NYERERE: KUNA WANASIASA WANANUNULIKA, HESHIMA YAO INA BEI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 82

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 6 років тому +12

    Daaa Huyu mzee Mungu alimjalia maono ya kipekee sn.Hotuba takribani miaka 50 iliyopita leo yametimia.Mamalaya wa siasa wajaa,hotuba km huwezi kuiona TBC Never ever.

  • @imanuelmahenge5461
    @imanuelmahenge5461 6 років тому +14

    Ni kama alitabiri yaani ndicho kinachotokea kwa viongozi wanaojidai wanaunga mkono na kuhama vyama

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 6 років тому +1

    acheni kumlisha mwalimu Nyerere maneno yenu ya kishenzi.

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 роки тому

    Aiii Nyerere mbona hauku mshauri ndugu yako mzee Jomo Kenyatta ila nchi yetu ina poromoka....

  • @nkuhimmary6007
    @nkuhimmary6007 6 років тому +2

    MASENARY 😁😁 malaya malaya daaa ama kweli ww haitoshi tu! kuitwa baba wa Taifa ilipwaswa uitwee Bb wa Mataifa😍 R. I. P our legacy..

  • @zittotv9972
    @zittotv9972 5 років тому +2

    I miss you Dady NYERERE

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Рік тому

    One of the hard dificurt point of late Julia's kambarage nyerere l trying to sense leasening y same of Africa polition late Julia's kambarage nyerere has this massage
    Main point
    The are peaple reaction like proschut can be bought diginity is like how proschut baginening whale knows that is the ashemed thing but proschut baginening that now we have polition like proschut but are not much are vary fiew but behavior like proschut can be be bought by any one with money behavior like proschut
    This speech was late Julia's kambarage nyerere address military were caming from Moshi
    Soon we will trunslate from Swahili to English

  • @methuselahnzugwa3133
    @methuselahnzugwa3133 6 років тому +5

    Huyu mzee hakika alikuwa ni nabii! Kwani ukifatilia ni mengi mno si hilo tu. Itatuchukua karne nzima kumpata Nyerere mwingine.

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 роки тому +1

      Ndugu, magufuli alijaribu kuiga mfano wake ila tusimpuuze....

  • @princessilayo7411
    @princessilayo7411 3 роки тому +1

    Anaekubaliana na Mimi huyu c mwalimu,sauti imeeigilizwa.

    • @OscarKasalile-u4k
      @OscarKasalile-u4k 7 місяців тому

      aliemuhigiza nani? kama sio yeye. na unataka kuniambia maneno haya hakuyatamka?

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 6 місяців тому

    Ahhhh msigwaaaa

  • @simpsonisoe8994
    @simpsonisoe8994 2 роки тому

    Afred mutua ,ako na siasa ya Malaya malaya

  • @duniayakijani7868
    @duniayakijani7868 4 роки тому +2

    Alikuwa anahasira Sana hapo mwalim

  • @simonchristopher2766
    @simonchristopher2766 6 років тому +4

    daah! huyu mzee,acha tu

  • @josephshidiga484
    @josephshidiga484 4 роки тому

    Noma sana

  • @nathanjaphet7625
    @nathanjaphet7625 5 років тому +5

    Akina LOWASA wana tabia za kimalaya malaya ivi

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 6 років тому

    daaa uyubabu alikuwa noma alijuwa kwasasa wapo wananuliwa na kuwaidiwa veyo babu alikuwa nima mungu mbaliki

  • @kashindisimon5265
    @kashindisimon5265 6 років тому +10

    Hivi TBC hawana hotuba kama hizi?

  • @masoudabbas1204
    @masoudabbas1204 4 роки тому +1

    Yani ndiyo yanayojiri

  • @mussahassan7787
    @mussahassan7787 3 роки тому

    Mimi namwitaga jini huyu mzee maana alivyoonge vyote vinajitokeza now

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 роки тому +1

    Halima Mdee na wenzake 19 kwa maana hiyo wanatabia za kimalaya Malaya kama alivyosema mwalimu???

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому

    Sio mwalimu huyu!!!

  • @avax5717
    @avax5717 6 років тому +5

    Alikuwa na hasira sana hapo baba yetu wa taifa.

  • @mariammussa8754
    @mariammussa8754 3 роки тому

    hakika wana siasa wa namnahii hawafai kuongonza taifa kama Tanzania

  • @makamekhamis9048
    @makamekhamis9048 3 роки тому +1

    tumepoteza baba Wa taifa

  • @joharirajabu5473
    @joharirajabu5473 4 роки тому

    CHADEMA NA CUF wanasikiliza hizi kweli TBC na Radio zao wanatakiwa kabla ya habari nusu saa ya habari wawe wanaweka hiki hata wanamuziki kabla ya tamasha nawe wanaweka hizi sauti
    Kwitongo hii sauti ni muhimu kipindi hiki 22 julai 1967

  • @bashiruibrahimu1278
    @bashiruibrahimu1278 4 роки тому

    Baba wa taifa tunakukumbuka sana

  • @martinemifuko71
    @martinemifuko71 6 років тому +1

    Siyo Nyerere

  • @dominicsaid4756
    @dominicsaid4756 4 роки тому

    👍👍👍

  • @yohanamichael2858
    @yohanamichael2858 3 роки тому

    currently it's happening

  • @rehemabrayson8010
    @rehemabrayson8010 4 роки тому

    Duh!

  • @nathanjaphet7625
    @nathanjaphet7625 5 років тому +1

    LOWASA ni Masenary

  • @babucheenyahega2778
    @babucheenyahega2778 6 років тому +1

    Kwaiyo waitala na rioba ni masnale

  • @fredrickmichael3033
    @fredrickmichael3033 4 роки тому

    😊

  • @lucasarajiga6438
    @lucasarajiga6438 3 роки тому

    R.I.P.,mwalimu wetu

  • @kudramkoma8438
    @kudramkoma8438 5 років тому

    Remembered by tzanian

  • @mrkasebelekasebele2129
    @mrkasebelekasebele2129 6 років тому

    nyeleleeee alale pema peponi, nyelelee .......

  • @christophersaimon4398
    @christophersaimon4398 6 років тому

    wambie hao baba malayamalaya tu

  • @monicaney3782
    @monicaney3782 3 роки тому

    Nyerere huyu huyu?

  • @ngasasocks1125
    @ngasasocks1125 6 років тому +1

    ndo maana kaitwa bb wa taifa

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 років тому

    Alitoa unabii juzi yao na jana yao! Leo yametimia machoni petu na kesho unabii huu utadhihirika zaidi na kwa aibu mbele ya wenye macho yatakayotiwa nuru na akili isiyoghoshiwa ujinga na upumbavu. Tukiwa wazalendo wa kweli hata kuifia nchi yetu hatutanunuliwa kwa bei yoyote ile kamwe.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому

    Ni kweli akitamka mwalimu haya?

  • @genimaige6023
    @genimaige6023 5 років тому

    😁😁😁😁😁

  • @babajohnii506
    @babajohnii506 5 років тому +1

    Babu alikua namikogo huyu

  • @omarynjelu9191
    @omarynjelu9191 6 років тому

    huyu sio nyerere

  • @doricematindiko5350
    @doricematindiko5350 6 років тому

    Baba uliyaona hayo,umalaya wa kununuliwa ndo uliopoo

  • @jacksondeo3541
    @jacksondeo3541 4 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 6 років тому +2

    😳😳😳😳hahahahaa🤣🤣🤣

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому

    Lowasa

  • @wagagagigikokohumulutililu8974
    @wagagagigikokohumulutililu8974 6 років тому +2

    MASENARI, MASENARI, MASENARI, MASENARI, MASENARI, MASENARI, MASENARI, MASENARI.

  • @juliuskivuyo5384
    @juliuskivuyo5384 6 років тому

    Hiyo ni sauti ya kuigiza

  • @martinibrahim6904
    @martinibrahim6904 5 років тому

    Hawabna aibu

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 6 років тому

    watu wanapogezana soda

  • @kilamegroup2968
    @kilamegroup2968 6 років тому

    Mh

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 4 роки тому

    Ulazwe pema mwalimu.Hakika tangu ulipoachia madaraka hajatokea mwingine hata mwenye nusu ya robo ya uwezo wako.

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому

    Mtoa post unatafuta kiki na edit zako shezi time

  • @elibarickandrew2870
    @elibarickandrew2870 6 років тому +1

    Huyu ni Steve, u 'll trick others

    • @mochings8012
      @mochings8012 6 років тому

      Elibarick Andrew fuck off

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 6 років тому

      Dah, upo serous kwel?

    • @raymondkaswaga8334
      @raymondkaswaga8334 5 років тому

      Steve hawezi igiza hii

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 Рік тому

      Wenzio tulisikiliza hotuba hiyo Redio Tanzania Dar es Salaam; kwenye vipindi mbalimbali ambavyo vililenga kuwakumbusha Watanzania kuhusu uzalendo kwa nchi yao! Halafu mlikuwa mnasema Magufuli alikuwa mkali kwa mafisadi na wala rushwa.. ni kwa kuwa hamkuwahi msikia Mwalimu.. wakati wake! Umezaliwa juzi!

  • @shyshayagen2733
    @shyshayagen2733 6 років тому

    This is not Nyerere

  • @christophersaimon4398
    @christophersaimon4398 6 років тому

    wambie hao baba malayamalaya tu