MWANAMKE KAMA HUNA TABIA HIZI CHAFU | JUA WEWE NI MKE MWEMA | SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 560

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 3 роки тому +58

    Salaaam! Na ukristo wangu NIMEKUPENDA MAHUBIRI YAKO MAZURI SANA. Mungu Akubariki🙏

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому +1

    Mungu akutunze shehe mie nmekuupata na Kuna tabia naziacha kuanzia leo

  • @harimamodrick926
    @harimamodrick926 3 роки тому +21

    DAAAH eeh mung tujaalie waume wema na wenye HOFU ya mung sote tusioolewa, inshallah ameeen, na tukawe wake wema kwa waume zotee

  • @MwanamkuluShabani
    @MwanamkuluShabani Рік тому

    Sheikh maalim napenda mawaidha yako yana mafundisho na allah akuhifadhi na akulipe fridaus inshallah

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 3 роки тому +7

    Shukran Shekhe Athman ALLAH akuhifadhi n Elimu yako n akupe Kher y Dunia n Akhera asante sana kw Elimu nzr tunafaidika n kuelimika ALLHMDULLILLAH

  • @khadijahamza9825
    @khadijahamza9825 4 роки тому +157

    Tunakupenda shekhe Othman maalimu kwa ajili ya Allah 🤲! Mungu tujalie kheri wanawake wote duniani tuwe na moyo kama wa Bi khadija mke wa Kipenzi chetu Mohammad S. W. S

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Рік тому

    Namuomba Mola Allah ampe Sheikh Othman afya kamili pamoja na ikhlaas, taqwa na mwisho mema.
    Allah amhifadhi yeye na watoto wake.
    Allah abariki elimu yake.

  • @saudaomar7105
    @saudaomar7105 4 роки тому +9

    Nilianza kumsikiliza sheikh othman maalim from 2005/2006
    15yrs+i get to see him from my tablets those days i used radio

  • @ashurasaid5017
    @ashurasaid5017 3 роки тому +1

    Wallahi huwa napenda mawaidha yako shekh kwani yanaeleweka sana na unaongeaga kwa msisitizo mungu akupe mwisho mwema

  • @AshaHassan-fl8tw
    @AshaHassan-fl8tw Рік тому

    Mashallahu asante shehe kwa mawaidha mazuri kabisa nimefurahi mno nakufuatilia shekhe vipindi vyako na mungu atujaalie tuwe miongoni mwa.wale wanawake wema inshaal

  • @rahemaissa9867
    @rahemaissa9867 Рік тому +1

    Allah atuongoze sisi wanawake ktk tabia njema inshalah Amiin 🤲

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 Рік тому

    MashaAllah shukran kwa ujumbe wako mzuri na na vip kuhusu wanaume maan na wao wanapenda kukutumia hilo neno la talaka waandalie na wao wajue si kwetu tu

  • @ysgtge8114
    @ysgtge8114 4 роки тому +24

    Allah atujaliye tuwe wanawake bora kwenye famillia yetu namuke bora kwamume wangu ❤💓

  • @fat-hiyamachano6557
    @fat-hiyamachano6557 4 роки тому +18

    Mashaallah uo wote ni uzuri wa dini ya kiislamu dini ya haki ladhaa isiyoisha kwa tunaoipenda alhamdulillah

  • @thimeahmed5985
    @thimeahmed5985 4 роки тому +24

    Masha Allah nimejifunza mengi Allah atujaalie waume bora wenye mfano wa mtume Mohammad S.A.W

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 3 роки тому +4

    Subhanallah Mungu atuongoze katika ndoa zetu yarabbi
    Golden speech
    Shukran sana Shheikh wetu

  • @zuenasadick9433
    @zuenasadick9433 2 роки тому +1

    Tatzo langu Moja shekhe mm n Islamic lakn nimepata mwanaume wa tofauti na dini yangu na ana Kila sifa ya kua mume Bora manshaallah lakn nafanyaje awe muislam

  • @rehemamgunga8854
    @rehemamgunga8854 3 роки тому +6

    inshallah Mungu atatuepusha na maaswi haya tuliyo nayo wanawake sheikh othman maalim Mungu akupe kheri uzidi kuishi maisha marefu inshallah

  • @mamambonde4549
    @mamambonde4549 Рік тому

    Jazakha llahah kheira shekh wallah nimejisikia vizuri Sana na mafundisho yako nimeyaelewa mungu anifanyie wepesi niyaepuke yote mabaya yasiyotupendeza wanawake Kwa waume zetu

  • @morrisuhuru
    @morrisuhuru Рік тому

    Shekhe uthman nakubali nasaa zako za ndowa twaumia vijana majunba yetu ni kama magereza ila twaomba mungu atupatie subra amiin

  • @hawaramadhan7437
    @hawaramadhan7437 Рік тому

    Shukraan jazillah sheikh wetu Allah akujaze majazo memah❤kwa jili ya Allah

  • @YvonneMukoya
    @YvonneMukoya Рік тому

    MaashaAllah sheikh Othman nmejifunza mengi kupitia hii mawaidha acha nijitahidi nisiwe mwanamke mchafuvkwa mme wangu lnshaAllah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 роки тому +6

    Sheikh Allah akupe Afya njema na akupe mwisho mwema nakupenda kwa ajili ya ALLAH

  • @bintyy_sultan3569
    @bintyy_sultan3569 4 роки тому +20

    Allah atuwekee Masheikh wetu, tuendelee kuchota ilmu kwao... Amin yaa rabb Alamiin....

  • @jumaabdallah5154
    @jumaabdallah5154 3 роки тому +4

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh. SHEIKH Othman Maalim hongera sana ALLAH akulipe hapa duniani na kesho akhera. Kwani unatupa mawaidha mazuri yenye kujenga Iman ALHAMDULILLAH

  • @sharifamohd9559
    @sharifamohd9559 3 роки тому +3

    tunajifunza mengi kwa kweli allah akupe umri mrefu wenye manufaa na kheri nyingi inshaallah

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 Рік тому +2

    Ma Sha Allah ya Sheik Othman Malim kwa mawaidha nzuri

  • @HabibaSaid-q1m
    @HabibaSaid-q1m Рік тому

    Upo vzr shekh wang Allah akuongoze akupe daraja LA juu

  • @ZuwenaSalim-dn3qb
    @ZuwenaSalim-dn3qb Рік тому

    Allah akupe umri mrefu wenye kheri utufunze sisi navizazi vyetu amin amin

  • @salimgonda4457
    @salimgonda4457 3 роки тому

    Ma Shaa Allah. Hakika sheikh Othman mtu akukusikiliza anabadilika kuendea njia ya sawa. Allah akupe umri mrefu utuongoze wengi.

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 роки тому +18

    Jazzakallah shekh Othman maalim umma wa Allah wakuelewe hapa duniani na kesho aakhera akulinde na kila shari

  • @fatmasuod6439
    @fatmasuod6439 4 роки тому +19

    Unaongea kwa Umakini na unaeleweka mashallah. Allah akupe umri.

  • @TheLegend-vj5zt
    @TheLegend-vj5zt 3 роки тому +8

    Ya Allah subhana wa taala nijalie Mie na wanawake wote wakiislam tuwe Katika wake wema na Mwanamke wa peponi

  • @naswidiaabdulkarim5005
    @naswidiaabdulkarim5005 4 роки тому +9

    Mashaallah allah akupe umri wa kheri akuripe pepo ya juu firdausi NIMEUPENDA MUQADDIMA WAKO WAKIBABE jazaakallahu kheri

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq Рік тому +4

    شكرا ما شاء الله تبارك الله جزاك الله خيرا يا شيخ صدقت❤❤

  • @tawsi-yc3nk
    @tawsi-yc3nk Рік тому

    Mashallah mawaidha yamenikosa mungu akufanyie wepesi undelee kutuelimisha

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 3 роки тому

    Shekhe mawaizaa yako nimeyapenda na nimejifunza Sana ............ Ahsante Sana shekhe

  • @zainabndete1608
    @zainabndete1608 3 роки тому +3

    Maashallah Sheikh ujumbe mzuri,kwa hakika kulikuwa na Muhammad akapatikana Khadija katika zama zetu hizi hawapatikani wenye sifa za muhammadi ndiyo maana hawapatikani akina Khadija.Baada ya kujua hili ni wajibu wa kila muislam kujitathmini kama mume je una sifa za Muhammad na kama mwanamke je una sifa za Khadija.

  • @sheikhasalimhilali3131
    @sheikhasalimhilali3131 3 роки тому +1

    Shukran sana sheikh kwa mawaidha mazuri yenye kutufuza sisi wanawake.

  • @AshaHassan-fl8tw
    @AshaHassan-fl8tw Рік тому

    Shukrani shekhe kwa kutuelimisha mungu akujaalie inshaal

  • @kabarekemussa9929
    @kabarekemussa9929 4 роки тому +2

    Kama mtu wetu angekuwepo hai... Sheikh Othman maalim angekuwa miongon mwa swahaba bora saana.... Allah akuhifadhi sheikh wngu nae kupinda kuzidi maelezo.... Hekima kubwaaa jameni...

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Рік тому

    Mungu mwema atujalie mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏🔥🙏

  • @jdjdjdu8542
    @jdjdjdu8542 4 роки тому +3

    Masha Allah tabaraka llah.. Allah azidi kukuongoza.. Nmeambiwa n mchumba wangu nisikize hii ili nijiandae kwake shkrn ya shekh jazakallahu kheir

  • @iyayummy9941
    @iyayummy9941 4 роки тому +1

    Mashallah mawaidha yametugusa wengi... tunaomba shekh utuandalie na mawaidha yanayohusu wanaume wanaosumbulia hata ukinywa maji ...wanaolaumu kwa kila kitu...wanaodharau wake zao na kuthamini marafiki au wanawake baki...

  • @NurrKipsang-yz8oy
    @NurrKipsang-yz8oy Рік тому

    Eee mwenyezi mungu NIJALIE mke mwema kama hadhija

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 2 роки тому

    Jazak Allah kheiryan nakupenda Kwa Ajili ya Allah

  • @abdullahiddykawambwa-lq2in
    @abdullahiddykawambwa-lq2in Рік тому

    Namuomba Allah kupe umr mrefu shekh wangu

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Рік тому

    Mola amhifadhi Sheikh Othman pamoja na family na watoto wake na waislamu wote

  • @SharifaMuhamed-od5dl
    @SharifaMuhamed-od5dl Рік тому +1

    Yaa Allah, tujaalie tuwe katika waja wema wanaofuata maarisho yako na Mafundisho ya Mtume (s.a.w)

  • @habibarashid2997
    @habibarashid2997 4 роки тому +3

    Mashallaah nimeelimika vyema shekhe wangu,shukran mnoo 🙏

  • @ShafShamat
    @ShafShamat 4 роки тому +39

    Mashallah, jazaakallahu khaira fil dunia wal akhera in shaa Allah

  • @bintmwanyello2350
    @bintmwanyello2350 Рік тому

    Mashaa Allah allah azid kukusimamia shekelhe

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 роки тому +1

    Anllah akupe umli mlefu kipenzi changu nakupenda sana Athumani Maalim jaazakhanllah kheli shukurani shekhe 🙏🏼

  • @hammadyndonga3315
    @hammadyndonga3315 2 роки тому

    Asalaam aleikum kaka Alhamdulillah Allah Kareem wallaih nko n matatizo ambayo yanaitaji subra ya Allah kuyashinda kwa kweli mm naitwa Hemedy ntokee n mkaazi wa kenya lkini tatizo langu nko n mke ambae najaribu sana kumuelekeza kwa misingi ya dini lkini tabia zinaghalifisha sana ila n subra ..Ambiliki jeuri heshima matusi na n mke mkuu najiribu kumueleza lakini mara una kuwa mzuri mara anarudi vile vile NTAFANYAJE

  • @fatmashamte4611
    @fatmashamte4611 2 роки тому +2

    Maashaallah shekh Othman Maalim,Allah akutulize zaidi nazaidi kama mbingu angani na akuepushe nahusdaa zawafitini,Aamin.

  • @odoshlbrahim5007
    @odoshlbrahim5007 4 роки тому +3

    Allah akbari..mungu atuzidishia tupate wke mwema..🤲

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 4 роки тому +1

    wallah sheikh othman nakupenda wewe kwjl ta ALLAH!mawaidha yako hunitoa machoz sn😥,Allahu main as aluka husnul khatima

  • @hasi-uh1dm
    @hasi-uh1dm Рік тому

    Maashaallah Allah akuongoze zaidi

  • @sharifasuleiman9134
    @sharifasuleiman9134 4 роки тому +3

    Mashallah shekh Othuman mwenyezi mungu kakupa Elim na azidikukupa zaidi elim

  • @siti7265
    @siti7265 2 роки тому

    Allah akupe kila la kheri ktk kaz yko mashaallah

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman Рік тому +1

    Mawaidha mazuri Sana ila ustadhi naoutaje na sifa za wanaume wanao owa Kisha mwanake ndie muhudumu wandani ujilishe ujivalishe kwaiyo mwenye ndio ndoa zinakuwa wanawake hawaheshimu waume zao wambie wajitahidi majumbani mwao ustadhi

  • @fatumaombebi49
    @fatumaombebi49 3 роки тому +1

    mwenye mwenyezi mungu akupe maisha malefu uzidi kutuelimisha inshallah

  • @muzdatseif3540
    @muzdatseif3540 3 роки тому +2

    Mashallah allah atujalie tuwe wanawake wa peponi

  • @MaiyaSleiman
    @MaiyaSleiman Рік тому

    Mashaallah tunajifunz mengi kutok kweny mafundish yak Allah akujaalie wepes inshaallah

  • @nasmajuma4236
    @nasmajuma4236 4 роки тому +3

    Allah akujalie umri mref uendeleee kutukumbusha tuliyosahau na tusiyoyajua na mwenyezimung atujalie kuwa wake bora kwa waume zetu dunia na akherah insha Allah

  • @ashakala4687
    @ashakala4687 4 роки тому +7

    Mashaallah sheikh Osman Maalim. Allah Akulipe na Atupe mwisho mwema.

  • @mwanaharusizubeir9746
    @mwanaharusizubeir9746 4 роки тому +4

    M.Mungu atujaalie tubadilike tufate nyayo za mama yetu bibi Khadija ili mwisho wa maisha yetu tuingie peponi inshaallah

    • @ammaralhazmi4257
      @ammaralhazmi4257 4 роки тому

      Shukran shehe kwa mawaidha mwenyenzi mungu aku jalie kilalaheri nasisi wanawake. Wakislamu atujalie tu we kama bi Khadija

  • @rahmahmussa5980
    @rahmahmussa5980 3 роки тому +1

    Shukran shekh

  • @saidahamisi6404
    @saidahamisi6404 4 роки тому +6

    MashaaAllah jazzakallahu kher sheikh othman yaa Rabbih akulipe kheri fill dunia wal akhera Amiin

  • @hadijahamssin8941
    @hadijahamssin8941 4 роки тому +3

    Maa sha Allah darsa zuri Allah atujaalie tuwe wake wema na waume wawe waume wema .... Mola akujaalie pepo ya hali ya juu Shekh Othman Maalim

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 4 роки тому +25

    mashallah sheikh OTHMAN you never let me down mashallah 👍👍

    • @husnajohn212
      @husnajohn212 4 роки тому

      Masha allah mawaidha mazur ya ya kuelimisha na kujirekebisha allah akulipe insha allah

  • @aminasuleiman6402
    @aminasuleiman6402 4 роки тому +28

    Duuh!!mcba mkubwa Allah atubadilishe wanawake 😭😭😭

  • @thuwaibamohd8233
    @thuwaibamohd8233 3 роки тому

    Mashaallah sheikh othman Allah akulip kheir nakupend sana sheikh othman nataman hata ungalikuw mmoj wa watu wa familia yng .

  • @abdulmalikhamadi8634
    @abdulmalikhamadi8634 4 роки тому +5

    Shukran shekhe wetu Allah akupe umri uzidi kutuelimisha Insha Allah

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому +5

    Shukraan Sana sheikh wetu kwa ujumbe mzur Allah akubariki jazaka Allahu khaira

  • @daulamuni8996
    @daulamuni8996 3 роки тому +1

    Mashallah sheikh. Umetugusa kwa baadhi ya sifa

  • @sophiasophia1732
    @sophiasophia1732 3 роки тому

    Asante sana shekhe Allah akuongoze uzidi kutuelimisha

  • @zamdamuhamed7503
    @zamdamuhamed7503 2 роки тому +1

    Mashallah 🙏🙏 darsa zurii saana Allah akulipe kheriii pia atujalie na sisi tuweiongon mwa wake wema kwa waume wetu Inshallah 🙏🙏

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 4 роки тому +5

    Shekhe othumani maalimu Allah atukutanishe sote fridauthi inshaa Allah na Allah atuongoze ktk njia ya almustakim Allah akuzidishiye shekhe

  • @abdallajuma8899
    @abdallajuma8899 2 роки тому

    Assalam alaikum warahmatu wabarakatu, wasia wangu kwa waislam wenzangu dunia ni mapito tu

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 4 роки тому +2

    Shekhe wetu Allah akulipe kheri amin yarabil alamin 🤲🤲lakini hayo yote unayo yaongea wanaume wengine ndio wanazo wao maana tunachoka tunastahamil sana na ukiwaona huwafikiri

  • @musasisia9803
    @musasisia9803 3 роки тому +2

    Mawaidha masuri inshallah na mwenye ezimungu akujaze hikima

  • @husseinali9760
    @husseinali9760 4 роки тому +3

    Masha Allah allah akupe afya njema, umrii mrefuu kutupa elimu kubwa ya dini yetu ya uislamu insha Allah

  • @shinunaabass3413
    @shinunaabass3413 Рік тому

    Asante sana sheikh othman

  • @nihfadhkassim4934
    @nihfadhkassim4934 4 роки тому +65

    Allah atujaalie tuwe wake wema inshaallah tupate jannat firdaus kwa kuwatii waume zetu

  • @ashadamba7041
    @ashadamba7041 4 роки тому +3

    Mashallah mashallah Allah atutilie wepes tuwe wake wemaaa

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 4 роки тому +9

    Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu sheikh Othman shukraan jazzakah Allahu kheir

  • @fauziamukhwana5211
    @fauziamukhwana5211 4 роки тому +7

    Masha Allah a nice darsa may Allah bless you abundantly

  • @shadyaadam8919
    @shadyaadam8919 3 роки тому +1

    Mashaallah
    Nafaidika sana na mawaidha yako sheikh othman.
    Allah azidi kukupa umri mrefu, uzidi kutuelimisha.

  • @musasalimu4592
    @musasalimu4592 3 роки тому +1

    Allah aw ape afyanjema wanawake wote waskifu

  • @aaliyahholden9282
    @aaliyahholden9282 4 роки тому +7

    ALLAH atuongoze yarab atusamehe tulipo kosea

  • @zaitunimasud
    @zaitunimasud 2 роки тому

    Mungu akulinde mashalla

  • @shanimwakilima968
    @shanimwakilima968 3 роки тому +1

    Mashaallah Shekh ubarikiwe Sana na Allah adhawajaallah

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 4 роки тому +2

    Mashallah shukrain allah atujaliye tuwe tumfuwate nyonyo za bi khadija kwa uwezo wako allahuma ameen

  • @shahidarashidy5272
    @shahidarashidy5272 4 роки тому +2

    Waleykumsalam warammatullah wabarakatu Allah atujalie wanawake tuweniwenye kubadili tabia zetu.Amiin

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 4 роки тому +10

    Masha Allah , darsa zuri sana Allah akulipe kheri sheikh wetu. Lkn sheikh wanaume wengine mtihani unaweza kufanya yote hayo Lkn mwanaume akakuona ww km kigaragosi tu yy ndio anajivisha vizuri akakuacha upo hovyo hovyo

    • @rukayyaissa8010
      @rukayyaissa8010 4 роки тому

      Allah atuongolee waume zetuu nasisi wanawake tujitahidini

    • @khalfanally2827
      @khalfanally2827 4 роки тому

      Mashallah,, mwenyeezi mungu akuzdishie shekhe wangu

  • @salummindu280
    @salummindu280 4 роки тому +1

    Asalaam Alaykum sheikh Othman. Ki ukweli umegusa panapo itesa jamii yetu tunayo ishi nayo duniani kwa sasa. Kwani siku hizi ni kama bahati mbaya vile. Kumpata mke mwema. Sasa ni ajabu kubwa sana sana sana kuwa na mke ambaye ni mwema na mwenye nizamu ya hali ya juu. But Allah atupe wake wema sisi na vizazi vyetu. Amin amin aamin

  • @rahimhamis4636
    @rahimhamis4636 3 роки тому

    masha allah yAan uyu she namfananisha na swahabha flan iv

  • @ayshasalimaysa2030
    @ayshasalimaysa2030 4 роки тому +2

    Shehee maashallah
    Mawaitha yako sn mazuri
    Mwenyezi mungu akujarie
    Kilalaher

  • @yusraame264
    @yusraame264 4 роки тому +13

    Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wake wema ishallah