ATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA RAFIKI YAKE NA KUMUIBIA MILIONI 61, KAMANDA AFUNGUKA ILIVYOKUWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • Mussa Khamis Bakari alimaarufu kama buda mkazi wa Temeke Dar es salaam anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuaa Abdallah Twahir Selemeni mkazi wa Chanika baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alichukua mwili wa marehemu na kuutupa pembezoni mwa barabara itokayo Cheka kuelekea beach Kichangani baada ya hapo akachukua kadi ya benki ya marehemu na kwanyakati tofauti tofauti alianza kutoa pesa hizo
    Taarifa hio imetolewa leo Julai 11,2024 na Kamanda wa Polisi Jumanne Muliro alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano kituo cha Central Polisi Dar es salaam

КОМЕНТАРІ • 19

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 14 днів тому +6

    Siku hizi rafiki yako ni Mungu wako tu.

  • @JacksonChikopole-um6kn
    @JacksonChikopole-um6kn 14 днів тому

    Hongereni jeshi la polisi kwa kazi nzuri

  • @user-md7bq3ew4e
    @user-md7bq3ew4e 14 днів тому +5

    Pesa una nn mpaka tunatoana uhai? Ee Mungu uliye hai utusamehe sisi wenye dhambi.

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 14 днів тому +5

    Ila polisi wakiamua hata ungejificha wapi watakupata tu

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 14 днів тому +4

    Ndomana mimi sina rafiki 😂😂

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 14 днів тому +3

    Rafiki staki kwa kweli

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 14 днів тому +3

    TamaaZingine.SubhanaAllah.sasa.kapatanini

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 14 днів тому +2

    Chamsingi mambo ya pesa usimshilikishe rafiki wala jilani

  • @tupegigwensajigwa2629
    @tupegigwensajigwa2629 14 днів тому +2

    Rafiki hakika hakuna kabisa wengi ni chatu

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 14 днів тому

    Hongera jeshi letu kwa kazi nzuri

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 14 днів тому

    Mungu kamlaani kauwa pesa hajazitumia na inshalkah jela ya milele ataingia

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 14 днів тому +1

    Rafikiako die hadui wa miasha yako usimwamini sana

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 14 днів тому +1

    Ukidharirisha.Allah.Anakudharirisha.pasupasu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 14 днів тому +1

    Walichome hadharani

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 14 днів тому +2

    Rafiki mkia wa fisi wallahi!

  • @user-dz5jc6pp8e
    @user-dz5jc6pp8e 14 днів тому +1

    Anyongwe

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 14 днів тому

    Buda kweri wakala wa sweitwani huyo nae anyongwetu basi wakakutanehuko maana huyo umbwa hanaatahuruma. Unamuua rafikiyako kweri

  • @JacksonChikopole-um6kn
    @JacksonChikopole-um6kn 14 днів тому

    Hongereni jeshi la polisi kwa kazi nzuri