Ni juzi tuu nimeona mtoto yule mdogo wa Fanuel Sedekia amegraduate nilifurahi sana... watoto Mungu ndiye baba wa yatima hatawaacha...❤ Mungu awatunze amina🙏
I declare in the Name of Jesus Christ,you will succeed,you will prosper .Long life is your portion to you,your other siblings and your dear mum.You will not lack anything good in Jesus Mighty Name
In the name of the powerful lord Kwenye ulimwengu wa roho miaka ya mbelen Hawa watoto watawasha moto wa injili na kueneza wokovu kwa fujo sana 💥🔥💥 🕊️🕊️🕊️🙏🙏
Wahoo! What an amazing children. Keep on lifting 🫴 your parents up. Stay strong 💪 for your mom. We serve an awesome God. Stay blessed. Love ❤️ your good spirit.🎉❤😮😮😮❤❤
Huyu mtoto ni WA Marco j bukulu abaye alianga juzi katika Kwa zabron singers...namwobea mungu azidi kama bbake jina la bbake liendelee lisisaulika ❤❤❤❤nyimbo zenu sana 🙏 bwana piga in it....💋💋💋💋💞💞💗💞🙏🙏🙏🙏
Ooh Dear Lord protect this Angels that the legacy of Sir Joseph continue in his offsprings this hurts so deep we've cried asked questions but Lord takw control. Be the father to them
What a song!! God prepared Marco and has left a seed. Japheth water this seed and God's time you will be blessed. Pole sana. God will never leave this family has orphan but the spirit of God is with you
A good lesson indeed to all married men. ensure you have left a legacy within your territory when your departure time shall come. Good work and R.I.P our brother now the fruits of your own seed ,they have taken over. Glory be to God.
We thank God whole granted him Grace of having his own blood children before al these ❤❤❤❤ Glory be to God, crying but happy at the same time see the dp of a young boy who going to walk in the Light of Jesus Christ as his own dad did❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I'm back here after this angel's 1st song 2021 God bless you baby boy 🥰😇, Shalom 😇. May God console your hearts 🙏 during this trying moments 😢💔😭, rest in eternal peace Marco 🙏.
Pôleni kwa kumpoteza baba mzazi, Mwenyezi Mungu awe mfariji kwenu, basi tulimpenda sana lakini Mungu amempenda zaidi nakumuita mbiyo, tunayo matumaini kuonana asubuhi kwa ufufuko wa kwanza kristo anapo Rudi.
Watoto hawa wana sauti za malaika . Mungu awabariki.
Nice song 🎉🎉🎉
MUNGU naomba uachilie Neema kwa watoto hawa na mama yao Amen
Amen
Amen
Keep going young ... so proud to have you 🙏
Team smart girls let's gather here and lift this young Marco to another level for the sake of there dad and mom appreciation 👏👏🙏
Hongera sana mtot mzur mungu awe nanyi amen
Ni juzi tuu nimeona mtoto yule mdogo wa Fanuel Sedekia amegraduate nilifurahi sana... watoto Mungu ndiye baba wa yatima hatawaacha...❤ Mungu awatunze amina🙏
IPO channel gan hyo ya mtoto wa fanuel sedekia
we believe that huyu wa marco pia atagraduate maana naamini Mungu atajalia we know our jesus can never lie🙏🙏 #Mungu kumbuka hili familia
Jaman Mungu awabariki
May Jesus our Redeemer continue blessing this family. Jesus never fails.
Ipo chaneli Gani hiyo my😊
Everything works for the good of those who trust him.Dada take courage in Jesus.Marco is alife
🎉🎉🎉🎉mungu akupe talent keep going on
Marco Joseph ndy huyu tunakupenda Sana mungu yuko na nyinyi msiogope atawafunika na mabawa Yake kama vile kuku ufunika watoto wake
Ncy video blessed song aki jose blessed
Naomba tu japhet ashikilie huyu marco Joseph junior aendelee kueneza injiri . Like father like son may God bless this family 🙏
Amen
Well talented NYC song and beats keep the good work baby boy God will provide and protect you🙏🙏
Bora hata alizaa vitoto vyake vizuri jmnnnnnnn🥲🥲
BWANA akutunze mtoto mzuri Mungu akawe faraja yako katika kipindi hiki kigumu❤❤
Amen amen 🙏🏽
I declare in the Name of Jesus Christ,you will succeed,you will prosper .Long life is your portion to you,your other siblings and your dear mum.You will not lack anything good in Jesus Mighty Name
Amen Hakika ninyi ni jeshi kubwa sana shambani mwa MUNGU,
Mungu awabariki na kipaji Cha baba yenu muiendeleze injili ya Bwana
Watoto wetu, Mungu atawashikilia, tunawaombea . Mungu atawajazia pengo la baba.
Poleni sana
Mungu yu pamoja nanyi..endelezeni huduma ya Baba yenu..Marco Joseph Bukulu
In the name of the powerful lord
Kwenye ulimwengu wa roho miaka ya mbelen Hawa watoto watawasha moto wa injili na kueneza wokovu kwa fujo sana 💥🔥💥 🕊️🕊️🕊️🙏🙏
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakaookuwa mzee! Safi sana wazazi wa Joseph
Ubarikiwe mtumishiufilembarisana amen
May heavenly father grant you much blessings kids keep up the spirit
Wahoo! What an amazing children. Keep on lifting 🫴 your parents up. Stay strong 💪 for your mom. We serve an awesome God. Stay blessed. Love ❤️ your good spirit.🎉❤😮😮😮❤❤
Vizuri sana
Huyu mtoto ni WA Marco j bukulu abaye alianga juzi katika Kwa zabron singers...namwobea mungu azidi kama bbake jina la bbake liendelee lisisaulika ❤❤❤❤nyimbo zenu sana 🙏 bwana piga in it....💋💋💋💋💞💞💗💞🙏🙏🙏🙏
Mungu abariki kipaji mtoto wangu
You are Amazing young boy with brother 😘 sister.May God protect you all.
Mungu watu wanakutumikia ndo wanaenda kwa nini..😢 hii familia walinde ktk jina la Yesu
Mungu akubariki mtoto na akusaidie ufike mbal uendeleze kipaj cha baba ako
Mungu akubariki sana mtoto mzuri mungu awe nawe siku zote
Katoto kazuri endeleza kipaji Cha baba ako❤
I can't believe this oh God giving them wisdom in Jesus name Amen
Gold voice baby ... From kenya
Mungu akulejesee kipawa cha baba yako,,go,,go baby boy🙏🙏
Wimbo mzuri, Mungu amlaze marco mahali pema peponi.
Alijitahd kupata watoto mapema hakika ameacha ata kumbukumb kupitia watoto hawaa 😢 wakati mwingne kuwah kuzaa Kuna faidaaa zakeee
He's a shining star, tumwombee tu Uzima.
Mungu ndiye baba kwa mayatima na mume kwa wajane. All shall be well 😢😢🙏🏿🙏🏿
Pole sana mtoto wetu. Mungu awe nanyi
MUNGU akusaidie katika kipaji chako hakika Familia nzima ni waimbaji Mungu awabariki sana tutaimba mbinguni sauti hii iwepo
Mungu awabariki sana aendelee kukuza vipaji vyenu🎉❤🤝🙏
Ooh Dear Lord protect this Angels that the legacy of Sir Joseph continue in his offsprings this hurts so deep we've cried asked questions but Lord takw control. Be the father to them
Such a sweet and lovely voice jamani hapa hamna tofauti yoyote na babaye may God guide and protect you and your family baby boy
Wishing you the best baby Joseph
Japhet kazi ni kwako hapo juu ya uyu mtoto ana kitu kikubwa.. Mungu amtunze hakika
Eee Mungu uwalinde na uwabariki hawa watoto.
Mungu ndiye baba wa yatima tunawaombea hakika atawatunza watoto wazuri.
Nyie watoto. Mungu si awabariki sana mfike mbari. Mnaujasili sana
Mungu awatue nguvu watoto Kwa kuchukua kipaji Cha baba
Mungu zidi kuwapa nguvu ya kueneza injili kupitia nyimbo kwa familia yote ya zabron singer
What a song!! God prepared Marco and has left a seed. Japheth water this seed and God's time you will be blessed. Pole sana. God will never leave this family has orphan but the spirit of God is with you
May God bless you kids and your mother 🙏u are in the hands of God orphans and widow are special to God amen nice song u will make it 🙏 ❤ 🎉🎉🎉
Mungu akutie nguvu usonge mbele
God protect this kids Amen shetani alaaniwe kabisa akiwa sogeleya
.mungu awabariki kwa hii kipanji, huyu n marco kabisa
Barikiwa sana na mungu atawainua milele pamaja na mama yenu
Mungu akutunze mtoto mzuri kwa kipaji chako
A good lesson indeed to all married men. ensure you have left a legacy within your territory when your departure time shall come. Good work and R.I.P our brother now the fruits of your own seed ,they have taken over. Glory be to God.
Mungu awabari watoto mnasauti nzuri❤
Hongera kipenzi utafika mbali
Mungu akutunze mtoto
God bless you little angels. You are going far; you will carry forward your father's legacy in the Kingdom of God. Barikiweni sana!!!!🙏🙏🙏
Mungu awabariki watoto hatakama baba alisalimu amri
God's doing... He's great
Mungu mungu awabariki awape maisha marefu sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Very talented, skilled young boy❤
We thank God whole granted him Grace of having his own blood children before al these ❤❤❤❤ Glory be to God, crying but happy at the same time see the dp of a young boy who going to walk in the Light of Jesus Christ as his own dad did❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
God bless this children, to prosper
❤❤😢😢E Mungu wakumbatiye watoto hawa nauwakuze vizuri❤❤❤
Mwenyezi mungu akubaliki mtoto mzuli
Wakuzwe Ki muziki kwenye sana
Jamani inauma lakini ukiona hao watoto kuna faraja ya pekee, Mungu awapiganie watoto wazuri
Like the father Like the kids. Watching from Uganda.
More grace...With God all will be well
Mungu akubarikhi xana hakhikha munghu anakupenda xana wewe ni mwanae.
Pole mwanangu kwa kupitiy kipindi hiki kigumu bb enu nimungu wambinguni milele atawalinda 😢😢😢😢😢🙏😭
Mungu mufariji wa kweli fariji jamaahiyi nakundilote kwajumla
Wonderful 💖🙏🙌
Katika uimbaji NAKUOMBEA Mungu aende nawe mtoto kama vile alienda Na baba yako,
Bwana ni mwaminifu atakutendeeni kqa kadri za rehema zake na upendo wake . Azidi kuwadumisha kumfahamu katika utoto wenu,ujana na uzee!
haki mungu hawa tatoto watakuaje na babayao ashatangulia mungu mpee furaha siku zote
Mungu Amfikize huyu mtoto mbali amfariji mamake
Amina mkua mkimpendeza Mungu na wanadamu Mungu awafariji daima..😢
Ee mungu saidia awa watoto na iki kipaji,,,rip well our legend
BWANA AWABARIKI SANA watoto wazuri na awe faraja kwenye kipindi hiki kigumu mnachopitia .
Ukimlea mtoto kwenye maadili mazuri inapendeza sana 🙏🙏🙏
Mungu awatie nguvu 🙏🙏🙏🙏 ktk kipindi hiki kigumu Amina
I'm back here after this angel's 1st song 2021 God bless you baby boy 🥰😇, Shalom 😇.
May God console your hearts 🙏 during this trying moments 😢💔😭, rest in eternal peace Marco 🙏.
Good job God bless you 🇰🇪🇰🇪
japhet familia hiyo sasa ipo mikonon mwako 😂
Pôleni kwa kumpoteza baba mzazi, Mwenyezi Mungu awe mfariji kwenu, basi tulimpenda sana lakini Mungu amempenda zaidi nakumuita mbiyo, tunayo matumaini kuonana asubuhi kwa ufufuko wa kwanza kristo anapo Rudi.
Mungu akutunze na akubariki ufike mbali katika karama yako pia kwenye masomo pia tunakupenda❤❤❤❤❤
Mungu awe kiongozi mwema kwa kipindi hata milele 🙏🙏
May God bless you abundantly little boys 🙏🙏🙏🙏
May the lord God bless this family with happiness Aamen
God bless these beautiful souls
Mwenyezi mungu awangazie Nuru ya uso wake maisha mwenuu
God bless you