MORNING TRUMPET: Faida za kuwekeza kwenye mfuko wa hati fungani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @georgenyakerenge1576
    @georgenyakerenge1576 3 роки тому +3

    Skuwahi kujua Kama Kuna mfuko Kama huu ila ktk pita pita yangu nmejifunza kitu leo,ila nmeshangaa Sana watanzania ni watu wa hovyo Sana wao ni kuangalia vitu vya hovyo na kuchapisha ujinga kuliko maswala ya elemu uliyo na msingi kwa maisha yetu ya vizazi vyetu.

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 4 роки тому +2

    Inasikitisha sana kuona watu hawaangalii wala kucomment Elimu kama hizi ila ingekuwa habari za kipuuzi wangecoment comment hata laki

  • @yasinikateula6605
    @yasinikateula6605 4 роки тому

    Yan umeeleza vizur sana

  • @snftvchannel4492
    @snftvchannel4492 4 роки тому

    Somo zuri

  • @yasinikateula6605
    @yasinikateula6605 4 роки тому

    Nimejifunza kitu hapa

  • @marinyasaxistv8121
    @marinyasaxistv8121 4 роки тому

    Thank youuh

  • @kennethtefurukwa283
    @kennethtefurukwa283 3 роки тому

    je bank zote zinatoa huduma hii