Nedy Music Ft Ruby - One and Only (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Here is the official video"ONE AND ONLY" By NEDY MUSIC ft RUBY The Music video was shot in Tanzania by super talented East African video Director Hanscana of Hanscanabrand Lovely African Tune produced by YOGO BEATS (TNT PRODUCTION)
Nedy Music ft.Ruby latest song #One And Only►mkito.com/song... /One and Only Hits of #Nedy Music ft Ruby► www.boomplaymus...
One And Only Ft. Ruby- Nedy Music.
Hit bongo flava artist Nedy music featuring Ruby from Tanzania has dropped a new video titled "One And Only".
Nedy Music latest Song One and Only ►mkito.com/song... Tune into the Nedy Music ft.Ruby brand new song "One and only". Nedy Music other songs: Nedy Music latest song One and only► mkito.com/song... Follow me on : / nedymusic
❤ 2024 ngoma kali Sana hii kama tupo pamoja like hapa 💚
Nyimbo tamu sana hii naipendaaa❤❤❤❤🎉
Msanii anayeongoza kwa kupendeza bongo kwa sasa ni #nedy, kama unakubaliana na hili gonga like
f
Una mawazo kma ya kwangu
It's true ata Mimi natoka Kenya nampa heko msanii Nedy
nakubali
Namkubali xna nedy
Nani mwengine anae ielewa one and only ya nedy na ruby? gonga like yako hapa💥💥💥👉😀😀
Ngoma kali aiseeee mmekutana mafundi wooote
Kama umeikubali hii nyimbo ONE AND ONLY Gonga like twende
xxx
Naipenda San iyo nyimbo kiukweri
kama unamwelewa Nedy gonga like apa
Kama mpaka leo bado unasikia uyu wimbo kama mimi gonga like apa jamani🙏🙏💃💃💃💃
Sichoki kuskiliza nakuichek hiingoma naipenda sana love neddy and ruby
Mambo vp
Ruby wewe ni Rihanna wa bongo
U have such amazing vocals
Umesmama wakwanza hakuna zaidi..we nati mi spana nakaza zaidi..nikuoe my baby tena ikibidi..ndoa ifungwe kwa mama nedy...
Nyimbo nzuri sana nimeipenda kinoma kama unamkubali# Nedy twende sawa
Amapiano imeharibu ladha ya muziki wa kitanzania. Hizi nyimbo ndiyo ladha ya Tanzania
Neddy ni King wa fashion Tz kwa upande wa wanaume, kama unamkubali gonga like!
Nedy we mkali kama unamkubali nedy gongs like we love u nedy congratulation
The Lady has nice vocals.
Good work.
Nedy Umeuwa Sana Kaka
Walioletwa na tuzo ya Ghana hapa tujuane,...
Meddy unanikosha mwenzio kiukweli upo vizuri unavyoimba ukicheza ndo unanimaliza kabisaaaa dah Gud saana
Uwiiii ruby mama wakuache miaka miaaaaaa ninavokupenda uwiiiiiiii
My celebrity crash❤❤❤ from kenya
Napenda hizo movement
afu video Kali
Mwisho kabisa napenda melody hongereni 😂😂💪💪💪
Yeah i agree the melody iko dope ruby n nedy killed it
uwongo mbaya uyu kaka yuko vzr sana masha Allah bye Nurin Noreen
.....slowly....... nedy.... one love ruby ahaaa umetisha Sana.... like za nedy na ruby hhhhaahaaa
Neddy wewe ndio unaweza kufanana na tecno kwangu unafaya mziki mzuri sana pili na penda unavyo nyumbulika ushauri jaribu kutumia mwili wako zaidi kunyumbilika kwani nakwambia ukisawa usisahau Ku like na Ku comments hapo chini
Daaaah ngoma kali sana yaani da Rubby unanifurahisha hatari usipotee basi dada
Kazi nzuri mno
Hakuna Jambo nzur Kama Mme mwema👈👈👈👈 ndoa ifungwe kwa mama nedy kawimbo katamuuuuuu
254 nimemkubuali kijana Nedy, sauti na miondoko shwari, gonga like
Safi sana Ruby 💎... Umeonesha wazi kuwa huchuji
Mahamoud Jacob m 🤣🤣🤣🤣🤣
Nedy 🔥🔥🔥
Likes za 2025 hapa?
Leo tarehe 24.04.2023 bado nakula ngoma hii nika ilitoka jana tu.....well done mr nedy
from nigeria we love you Tanzania n de song z great
Zarliah Araphaty Great
Welcome to Tanzania 😉
And We love Nigerian Songs..♥
huyu kaka n mnaigeria sio
We love u too
safi ned nyimbo kari umenifuraisha ulivocheza ruby amefiti vzr
Ngoma kali sana Nedy hizi ni level kubwa sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏🔉🔉🔉
Mathew Stanley fireee
Mathew Stanley sana unajua hauhitaji nguvu
Mr. Nedy find a way to create a stunner music 🎵🎵🎶 with Anjella. The magical Voices of you two guys also I can see the chemistry combined will work. Take a TIP let's GOoooooo.
2019 Kama bado unaiskiliza like twend pamoja penda sana coz unafanana na my lv
Dear God help me one day to become one of best musician like nedy music
Nedy never seen your songs but you talented nmekubali
Loise Muthoni uyu jamaa si angesainiwa WCB
Loise Muthoni ahsante kaka
Pow
wimbo Nedy kautendea haki
#Goodmusic!🎶🎤🎧 Respect sana, hii ndo raha ya kuchagua kilicho bora Zaidi
hii nyimbo inatibu kila ugonjwa aisee hii nizaid ya hit song nedy unakipaj aiseee daaah
💞💞💞💓💓mmetisha ngoma kali
Ruby anajuw kuimb 😮
Nipo Austraria nampata vzr nedy music haniangushi yaani amemfunika hadi boss wake boss wake boss wako jiwe juu ya jiwe
nurdin suley mmmh
Ngoma kali sana......kuanzia vocal, melodies, video yaani mmeua sana
I ‘m in love with this song#Nedy Music 💋💋💋💋💋love you boy ...somewhere in Canada
Canada uinye wapi
USA diaspora check in here plz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Thank y’all Nedy vs Ruby. By the way Ruby is Bae always on Point , Never disappoint . 🔥🔥🔥
Amazing song keep it up 👍 👍 @nedy x ruby fireeeeee 🔥 🔥 🔥
Nice song
Ndoa ifungwe kwa mama Abass gong like twende pamoja
Honestly this girl she has so blessed with her voice any one who knows previously songs for herself
Her first hit song was #Na yule ....second song was #forever
Ruby - Na yule
mussa roman thanks dear I have already got check on it it's so nicely
miss Renee one love all are awesome
+baby anney Upo vzr xanaaa hongera Kwa kaz nzur
Sawa pacha kazaaaa
Oooohooo homa ya jiji hiyo! I felt goosebumps!!
raha sana kaka nakukubari kinomaaaaaa
This song was made by the Best artist in our generation jeeeeez the lyrics 🔥🔥🔥🔥🔥🤦♂️ Kenyans twendeni nalo
watu wenye vipaji vyao yaan nikisikia sauti ya rubby mpk inanichoma roho ,,, wote nawapenda big up from Dubai enjoying my day😚😚😚
Nedy macho yako 2 yaniacha moto
🔥🔥🔥🔥🔥🔥mbong la ngom asee nakukubal sanaaa 😘😘😘
kali sanaa
nedy thats great mm ckubaligi kazi za bongo ila hii ndo namba. 1 naikubali
2023/2024 attendance
Woow team +966 mko wapi dondosha like yako hapa kama umempenda huyu dogo 🌹👍👌
*UMETISHA SANA MDOGO WANGU*
-HAKIKA NA RUBY KAIMBA VIZURI SANA-
Nakupenda sana ruby big up kwa nedy ujamshiriksha yule anayebana kisaut kama mtoto aisee angekuharibia nyimbo
From Kenya I don't know which kind of language but good sound also have you nice voice congratulations for good song #Nedy
Kuna chorus nyingi Ruby ameshirikishwa nyimbo zimekuwa kubwa sana
You guys are on the next level..kazi nzuri 💯
wimbo umeshika nafasi ya chakula kweny maisha yangu yan msosi tupa kule naupenda sana
Nandy akase kwa #Ruby
sannaaaa
Nedy mie shabiki toka umeanza mpk kitambo sharap kwa Ruby kwa hiyo back vocal na fore vocal
Ngomaaa kaliii saaana 🔥🔥🔥🔥🔝🔝🔝🔝🔝🔥🔥🔛🔛🔛👊
Neddy, nimekubali baba, Ommy alikuwa anakupotezea thu muda bwana, kaza baba kaza
Ochieng Pius we vuzi nedy hana shida n.a. we
Ngoma ipo vizuri sana .
Nice nedy piga like hapo kma unawKubali nedy n nandy
First comment today, wadau nipeni like zangu
A boy from Zanzibar & girl from dar es salaam good song
Iyi moja ni kali sana 🔥🔥🔥
nakupenda bule NEDY😄🤗😊😋
Ruby's voice is life... 😍😍😍
Mziki wa Tz ni nzuri sanaaaa,big up Neddy music
waooo kazi nzuri...hongera kwenu
Mungu aendelee kuwaongoza mtuletee vitu vizuri zaidi!!
much love😘😘😘
Nady tisha sna blood endelea kukaza ujue wakt unaanza ndo ulianza kutengeneza good music watu walijua unabahatisha bt now Nimekubari
Mpk 2021 tujuane unaosikiliza hii nipen likes zangu
nimependa sana ruby aliposema #nedy aiyeiiyeiih! sina hata hamu kasha niua mdada huyu
unajua sema Ruby kakukimbiza
Hamisi Kiyonga kwani hapa Kuna mashindano ya riadha Au
+Khaleed Mustafah poa poa kaka sema nakukubali
😂😂😂😂😂 na ashukuru kaimba kiitikio mwenyewe maana angemuachia Ruby Tungesema Mengine Hapa!
simbaa chukua huyu Dada nampenda balaa I wish awe wasafi....awe wa kinternation
perfecperfect 👌👌👌
Huyu Neddy mrembo kweli...Rubby nae sauti tuu..nimekubali
Ongereni wimbo mtamu mungu awajalie✌👍💞
Kaka angu wew shida jiwe juu ya jiwee
Kali hii kaka #Gistoff music likes zishuke hapa
Hakuna jambo jema kama mume mwema jamani me nataguta mme mwema 🙈🙈🙈🙈
Autampata kwa kumtafuta
Evangelique Habayumukiza unafta mme njoo
Pia apa Kenya #nedy twakukubali sana, vuta collabo hadi uku kwetu...
mziki poa
Oo pea pea sina Male I don't understand what he say but I like this song from Somali ❣✊🇸🇴
Team kenya nimependa hii
STRONG NANA nakubali .sana
#killing it nedy mkiwa na rubi enyewe you are onle and only .........wish tufanye job pamoja
bonge ya song
Wimbo Mzuri sana bro
East African To The Beat❤️ from Somaliland