Kupigwa kwa mwanamke si kwa sababu hana pesa, ila wanaume wengine ni wendawazimu. Kuna maman wana pesa, wamesoma lakini wana wanaume vichaa ambao wanawatesa. Hapo pastor ni vizuri ujirudie. Upendo ambao una misingi kwa pesa ni ujeuri. Hapo kweli umechonganisha familia. Ni vizuri mwanamke kuchakarika kama Biblia inavyosema kwenye Methali 31. Familia inayomcha Mungu mdoo huishi vizuri. Na jambo lingine ni kwamba ukimuona rafiki yako ana tabia ambazo hata ukimshauli anakasilika, habadiriki, usidhani atabadirika akiwa ndani ama kama mumeisha oana. Ehh Mungu tusaidie.
@malkiarosemuhando3310 cz hakuna mwanamke mjuaji mbere ya mwanamme anaejua kupenda mweny sifa za kuwa kichwa cha familia na sio miguu, ukiona anakudharau ujue ww nimiguu sio kichwa
Baba Mungu akubariki. Ujitaindi kuhubiri watu mahubiri mama Tatu waend e mbinguni 🎉❤
Yesu tusaidie wanawake😂😂❤
Kenya tupooooo❤❤❤
Jamani nakupenda sana pastor ❤u made my day
ooh my God,may God blessed you bishop,its true🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Kazi nzuri.You make my days every day
You always make me laugh 😅😅😅mahubiri matamu
Kupigwa kwa mwanamke si kwa sababu hana pesa, ila wanaume wengine ni wendawazimu. Kuna maman wana pesa, wamesoma lakini wana wanaume vichaa ambao wanawatesa. Hapo pastor ni vizuri ujirudie. Upendo ambao una misingi kwa pesa ni ujeuri. Hapo kweli umechonganisha familia. Ni vizuri mwanamke kuchakarika kama Biblia inavyosema kwenye Methali 31. Familia inayomcha Mungu mdoo huishi vizuri. Na jambo lingine ni kwamba ukimuona rafiki yako ana tabia ambazo hata ukimshauli anakasilika, habadiriki, usidhani atabadirika akiwa ndani ama kama mumeisha oana. Ehh Mungu tusaidie.
Kweli Kuna watu wajuaji hata Ukijatibu kimwelekeza jambo Fulani la kumsaidia anakuonyeaha dharau, mwisho wanaangukia Pu
@@malkiarosemuhando3310 mwache atashauliwa na mungu wake, ukikaa kusubili aibu yake unaweza kuaibika mwenyewe

😄😄😄😄😄😄
😂😂😂😂😂😂