IFAHAMU MIFUKO 6 YA UTT AMIS | PART 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 32

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому +4

    Happy new year ubsrikiwe sana

  • @MosesKigingi
    @MosesKigingi 2 місяці тому

    Utt Amis mko vzr kwa kweli, hongera sana.

  • @Beauty_andmore
    @Beauty_andmore 2 місяці тому

    Umefundisha vizuri sana sana yaani nimeelewa ubarikiwe

  • @WemaMusa
    @WemaMusa 10 місяців тому

    Somo zuri sana na muhimu sana... Ubarikiwe

  • @afyayetutv9624
    @afyayetutv9624 29 днів тому

    We ni mwalimu mzuri nmekukubari

  • @SimoniFrancis
    @SimoniFrancis Рік тому +1

    Kongole Sana
    Nimejifunza kitu

  • @JoesBrand
    @JoesBrand 11 місяців тому

    Nashukuru sana ila je kwenye mfuko wa wekeza maisha nikienda nje ya mpango yaani nikashindwa kufikisha kiwango fulani labda kwa mwezi kutokana na mpango wa kuweka kila mwezi, nn kinatokea., nimesikia kuwa Bima hizo zinafutwa je kuna ukweli hapo

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  4 місяці тому

      Sijafahamu Zaidi Kwa Hilo kwasababu sijawahi wekeza kwenye mfuko Huo. Ila unaweza watumia email Na watakujibu vizuri Rafiki... E-mail Yao Ni : uwekezaji@uttamis.co.tz

  • @shomariibrahimu862
    @shomariibrahimu862 Рік тому

    Sio milioni moja milioni 10 umekosea

  • @annastaziaemmanuel8664
    @annastaziaemmanuel8664 10 місяців тому

    Mimi nina mfuko wa ukwasi,na ninaweka ela kwa kupitia simu yangu,bt imetokea kama mara mbili nikiingiza ela,mara ya kwanza haikuja sms yyte si ya kukubaliwa kwa maombi wala kunijulisha kuwa nimefanikiwa kununua vipande,mara ya pili ilikuja sms ya maombi kukubaliwa ila ya kuthibitisha kununua haikuja,lakin baada ya hapo nilipo weka ela tena nilijibiwa,vip zile ambazo sikujibiwa zinahesabiwa kwa accout au hazihesabiwi

    • @letuslaulian3359
      @letuslaulian3359 8 місяців тому

      Download app ya UTT ,hata meseji ispokuja pesa yako utainona ndani ya app kwenye kipindi walichosema

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  4 місяці тому

      Hello, Kwa ninavyofahamu Ni kwamba sms au ujumbe utapokea baada ya Siku 3 za kazi. Na hata ikitokea Bahati mbaya hujapokea ujumbe.. Hela yako inakuwa imepokelewa. Na unaweza kujua Hilo Kwa kuangalia ongezeko la salio la uwekezaji wako Kwa njia ya application. Asante

    • @ceciliamunisi
      @ceciliamunisi 4 місяці тому

      Mimi nimejiunga na mfuko wa ukwasi mwezi wa 7 lakini nimeshindwa jinsi ya kuvuta hela kwenye simu kwenda utt

  • @marthamwakatika1264
    @marthamwakatika1264 Місяць тому

    Mimi nataka kujua zaidi umoja fund lakini pia mfuko up naweza kuwekeza maana yote naona ni mizuri

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  22 дні тому

      Kama utaweza kutembelea Makao makuu ya UTT AMIS ya kikanda au kufika crdb bank au kutembelea website yao. Naamini utajifunza Zaidi. Binafsi hapa nimetoa Elimu ya juu juu tu kwasababu Sio mfanyakazi Wa UTT AMIS. Naamini utasaidika Zaidi.❤

  • @EthanMria
    @EthanMria 10 місяців тому +1

    Siioni hiyo namba kwaajili ya kuungwa kwenye group,na je kuna gharama kwaajili ya hayo mafunzio??natanguliza shukrani zangu

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  10 місяців тому +1

      Ni bure kupitia Whatsap group kila Mwezi tunatoa Training 2.
      0756216281.
      Na wakati mwingine training Zingine huwa Kuna Gharama za kuchangia Ila huwa Sio Zaidi ya sh.5000

    • @EthanMria
      @EthanMria 10 місяців тому

      @@bupekibiki5151 asante nmesakutafuta wasap

  • @georgendahani
    @georgendahani Місяць тому

    Inachukua mda gani toka umejiunga ndo unaruhusiwa kutoa pesa kwenye mfuko wa ukwasi

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  22 дні тому

      Siku 3 za kazi Hela zinatoka. Haihitaji miaka au miezi toka ufungue Na kuweka fedha

  • @MorineMlowe
    @MorineMlowe 10 місяців тому

    Hii
    Nilikua nauliza kwa mfano katka huo mfuko wa pili bond fund mtu alianza kwa 50k akaicha tuseme kwa 5 years ikakua had 1 million anaingia kwenye gawio la mwezii

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  4 місяці тому

      Hello Rafiki, Mimi sifanyi kazi UTT AMIS kwahiyo maswali ya undani Zaidi kama hayo siwezi kuyatolea majibu... Ila naweza kukusaidia kukupa Email Yao ili uweze kuwauliza Na utapata majibu ya uhakika. Asante.
      Email: uwekezaji@uttamis.co.tz

  • @ekilasa
    @ekilasa 7 місяців тому

    Hii 14.2% ya invest fund analipwa mteja kila mwaka au inajumlishwa inaendelea kuinvest

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  4 місяці тому

      Utakuwa unaona ongezeko la hiyo asilimia kila Siku kwenye fedha zako.. Sio kwamba utaiona tu mwisho wa mwaka. Asante

  • @barakavlogs913
    @barakavlogs913 6 місяців тому

    Samahani unavyo nunuwa vipande inachukuwa mdaa gani hivyo vipande kuingia kwenye account yako

  • @kunsah2
    @kunsah2 Рік тому

    Samahani, naomba kujua una maanisha nini unaposema vipande?

    • @bupekibiki5151
      @bupekibiki5151  Рік тому

      Vipande : Ni Sehemu ya umiliki wa mwekezaji katika mfuko husika. Ukipata muda unaweza ingia Google uka download taarifa ya mkutano Wa UTT AMIS Wa mwaka 2023. Utaelewa Zaidi. Asante Sana.