Simba hata leo, Leo Simba 4:0Azam kocha watamkataa❤❤❤❤ hii Simba ni moto kila team na every match Simba mnyama atavuruga sana team na kuzigawa vipande vipande🎉🎉🎉🎉
HUYO AL SHUKRI NI MWALIM WAKE NABII 😂😂😂😂 NATUMA RAMBI RAMBI ZANGU SOUTH AFRICA KWA COCHA NABII MWALIMU WAKE KULIWA KICHWA 😂😂😂 ❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ BADO YULE COCHA WA SUPU CHAPATI DAMPO FC 😂😂😂😂
Wamemuonea kocha was watu watajuta kwanini walimfukuza,wawaulize waarabu wenzao wakija kuchezea na Simba kwa mkapa hutoboi.yanga mwenyewe kakimbia kwa mkapa.
Watafukuzwa wengi msimu huu uho ndo ubaya ubwela jaman mm ni wakwanza like hapa kama wew ni mwanasimba
Asante Mr.mbwaduke
Kabisaaaaaa
Nakupat kiongoz❤❤
Simba nguvu moja
Hahaaaaaaa mbwadukeee weee wahabarishee
Simba hata leo, Leo Simba 4:0Azam kocha watamkataa❤❤❤❤ hii Simba ni moto kila team na every match Simba mnyama atavuruga sana team na kuzigawa vipande vipande🎉🎉🎉🎉
Amebaki Mmoja hapa tz gamond
😅😅😅😅😅😅😅
Ndugu Taaluma ya uandishi wa habari uliipata kwa usahihi Asante Sana tupo pamoja
Tupemadini mr mbwaduke
Bado yanga nao watafukuza kocha wao labda wakimbie inchi hii
MABURURU AJE SIMBA
Hatuna bilioni na nusu ya kumlipa labda aje tumpe milioni 30 😂😂😂
Na bado wengi watatimuliwa msimu huuuuuuuuu
Safari mtawafukuza makocha na wachezaji wengi hii ndio simba ubaya ubwela tutawapanga mmoja mmoja
Labda simba ndo watafukuza makocha maana hawana akili
GAMOND mwaka huu atatimliwa
Hadi waarab waelewe kuwa simba ni timu ngumu kuiondoa krk hatua ya makundi watakuwa wamevurugana sana
Anaefuata Ni Gamondi😂😂😂😂😂
HUYO AL SHUKRI MWALIM WAKE NABII RAMBI RAMBI ZIENDE SOUTH AFRICA KWA NABII 😂😂😂😂😂 ❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubayaaa Ubwelaaaa unazidi kukolezwaaa
😅😅Bado wataliwa vichwa sana
Simba nakumbuk iliwapg el merreck yanga wakampta Nabi kwahyo nikawaid yetu hiyo
NA YEYE AKIJA SIMBA ATAFUKUZWA TUU
Vipi kuhusu mpanzu ateweza kucheza mechi za makundi simba🇹🇿
Mzee wa data unatisha!
Ubaya Ubwela hautakamilika mpaka kocha wa kikosi cha Kauka Nkuvae atimuliwe
Ubaya Ubwela
The next is migelo gamondi sisemagi Uongo mimi. Ukichukua ni Ivo usichukie niwew. I don't care. "Ubaya Ubwela."
Gamond fundi sanaa
Ataondoka fadlu trh 19 oct
Kweli walikaangwa.
Okay 😂😂😂😂😂
Bado gamond tu😅😢😂
Huo ndio u maana wa ubaya ubwera.
Bado mabluu
Walikosea sana,kumchokosa mnyama,Wamfukuze naMabululu 5:03
😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂 kocha baada ya kipigo kitaktifu ubaya ubwela ,umefanya kazi yake. 😂😂 Watafukuzwa wengi ambao watakuwa wanakutana na simba
HUYO AL SHUKRI NI MWALIM WAKE NABII 😂😂😂😂 NATUMA RAMBI RAMBI ZANGU SOUTH AFRICA KWA COCHA NABII MWALIMU WAKE KULIWA KICHWA 😂😂😂 ❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ BADO YULE COCHA WA SUPU CHAPATI DAMPO FC 😂😂😂😂
Yule kipara wa komba mwiko ulio nyuma😂😂
Huyu ndo mchambuz wengine wanasoma tu maneno
Edwin Balua😂😂
Shida ni kamdomo ka mabululu
Ubaya
Nabado kunammoja yupo uko jangwan tutamfukuzisha kazi sis simba
Wamemuonea kocha was watu watajuta kwanini walimfukuza,wawaulize waarabu wenzao wakija kuchezea na Simba kwa mkapa hutoboi.yanga mwenyewe kakimbia kwa mkapa.
MWALIMU WA NABII KALAMBWA KICHWA KISA MNYAMA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
wamekurupuka2 na mabaunsa hawakuuliza wanapoenda kuna mazara gani wao walijilinda sana kutokufanyiwa vurugu
Hata aliyewapa wazo la mabaunsa naye wamtimue
😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@yugemasanza1008
Mmbado,wamfukuze na Mabululu,walimchokosa mnyama.
Nabad hawaja fukuza moto ndio mwanz haujakolea
Vipi mabururu
😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
Anafuata kipara wao wale jamaa
Eeeeh subri trh 19
wamekaangwa uko hakukaliki