MTETEENI YESU (TENZI 71) Mteteeni Yesu, Mlio askari; Inueni beramu, Mukae tayari, Kwenda nae vitani, Sisi hatuchoki Hata washindwe pia Yeye amiliki. Mteteeni Yesu, Vita ni vikali; Leo siku ya Bwana, Atashinda kweli, Waume twende naye, Adui ni wengi, Lakini kwake Bwana Tuna nguvu nyingi. Mteteeni Yesu, Wenye ushujaa; Nguvu zenu za mwili Hazitatufaa; Silaha ya injili Vaeni daima, Kesheni mkiomba, Sirudini nyuma. Mteteeni Yesu, Vita ni vikali, Wengi wamdharau, Hawamkubali, Ila atamiliki Tusitie shaka, Kuwa naye vitani Twashinda hakika.
itawezekana ikiwa watu wote wa kila mahali watamini neno la Mungu na kuacha kuzaliana kwa njia ya zinaa pamoja na kupandikiza mimba kisayansi kinyume na utaratibu wa neno la Mungu .Lakini kama watau badao wanazaliana kwa zinaa kinyume na mpango wa Mungu ushoga utakuwa mgumu sana kuondoa.
Maipo yako utapata hapa duniani mkuu Mwakyembe,hakika kila anayetetea waja wa MWENYEZI MUNGU kwa uchafu napia ujinga kama huu.Zawadi yako utapata,hata tufanyeje wanadamu but nothing.Coz lazima kwake tutarudi tu.Walikuwepo watu wa maana hapa duniani,walikuwepo vipenzi wake MWENYEZI MUNGU.Leo wako wapi?Tucheze napia tumalize yote kufuru hapa duniani but MWENYEZI MUNGU anaangalia huo mchezo napia anacheko coz hatuna UJANJA mbele ya MWENYEZI MUNGU.Huruma sana wanadamu,huruma sana tanzania
@@janesuma-is4wc tangu madai ya haki sawa yaanze dunia imezd kumomonyoka Kias ya kwamba wanadam wamekuwa huru kufanya lolote bila kujali mungu amekataza min na amruhusu min ndipo uovu unaongezeka
Dada Catherine kahabi na Dr.Mwakyembe mnajisumbua bure nawaonea huruma sana hili suala inatakiwa serikali itoe tamko bila hivyo mtapata shida sana na mashoga wapo wengi sana
Unapaswa kuwa na akili, wao wameisaidia jamii kutoa siri hizi jukum la kuchukua hatua n la serikali, wakitaka ushahidi upo watapewa, sio wao kuchukua hatua, na jamii kwa ujumla kuchukua hatua kali dhidi ya tabia hii
Kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ushoga na Ulawiti ni halali waka si kosa la jinai!!?? Labda ndio maana walimu wa Vyuo vya madrasa huko Zanzibar wengi wao wanajihusisha na Ulawiti na Ushoga.
Nimefurahi muona mch Kajembe sijamuona miaka zaidi ya 20,kanisa la Mungu tupinge ushoga kwa nguvu zote tuache wapenda na kuwambatia wazungu,hawa wa leo sio sawa na babu zao wamsionari,hawa ni wa shetani kabisa
Ewe mwenyezi MUNGU kwa akili na nguvu zetu wenyewe hatuwezi bila wewe shusha moto wako kutoka mbinguni uteketeze hawa waovu, kwani viongozi wa DINI na serikali wako pamoja nao, tunakuomba Ewe MOLA wetu malezi tuokolewe vizazi vyetu na huu uovu 🙏
Tunapoona haya yanashamili katikati ya Taifa lenye serikali yenye dola tunafikiri nini? Mnakumbuka kilichomleta Obama Tanzania miaka ile? Je, mnadhani hakusainisha mikataba ya ushoga kwa siri? Au mmesahau serikali ilivyoijibu Marekani pindi Makonda alippamua kuwachakaza mashoga enzi za Ukuu wake wa Mkoa wa Dar es Salaam? SI Bure! Nyuma ya nyuma ya jambo hili kuna nyuma iliyojificha???😭😭.
Ushauri wangu hata vyakula vinavyotoka nje ambavyo vimeongezwa virutubisho tusivipokee kwasababu hao watu wa nje wanatufanya sisi kama watu wajinga maana wanaweza wakaviongeza vichochezi vya ushoga alafu vikaleta shida.
Ninyi mtavuna pia hili jambo mnalisambaza tuu na kulikuza njooni na njia za kuwasaidia vijana hao mashoga wanaachaje ..lakini sio kelele mnazopiga kila siku..wewe ungepigwa mawe pia usingekuepo leo ulipata usaidizi ndo maana upo apo
@@sundaystanley5322 jambo ukiliongelea sana bila kulitatua unaliongea tuu ujue unaliongeza hata kiroho pia hata wasiojua huo ushoga watataka kujaribu...huu ni muda wa kutafuta solutions ya tatizo na kulimaliza au kupunguza
MTETEENI YESU (TENZI 71)
Mteteeni Yesu,
Mlio askari;
Inueni beramu,
Mukae tayari,
Kwenda nae vitani,
Sisi hatuchoki
Hata washindwe pia
Yeye amiliki.
Mteteeni Yesu,
Vita ni vikali;
Leo siku ya Bwana,
Atashinda kweli,
Waume twende naye,
Adui ni wengi,
Lakini kwake Bwana
Tuna nguvu nyingi.
Mteteeni Yesu,
Wenye ushujaa;
Nguvu zenu za mwili
Hazitatufaa;
Silaha ya injili
Vaeni daima,
Kesheni mkiomba,
Sirudini nyuma.
Mteteeni Yesu,
Vita ni vikali,
Wengi wamdharau,
Hawamkubali,
Ila atamiliki
Tusitie shaka,
Kuwa naye vitani
Twashinda hakika.
Asante sana 🙏
Dada nakukubari bule dada yangu,Mungu akulinde siku zote.
Mungu awatunze. Mh. Dr Mwakyembe na Catherine
Mama angalia mungu alivokuumba mzuri sana ni cha ajili yetu wanaume halifu watu wanacha wanawake halafu unaenda kwa mwanamme ujinga kweli
itawezekana ikiwa watu wote wa kila mahali watamini neno la Mungu na kuacha kuzaliana kwa njia ya zinaa pamoja na kupandikiza mimba kisayansi kinyume na utaratibu wa neno la Mungu .Lakini kama watau badao wanazaliana kwa zinaa kinyume na mpango wa Mungu ushoga utakuwa mgumu sana kuondoa.
Hii vita ni kubwa tunatakiwa kusaport kwa njia yoyote tushinde hii vita tukishindwa hii vita vizazi vyetu vitateketeavyote
Mungu azidi kuwainua watumishi!
Maipo yako utapata hapa duniani mkuu Mwakyembe,hakika kila anayetetea waja wa MWENYEZI MUNGU kwa uchafu napia ujinga kama huu.Zawadi yako utapata,hata tufanyeje wanadamu but nothing.Coz lazima kwake tutarudi tu.Walikuwepo watu wa maana hapa duniani,walikuwepo vipenzi wake MWENYEZI MUNGU.Leo wako wapi?Tucheze napia tumalize yote kufuru hapa duniani but MWENYEZI MUNGU anaangalia huo mchezo napia anacheko coz hatuna UJANJA mbele ya MWENYEZI MUNGU.Huruma sana wanadamu,huruma sana tanzania
Dada unayoongea yanatuliza sana yanatuingia masikioni mpaka mioyoni tuko nyuma yenu kwalolote dhidi ya kesho ya vizazivyetu
Hawa haki za binadamu ndiyo wanatetea ushoga, ndiyo walileta ushoga Tanzania
Hapa ndipo penye subira ya watakatifu hao wazishikao Amri za MUNGU na Imani ya Yesu,,,Ufunuo 14:12.
Mhe KAHABI usiogope vitisho yesu yupo
Hawa ndio wanafunzi wa yesu wanatetea injili
Wanatakiwa maaskofu kama hao kujitenga na washenz na kuwakataa kabisa wanaokaa kimya vip alafu wanataka tuendelee kuwaita watumishi wa mungu
Lkn kwann serikali haishuulikii hili swala hizi evidence haziwafikii au …!!🤔🤔🤔 hawazioni au !!?? Serikali inataka ushirikiano gani zaidi ya huo !?
Wanenayoo midomonii mwaoo tofautii na walio yaifadhii kwenye mioyoo yaooo,,,kachemka Makonda aliachiwa sooo,,
Dada pambana mungu yuko na ww usijali historia itakukumbuka kwa ukweli wako dhidi ya ushataniunaomalixa kizazi chetu
Shenz kabisa swal la kujiuliza iv. Tuna serikal kwel au tuna wauaji mbona tanzania inatisha wanawake mnatuangamiza
Wanawe wanawangamiza kivipi
@@janesuma-is4wc tangu madai ya haki sawa yaanze dunia imezd kumomonyoka Kias ya kwamba wanadam wamekuwa huru kufanya lolote bila kujali mungu amekataza min na amruhusu min ndipo uovu unaongezeka
Tatizo tuna maviongozi ya dini yanayotumia huduma Kama sehemu ya kuendesha maisha na sio kwa ajili ya Mungu
Yanauma haya mambo sana watanzania tuamke hiivita kubwa sana niumoja wetu tutashinda kwani mungu yupo upended wetu
Chuo cha NIT mabibo chenyewe kina vijana mashoga na ma tom boy hali mbaya kwenye vyuo hapa tanzania
Haya mambo serikali yetu inahusika yaani inatambua kama haki za binadamu
Angelikana silimeanzishwa uingereza na wana ruhusu ushoga 😂
Amri kumi ni laana tulua ujifunze acha kuongelea usichokijua
Dada Catherine kahabi na Dr.Mwakyembe mnajisumbua bure nawaonea huruma sana hili suala inatakiwa serikali itoe tamko bila hivyo mtapata shida sana na mashoga wapo wengi sana
Maaskofu wa makanisa ya kikiristo Tanzania bure kabisa. This is happening to our society kweli? Government nayo iko kimyaaaaa kuna namna hapa si bure
Hilo sio kanisa ni kilinge cha shetani mtawatambua kwa matendo yao
Sasa naomba Alie juu ashushe Moto kwa wote
Acha kuongelea kutu usichokijua
Haya mambo yalitakiwa kutangazwa nnje ya kanisani
Mm n muislam lakin naona Raha Sanaa kupata watu kama nyie 😢
Huyo Shoga ni Noel Design wa Diamond 😂😂😂😂
Wakiristu siku zote hawajitambui.
Mungu wa mbinguni akusamehe
Mavi wewe
Wewe unajitambua kweli naona
Yaani Mimi hadi mwili unasisimka jamani 😢
Inasikitisha mnoo jmn 😢😢
Dada unapiga kelele sana na hamna solution mnayotoa ..juzi mmepewa majina ya wakubwa mbona hamuwataji hapo
Unapaswa kuwa na akili, wao wameisaidia jamii kutoa siri hizi jukum la kuchukua hatua n la serikali, wakitaka ushahidi upo watapewa, sio wao kuchukua hatua, na jamii kwa ujumla kuchukua hatua kali dhidi ya tabia hii
Acha ushabiki wa jambo tafakari kwanza
Wakiristo mna pelekewa sana walai sijui mtapumzika lini,
Si walioko maeneo hayo walipige kiberiti wakiwa kwenye ibada
Kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ushoga na Ulawiti ni halali waka si kosa la jinai!!?? Labda ndio maana walimu wa Vyuo vya madrasa huko Zanzibar wengi wao wanajihusisha na Ulawiti na Ushoga.
Siyo nzanzibar ty hadi Tanzania
Mchungaji ni pisi aisee
Nimefurahi muona mch Kajembe sijamuona miaka zaidi ya 20,kanisa la Mungu tupinge ushoga kwa nguvu zote tuache wapenda na kuwambatia wazungu,hawa wa leo sio sawa na babu zao wamsionari,hawa ni wa shetani kabisa
Dada mzuri huyu ❤
Hivi hata huyo Waziri wa maendeleo ya jinsia watoto hajawaona hawa.
System
Ndiomana majanga hayaishi kila leo mara mapolomoko ya udongo! mara kovid 19!! Mara kimbunga hidaya!!!
Lkn hii serikali ina kitu inatufanyia bila sisi wenyewe kuchukua hatua,tutaisha
Swala hili la kuzungumza kwa kubembeleza.serikali ipo likizo?
Ewe mwenyezi MUNGU kwa akili na nguvu zetu wenyewe hatuwezi bila wewe shusha moto wako kutoka mbinguni uteketeze hawa waovu, kwani viongozi wa DINI na serikali wako pamoja nao, tunakuomba Ewe MOLA wetu malezi tuokolewe vizazi vyetu na huu uovu 🙏
Kusaga kunatukio moshono laiza
Maaskofu mko wapi nchi hii. Mnamwabudu nani? Kwanini hamumtetei Yesu anapotukanwa?
Hawa ndio wanao utangaza Sasa
Tunapoona haya yanashamili katikati ya Taifa lenye serikali yenye dola tunafikiri nini?
Mnakumbuka kilichomleta Obama Tanzania miaka ile? Je, mnadhani hakusainisha mikataba ya ushoga kwa siri?
Au mmesahau serikali ilivyoijibu Marekani pindi Makonda alippamua kuwachakaza mashoga enzi za Ukuu wake wa Mkoa wa Dar es Salaam?
SI Bure! Nyuma ya nyuma ya jambo hili kuna nyuma iliyojificha???😭😭.
Kanisan langu katoliki ukimya wenu viongozi wetu unatutia mashaka,
🤓🤓🤓🤓🤓🤣🤣 papa mtakatifu ashamaliza kazi
KanisAn wanakemea
Papa si alishasema
Ushauri wangu hata vyakula vinavyotoka nje ambavyo vimeongezwa virutubisho tusivipokee kwasababu hao watu wa nje wanatufanya sisi kama watu wajinga maana wanaweza wakaviongeza vichochezi vya ushoga alafu vikaleta shida.
Hivi kweli tuna wachungaji wanaomwamini Yesu?? Je, wakristo nchi hii ni Mwakyembe na Catherine tu?
wachungaji wenyewe njaa kali
Mm Cathelini nakupenda sana ila tatizo lako unamihemuko sana punguza hiyo mihemuko
Mihemko kam ipi ebu tufafanulie 🤔🤔🤔
Mwache aongee ndugu hii kitu inaumiza Sana 😢aongee TU kwanza mashoga wanyongweeee
Mwache aongee❤
Ninyi mtavuna pia hili jambo mnalisambaza tuu na kulikuza njooni na njia za kuwasaidia vijana hao mashoga wanaachaje ..lakini sio kelele mnazopiga kila siku..wewe ungepigwa mawe pia usingekuepo leo ulipata usaidizi ndo maana upo apo
Yaan wewe nahisi utakuwa mmoja wao,hawa wanaonya wewe unasema wanasambaza na kulikuza,upo serious kweli wewe
Ww ni msagaji
@@samwelnaal7952 kachunguze historia yake kwanza ndo uje kuniuliza