Hospitali ya Mama Lucy Kibaki yajipata mashakani
Вставка
- Опубліковано 16 кві 2023
- Serikali ya kaunti ya Nairobi imefanya mabadiliko kwenye bodi ya usimamizi ya hopsitali ya Mama Lucy, saa chacha baada ya video ya mwanamke mja mzito kuonekana akitapatapa kwenye hospitali hiyo. Mageuzi haya yakijiri huku hisia mseto zikiendelea kuhusiana na tukio hilo ambapo mama huyo baadaye alimpoteza mwanawe kabla ya kujifungua.
- Розваги
Okward incidences normally happen Kwa hii hospitali, Kwani how careless are the medics over here??? this so inhuman
Hii hospitali inafaa kuwa ishaa fungwa kitambo,it's heartbreaking 💔
This hospital have many problems in kenya
So sad 😢😢 may God intervene to that family
Were the nurses and doctors on strike? Were they paid? Whatever the case, that's very inhuman. Just close the hospital and let the poor Kenyans seek services elsewhere. Nkt
I support citizen tv
Shut this useless hospital. What a shame wajinga wao
Mimi naendanga private. Afadhali nilipe zaidi kuliko kumpoteza mpendwa wangu
Why is this hospital not closed
I don't blame hospital management I blame government
Don't blame the government on everything..Government will never bring humanity in someone.....if you have a good hrt of hlp, do you think you will wait for the right person to hlp yet you capable of hlping?
Hii hospital Si ifungwe
Hii hosi hapana juu nilipeleka mgonjwa juzi nikiwa na mtoi Kwa mgongo but niliingia saa moja usiku but nilikaa hapo mpaka hasubuhi kaa hajashuglikiwa mgonjwa ,,,Cheney niliona hiyo hosi sitawai peleka mgonjwa tena 💔💔💔💔😭😭😭😭
Eti padlock imekwama what's that,shame on you hosi inafaa kuwa open soldier akae kwa mlango sio kulock
Governer sakaja close the hospital for good
Fungeni Ii hospitali bana ,what is this
Oh God Almighty, Haki mungu huruma zilienda wapi jameni Kenya yetu
Oh may God 😭😭😭
Close that Hospital we have heard enough of it
😢😢😢😢😢
Hii kitu inafaa kua ishaafugwa kitambo sana,the management is very poor,they don't care
I almost died at this hospital during 2020...never again
This place shd be just closed down. Anyone I know that goes there doesn't come out.
Ataifungwe juu haisaidi aki 😭
Transferring problem 2 pumwani💔
So sad 😭😭 I think all doctor there should be removed from that hospital every time more problems 😏😏😏😏
So sad
Hii hosi mbona isifungwe someone from out side alikuja na kufanya investigation ya kuuzwa watoto and still huduma mbya bt bdo iko open, kubadilisha Hao nothing change
Haraka Gani!!!!!
Why don't you change the entire management.Mnatuchokesha sasa.The hospital is good but the workers are hell.
Hawa WA pumwani wako Sawa kweli wangetoa out side Nairobi.
The shuffling may not work. An overhaul of training in customer service, value for all human life, and good work ethics is needed.
Tena wanapelekwa pumwani woi
Makubwa haya
Hii hosi ifungwe to mtoi wangu alikufia huko
This is no new this hospital is a disaster in all time and is a disgrace and so so dangerous their many have died the are inhuman even PR is not in this hospital this is just one but here many lost their lives everyday due to negligence and arrogant and insults
Right
Kenya siasa dio imewkwa kibao mbele akna huduma zinadlea vizuri
It should be permanently closed
Wakale tu
Hos sio shinda shinda ni hao madaktari majority hawana esperience yaani hawana utu
Why transfer her to pumwani?she should be sacked.
This hospital helps no one
Doctors and nurses,please do better work not bora kazi ,na huko pumwani ndiko hatapeleka madharau jameni,hawa watu wawe sued ndio wapate adabu aki,be human
Kila mtu afutwe kwa hyo hospital
Amehamishiwa Pumwani?😒😒😒 utayasikia tena
Illuminati ni real
Mtajua hamjui,,,,, bottom up
A..aaaaakh. hi issue ya kitammboo.😢
Dead baby cant stay for 2hrs in a mother's womb without causing the death of the mother also
my wife got twins there but I struggled to get those watchman doors, thanks God my twins doing goods back here at home, cia mama lucy ngaria ndimukuru muno , Ibut I can't recomd to go there again
father typing
This is no new this hospital is a disaster in all time and is a disgrace and so so dangerous their many have died the are inhuman even PR is not in this hospital this is just one but here many lost their lives everyday due to negligence and arrogant and insults