Mimi ni Yanga ila Mo anapenda sifa kwa ahadi alizotoa na kuepuka kuaibika Simba najua atafanya kitu cha maana kwani hatakuwa tayari kuaibika kwa mashabiki na wanachama wenye matuaini makubwa na yeye!!!!
Hamna ushahidi MO ni mmoja wa mabilionea vijana baronial Afrika. Forbes is an unreliable source, mind you. Mzee wa Data hio ni speculation tu kuwa Simba itakua tishio.
Asante mbwaduke kwa ufafanuzi simba nguvu moja
Mvweduke shukran kwatalifa nzur tunakufwatilia tukiwa Oman uwarabun tunafurahia utangazaji wako Allah akuifaz ndungu yetu
Uko kuna ndugu yangu nilipotezana nae kwenye mawasiliano
Sawa nimekuelewa nisemee iwekweli kweli simba nguvumoja nitashukuru yakitimia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu moja ❤❤❤❤
Mbwaduke ni tishio kwa wachambuzi bahasha za kaki na media zake🎉
An sana ngoja kwanza 🎉🎉🎉🎉
MO the best
Nimeelewa mo nizaidi maana anaamini ktk maisha ya ushindani tuko pamoja naye
Nice mwanduke you are giant of sports
Simba nguvu moja
Club zote tz zinatetemeka hoi
Pamoja kutoka geita
Kweli sana
😢BU
Tunataka Simba ishuke daraja kabisa ndo furaha yangu
We nimwamba sana tena kwa wachambuzi wetu watanzania wehuna mambo mengi wwngi wao uongo mwini yani uchawa chawa ila ww msema kweli
Huyu mwamba nitegemeo Sana kwenyedata sport tz
Mimi ni Yanga ila Mo anapenda sifa kwa ahadi alizotoa na kuepuka kuaibika Simba najua atafanya kitu cha maana kwani hatakuwa tayari kuaibika kwa mashabiki na wanachama wenye matuaini makubwa na yeye!!!!
Tajili ikisema amesema,simba nguvu moja
Mo ameifanya simba anavyotaka muindi.nimpiga hela hana lolote
Kaa na yanga yako
Sasa ulitaka mamaako ndiye awe kama Mo?
Kutofunga kumesababishwa na Kibu na Ntibazonkiza Tulisema tangu mwanzo
Uwanaenjoi ukiwa unawachambua wachezaji mahili wayanga
😮😮😮
Bwaduke wewe nimchambuzi mahili lakini kwa simba unajichosha bule
Mjomba yupo kazin
Kaka hata aliye nafasi ys tatu,tano na sita hawajaingia kucheza
Hapo hakuna kitu mzee unajichosha tu tuna hayo maneno yako utakuja yakataa
😮. 😮😢🎉😮🎉 1:32 n
Utopolo wanaweweseka, mipango yao ya kuizima Simba inakwama.
Kumbe Simba inazimwa na Yanga?
Hamna ushahidi MO ni mmoja wa mabilionea vijana baronial Afrika. Forbes is an unreliable source, mind you. Mzee wa Data hio ni speculation tu kuwa Simba itakua tishio.
Kongole
Una tatizo
Nakukubar sana mchambuzi wangu bora wa mwaka
Bwaduke hujawahi kutoka taharifa za uwongo hivyo tunakufatilia sana
Unyama sana mbwaduke
Taarifa nzuri san unajua
Asante nze mbuaduke nakukubar nakufuatiriga nikiwa msumbiji Maputo 2:41 u
Nice
akina mangungu walituangusha mno
Simba nguvu moja
😅😊😮😢🎉😂❤ simbaa
Simba pamoja san
Simba 🦁🦁 love 💕