fala sana huwez muuliza habar za kipumbaf mzaz kama hizo et kuzaa sijui et mapenz huo ni unafk wapumbaf sana nyie huo ni usenge
Mather uposawa kingine hajulikan mwanaume ndiomana wema anamuona kama shogayake wote heren na shedo
Wema anaipenda dyudyu sn mama kama anavyokupenda wewe mama.
Mama yupo sahihi sana jaman
Papi ndoo nini hata party
WEMA MSIKILIZE MAMA YAKO HAKUNA KAMA MAMA. KAMA KWELI WHOZU UNAMPENDA WEMA MUOWE ILI MAMA APATE FURAHA NA MPATE BARKA
Muandish unaoji kiswahili unchngnya na kingreza umsomea wp uandshi
Uyu dhahil amtaki whozu ni basi ana namna 😂😂
Na Whozu ndio kamsaidia Wema kurudi kuwa alivyo kujiheshimu alishakwisha 😢 .Whozu arudi kwa Tunda watulie waongeze familia hapo anatumika na hata hamna asante.
Kweli
Hata d alikua hampendi
Kwa maneno yake anataka waache kuzini, ametumia lugha nyepesi tu.
@@kiatu ndio
❤❤❤
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,,,
Mama ameongea kwa uchungu jmn
Mama unapata taabu tatizo mwanao naye anapenda ngono na ndo inavyokuwaga yaan unakuwa tayari hata kuwa kimada miaka buku😊
Sana yaan anapenda. Mishipa
Ndo Mimi mama ya singida ilivyo
Whozu sikia maneno ya huyo Mama wewe bado kijana mdogo ondoka usikae kwa Mwanamke, huyo Mama kakutukana tena ki uwazi uwazi. Huyu Mama kasahau Wema kukaa na Whozu kastirika katulia kwani kuolewa je hao aliotembea nao walimuoa mbona alichezewa mpaka akashuka thamani, afadhali sasa kukaa na Whozu karudi kueleweka. Whozu rudi kwa Tunda huyu Mama anamdomo sana .
Hapan anaongea ukweli
Kaongea ukwel wanaume wa Sasa wanapenda kuishi kwa wanawake
Sasaa mom nitskujakujitambuliza
Huyu mama anatabia za wamama wa kinyakyusa live bila chenga
Lupyana classic 😅
Mwandishi kanjanja kabisa!!
Ata mimi sipendi wema kudate na uyo kipusa whozu Cjui na siku wakiachana naenda kulewa
Unawivu pole
@@willykyando5647 😂😂😂😂😂 wewe mwehu kweli nitamuoneaje wivu mtu kama whozu niache kumuonea Wivu Mume wangu
@@willykyando5647 hiii ni kuchangia mada tu mpenzi kama unapanic kaoge
@@verobecamfipa8655 sawa
ᴍᴀᴍᴀ ᴜᴍᴇᴏɴɢᴇᴀ ᴜɴɢᴇsᴇ ᴛᴜᴜ ᴍʙᴏɴᴀ ᴋᴀᴋᴀᴀ ɴᴀ ᴅɪᴀᴍᴏɴᴅ ʜᴜᴋᴜsᴇᴍᴀ ᴍᴀsʟᴀɪ ᴍᴀᴏᴋᴏᴛᴏ ʜᴜᴘᴇᴡɪ ᴀᴍᴀ