Mwanamke wa miaka 23 amwagiwa mafuta moto Mombasa
Вставка
- Опубліковано 7 тра 2024
- Familia moja huko Mombasa inalilia haki baada msichana mwenye umri wa miaka 23 kumwagiwa mafuta ya kupikia yalioyokuwa moto na aliyekuwa mapenzi wake zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Inadaiwa mshukiwa alichukuwa hatua hiyo baada ya mwathiriwa kudaiwa kumtaliki .
No comment about love, i only sympathizes with the mother.
JUSTICE FOR DEBORAH 😢
Eeish! And the way she's beautiful😩...she deserves justice😪
Justice for only the beauty???
A typical naturalistic thinking, survival of the prettiest.
Doctor wafula esike my schoolmate Mungu akusaidie kwa kazi
Na unafanya kazi gani wewe siku hizi?
@@belongskits😂😂😂
@@belongskits😂😂😂😂
Gaii haikua ifikie apo😂😂
Some men are animals.justice be done Aki.
Wicked man.very sad and painful .Quick recovery dear
thats why i enjoy my single life, Jesus is enough, ever present. He never fail
A he or a she?
ngai even me better stay single and she is a mother God have mercy
Kabisa!!! 💯💯💯 Jesus is Lord. 🙌🏽
Tunaamini Mungu and don't bring religion into this. If you have not found anyone who loves you and appreciates you mnyamaze. Maybe nyinyi ndio kasoro. God loves relationships so pray. Ati single single 😂😂😂 boohoo
@@harlemroots7019 hey you sound so bitter about those who are happily single we love ourselves first, we were loved by our mothers enough so we are not looking for love in other people or all the wrong places
Oh Lord this is sooooo wrong. Please please don't ever do this to someone's child surely where did humanity go!!!!!!!!!!!! So Devastating
Very sad aki 😢😢😢😢😢
That man if found needs to be subjected to mob court of justice
Weh! Wacha mapenzi yakae bana, Justice for Deborah.
Quick recovery and let God fight for you😭
Wickedness to the core
This is so painful.. why is that man free? Let's help this family where we can.
Quick recovery my sister 🙏
Ya Rabby 😭
Subhaana Allah
Mmmmm x ukiachika achikaaaa
Jesus your name is the great physician. Heal her, amen.
Sorry but that won't work. Depending on the severity of her burns she might need specialized medical treatment
That's very wicked, mbona afanye Ivo?
Get well soon Debbie
Woiye ad the way she was beautiful
Quick recovery..thats a weak man...so weak...
Such men are a majority,they keep frustrating women and helpless people.
GOD Take Over Oiye 😥😭 It's Well Wangeshi Atapona In JESUS CHRIST Name
So sad ningekuwa around huyu chalii angekuwa maiti
One of the underestimated diease and illness in this world is love. Any slight error in love can cause regrets and unnecessary damage.
Manze apate justice.she is beautiful ata kama alikosa kuchomwa nayo ni ngori..justice to deborah
Pole sana mami. Amemharibu aki. God will serve him justice though. 2:52
May God restore her to full health and beauty again. Pole sana
Why is that Devil ain't in jail? What's wrong with our justice system!!!. He should be in jail already!!. Quick recovery sweetheart.😢
Quick recovery Deborah . justice for her
Take that kid home do not make it hard for him or her she can’t bear seein the mother like that pleeeeeeeese save the kid mentally
Which home?
They don’t even has a family member why you ask which home is the hospital the home
Akae na nani home?
So sad for real,may justice be prevailed for Deborah
Pole
Atapona...
Justice for Deborah.
Dawa yao nikukataa uhusiano wa kimapenzi na watu kama hao cz they ill never let you go for free.
Chuki binasfi.
SubhanAllah, very sad 😢
Uyu dame nilikuwa namuona shanzu bush. It is so sad
Mungu wangu. Katili
The reason I love Islamic law.. An eye 4 an eye and a tooth for a tooth 😭😭😭akipatikana amwagiwe same mafuta b4 any other step is taken
Subhanallah
This is inhuman, justice for this lady.
🔥
Woiii aki😭😭😭😭
Ukiwachwa achika . You will not be the first person or last person to fall in love. That man should be serving a prison time like yesterday.
Shame on the boy, even Shame on police for letting him loose!
Why surely 😮
Duh poleni
EFFECTS OF RAISING LIAMS MEN IN THE SOCIETY, VERY WEAK AND EMOTIONAL FELLOWS.
True.
Weak men are the pandemic in our society.
Wickedness, kwani mapenzi ni lazima why do this to someone...
Sad sana,ikishindikana wacha mtu aende zake jamani
So sad😢
Justice to prevail
May the Lord's grace be sufficient
miserable comforter detected
Kwani lazima you respond - Keep your foolishness. The burns and marks are irreversible. That was the whole intention of the perpetrator.
@@dokaberia yes I was right.
@@africanqueenmo we wish her quick recovery.
Justice for debora
So sad
Deborah can still afford to call the suspect"chali yangu"
Quick recovery
Too bad, get well soon
Wakti mwengine Unasema Wanastahili Kuchapwa Makofi na KDF. Police niwafisadi Sana.. Jingazzzzz
Wachapwe kabisa ba kdf
Aki wakikuyu
quick recovery
Justice for her
Sad😮
What a wicked thing to do to someone, this is so sad justice for her!
That guy has to get the same punishment period. We have to take the law in our own hands. We have government
Mungu atuongoze ni ngumu kujua mpenzi wa kweli 😢😢wooii watu wamegeuka kuwa hayawani
itabidii uangalie kwao wako vipi or if you see any signs of evil once they show you who they are believe them
This is sad.. Why ruin someone life???? Huyo anafaa kufanywa mambo kemkem
Uyo mwanaume ako uhuru bado
GBV in Kenya must stop!
Why all these my fellow human beings??
😮
Hii Kiembeni Police station inafaa kufanyiwa overhaul coz Iko na cases nyingi sana imekuwa ikihide
Justice for Deborah
Huyo mtu anafaa amwagiwe the same pia....nkt!!!!! Ghai!
😢 sad.justice for debora
Nowanda we need sheria kama za Saudi Arabia ukifanyia binadamu mwenzako unyama nawe pia face the law fully
Ingekuwa muisilamu watu wangejaza matusi hapa kwa commentna kutukana dini but since ni mkristo inasikitisha sana Allah atuepushe na shari
😭😂😭😂😭 unafikiri wanawajali wanawake?!
Watu kiembeni Wana hitaji maombi
Ni mimi nimeskia Wangechi 🤔🤔🤔...polisi waanze uchunguzi hapo.Mlima Kenya yet another one.
watu ambao wanachoma watu na acid ata europe wanajifanya ni wazuri sana he doesnt own her she left him he should find another lover sio kukwama kwa mtu mmoja
N ladies pls ukiwacha mtu jua ameumia wavha kuwa friendly na watu wake. Even you men
Lord jesus! 😢😢
Unacceptable!!!
Yani binadam anageuka kuwa mnyama na Mungu amushugulikie huyo aliye tenda kitendo hichi kwa Jina la yesu Kristo
Why hasn't this guy been arrested? 🤔
He is still at large please, the law will take it course
Ukiwachwa achika
Julo huyo msichana alienda nini huku tena ukiachana na mtu tembelea mbali na yeye asichue maneno yako. Go to a different town otherwise nikubaya
So evil 😈 even the sister of the Guy 😭😭😭😭 am sorry to the mother
Aliachwa akakataa kuachika..hii mapenzi nayo
So sad ukichoshwa na mtu let her go why destroy someone's life just because of disagreement
It evil, God intervene
He didn't intervene when this was about to happen though
Jmn
The sister might have something to do with this. Let ex relatives remain ex relatives.
Mapenzi n pili pili
May GOD heal you
😭😭😭😭🙆☹️☹️☹️
chaki yangu alinimwagilia mafuta!!!??‼️‼️‼️she still call that beast chali yangu 🤔🤔🤔‼️‼️
Badu anamuita chali yangu?
Ati chali yako
Quick recovery Debs😢😢be strong 💙💙❤❤
Wanawake wametopoa mapua hawana huruma wanakuhadaa na hawaolewi ila wanaume kibao,wanapenda pesa.Anyway apone haraka.
sasa ukiolewa ndio shida zita zidi men want people to get married by force kwani kuolewa ni degree,
Some men prefer kukuacha ba aone ukiteseka,,but akuache na ufaulu ni shida,na pia ukimwacha na shida,ego yao iko juu sana
Same to women. No gender is neither good nor bad.
It's just bad people. Pray you don't meet them.
Haki itendeke
Some men are a wolf in a sheep clothes,.. Why can't you think before destroying someone's daughter,? This is inhuman, quick recovery in Jesus mighty name Amen