Daz Baba ft FID Q Namba Nane

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 299

  • @florasanga8550
    @florasanga8550 3 місяці тому +69

    Walokuja 2024 kuchek hii ngoma ngonga lik moja

  • @mahmoudkhamis6316
    @mahmoudkhamis6316 7 місяців тому +98

    tulio kuja tena 2024 tujuane gonga like hapa

  • @user-lm8tt1fr8oMetinjula
    @user-lm8tt1fr8oMetinjula 11 місяців тому +26

    Jamaa Daz baba kwa madini ulikua balaa😂😂😂❤, kuna bado unaskiza hii nyimbo 20/11/2023 gonga like

  • @shabbyofficial_
    @shabbyofficial_ 2 місяці тому +9

    Imenikumbusha mbali sana tukigrow life ilikua simple watu wengi bado walikua hai .. wabongo mumetuinspire sana sisi watu wa Mombasa Kenya

  • @petertengaa9685
    @petertengaa9685 4 роки тому +82

    January 2020 waliopo na zilipendwa za enzi zetu gonga like

  • @EliaikaWilhelm
    @EliaikaWilhelm 6 місяців тому +8

    Umbo namba nane ilikuwa 🔥🔥🔥 enzi hizo mpaka leo naiskiza 4/4/2024 like hapa

  • @slattgang5790
    @slattgang5790 5 років тому +76

    2019 nipo ughaibuni lkn bado nachek kitu cha home zaman raha sana wallah gonga like tuwe pamoja 2019

    • @alimuchiri5477
      @alimuchiri5477 4 роки тому

      Hataree..

    • @saidhamad7504
      @saidhamad7504 4 роки тому

      Nami niko mbli sana.. yan sana from tz lkn limenijia tu akln.. ahh

  • @claudianusmlokozi7417
    @claudianusmlokozi7417 4 роки тому +23

    Wahenga tuko apa 2020, fanya kama unalike twende sawa

  • @albethonyingo2858
    @albethonyingo2858 2 місяці тому +3

    Noma sana hili ngoma July 2024 tupo nayo na tunatamba nayo

  • @kisakyeandrea6615
    @kisakyeandrea6615 10 місяців тому +7

    I have been looking for this banger since my O level, now I find it when am 34 years of age🔥🔥

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 2 місяці тому +3

    Back to the Memories... UMBO NAMBA 8 Was So Hot 🔥🔥 And Now 2024 Still is on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 #DazMwalimu 💪💪💪💪💪

  • @MohdThani-x3z
    @MohdThani-x3z 2 місяці тому +3

    Iyangalieni vizur tunasubir majinu yupi

  • @jovinevedastus824
    @jovinevedastus824 5 років тому +32

    2019...bado mnatisha wazee sijui mko wap dah

  • @leahkabura4271
    @leahkabura4271 2 роки тому +10

    Wangapi mnapata ka feeling ka ustista duu ikiwa saizi tu wamama tayari? Hii nyimbo yangu pendwa miaka 1000 🔥🔥🔥

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana yaan ad mshikaj kauliza unacheka nn we fala

    • @westcijosh
      @westcijosh 4 місяці тому

      😂😂wtf are you saying lady

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 2 місяці тому +9

    Enzi zetu tume enjoy saaaaana❤🎉, siyo ivyo vimazombi vyenu vya chibu

    • @zamybukene
      @zamybukene 11 днів тому

      Hizi ngoma zimekuwa na laza yak tofauti sana hiz za leo laaa

  • @rahmasacky5977
    @rahmasacky5977 Місяць тому

    Kipindi hicho nilikua kabinti nachipukia nilikua no8 kweli nyie nilisumbua mtaa,mungu awatunze

  • @deeper1000
    @deeper1000 Рік тому +1

    2023 na bado nyimbo hizi zinaburudisha kinoma.. bongo mziki mzuri umepotea, Bongo flava ishapotea kati ndo origin yetu

  • @SazafKiba
    @SazafKiba 2 місяці тому +3

    Ngoma unanikumbusha mbal sana hii

  • @NuratAbdallah-pi1oz
    @NuratAbdallah-pi1oz 2 місяці тому +2

    Enzi za jumba la zahabu😢dah maisha yanaenda kasi sana

  • @nicomatasa2604
    @nicomatasa2604 2 місяці тому +1

    from 254 more love...hii ngoma ilkua dope sana dem days

  • @hamisisalum2218
    @hamisisalum2218 2 дні тому

    Nani anadikiliza 2024 bonge la nyimbo 🎉🎉🎉

  • @OmarMwandegwa
    @OmarMwandegwa Місяць тому +2

    Hawa mamoryo walikua sawa daah

  • @RudovikoBurundiano
    @RudovikoBurundiano 2 місяці тому +2

    From Burundi ngoma zamanaa

  • @mahmoudmussa8
    @mahmoudmussa8 2 роки тому +15

    RIP
    Mchizi Wangu YOHANA Ulikuwa unaipenda sana hii ngomaa🙏

  • @gastonmkeyegele9225
    @gastonmkeyegele9225 Рік тому +1

    Jaman hawa watuu. Waloeimbaa qakooo wap hakiii hiii nyimboo naipendaa

  • @nicholaskobelo8748
    @nicholaskobelo8748 Рік тому +11

    One of the big hit those days,today and tomorrow good music is always there.

  • @joackimmbonde4125
    @joackimmbonde4125 8 місяців тому +1

    MAJANI, WALKING LIVING LEGEND, Hii beat kali mnooo, ani real BONGO FLEVA.🎉🎉🎉🇹🇿🌍🙌❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @kingdomkibali
    @kingdomkibali 3 місяці тому +1

    Mzee Kasemani hiii nyimbo uliipenda saana bamdogo💪

  • @omaryommy404
    @omaryommy404 4 роки тому +7

    2020 March kama unasikilza ngoma kali bongo flaver zilipendwa twende pamoja

  • @silungwesh7487
    @silungwesh7487 Рік тому +2

    Nawakumbuka sana wanangu wa 2005 Erick ,chavino&Festo 🤪masela wakipind hicho

  • @bensonkariuki5843
    @bensonkariuki5843 2 місяці тому +3

    Nipe like ya fid q 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yussufdegea6662
    @yussufdegea6662 3 роки тому +4

    Kwa wasanii wa zaman hakuna kama daz baba

  • @saidimkiligi1465
    @saidimkiligi1465 4 роки тому +20

    One of my favorite songs.... 2020 still here.

  • @alexselias9420
    @alexselias9420 3 роки тому +1

    Zaman ndo zilikuwa nyimbo ila saiv ni vituko tu et Madoro tumeloweka maji.. 2021 naitazama hii

  • @jumahaji2454
    @jumahaji2454 5 років тому +10

    Gonga like kama umemuona Daz baba kwenye nyimbo hii 😀😁☝✌

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Місяць тому +1

    🔥🔥🔥niziki yazama mikali mno 🔥🔥🔥

  • @esnathmdeda
    @esnathmdeda 7 місяців тому +3

    Who’s here 2024/3❤❤❤🎉

  • @eliahedward7490
    @eliahedward7490 3 роки тому +3

    Daaaaah...ndo ngoma zenye hisia kalii

  • @nestorybhullemela7080
    @nestorybhullemela7080 4 роки тому +2

    Siwezi sahau,nakumbukagambalisana,daahh!!!,nataman ungelikuwaunaendeleaa

  • @omwami360
    @omwami360 Рік тому +4

    This is a classic 2nd August 2023🔥🇰🇪🇦🇺

  • @Kimbururu
    @Kimbururu Рік тому +9

    Intro: Fid Q
    Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi
    Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah!
    Aaa...anayevutia...
    Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi
    Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah!
    Uuu....utamfurahia....
    Chorus: Daz Baba
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
    Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
    Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
    Verse 1: Daz Baba
    Nimekaa chini mtu mzima nikafikiria
    Warembo wengi sana kwenye hii dunia
    Mi umbo namba nane kichwani akan'jia, toka moyoni sina budi kumsifia
    Mwenye sura matata, macho yanayoita
    Ana utata huyu binti wa ki-afrika, hata mcheki alivyo umbika' ana bebeka kama gita
    Akitembea' bado ana tingisha, pendeza kimavazi, hata akiweka pozi
    Mtoto anaweza akakutia "hard" kwenye njozi
    Sijui niseme akae, au niseme asimame
    Lile umbo namba nanе watu wote mumuone...
    Chorus: Daz Baba
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasеma' nampenda sana
    Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
    Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
    Verse 2: Fid Q
    Anauliza kama nina demu, namwambia, sina!
    Anahisi ashaniona sehemu, tatizo kanisahau jina
    Unaitwa nani?: Fid Q
    Unaishi wapi?: Ghetto
    Kazi yako ni ipi?: Muziki, (Ausio)
    Mdomo una kuwa mzito, niongee kipi cha maana
    Ki vipi nimkazie jicho wakati binti kasimama
    Au nijikombee maujiko, Fid sitaki kujuana
    (?) Bangi Usinizingue ki hivyo, mi simuachi huyu kimwana
    Anaonyesha' hana maringo lakini ashawahi kupima
    Asha nzimika kimtindo, mchizi kipingamizi sina
    Yupo shkopa, yupo shalo, tina tina, yupo full' (Oi!)
    Kama wasemavyo watu wazima
    Chorus: Daz Baba
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
    Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
    Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
    Verse 3: Daz Baba
    (?) anapokaa' mimi napajua, najua kumfata wala haitonisumbua
    Kama ananipenda kweli, nami nampenda pia
    Ndio maana mpaka sasa bado na muimbia
    Mi umbo namba nane ananichanganya, embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana-na
    Ukiwa nae watu watababaika, na macho kuona wakimuona watamfuata
    Hakika una sifa' zote, popote' alipo utataka we uende, umfuate, umvishe pete... Yeye...
    Eeh...
    Chorus: Daz Baba
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
    Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
    Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
    Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...

  • @scholastikamosess748
    @scholastikamosess748 5 років тому +4

    Kweli chazamani nidhahabu hii ngoma naipenda hadi Leo kazi nzuri daz mwalimu

  • @veronicachacha3699
    @veronicachacha3699 2 роки тому

    songea iyo kulikua kuna kiwanja knaitwa buhemba club atar sana

  • @AmaniNiyonsaba
    @AmaniNiyonsaba 2 місяці тому +1

    Respect

  • @rafaelbilikwija675
    @rafaelbilikwija675 5 років тому +2

    Dah, daz nimemuna mitaa ya tabata yupo tungi sana. Rasta mpaka mgongoni. Dah jamaa sijui anafeli wapi? Ukisikiliza mziki wake na jinsi alivyo kwa sasa huwezi kuamini. Dah yaani.

  • @isayamgeni169
    @isayamgeni169 5 років тому +16

    2019...ilikuwagapoa

  • @justinekasmiry3390
    @justinekasmiry3390 2 місяці тому

    Daah huku nimeletwa na Domo kaya 😢😢😢😢

  • @inocentmpina4850
    @inocentmpina4850 5 років тому +9

    2019 bado natafuta namba nane 😂😂

  • @IbrahimuMachunda
    @IbrahimuMachunda Рік тому

    Kitambo Sana aisee maisha haya jaman🎉🎉🎉🎉

  • @jeffmuema8596
    @jeffmuema8596 4 роки тому +4

    2020 bado namba nane ipo kabisa 👊👊

  • @karangwajoseph1015
    @karangwajoseph1015 4 роки тому +17

    Like hapa kama umemuona majani akipiga gitaaa❤

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 років тому +10

    Cha zamani dhahabu,acha tutembee nazo. 2019.............2099

  • @khanafrica22
    @khanafrica22 4 місяці тому

    🎉🎉🎉bro pokea MAUA YAKO tungali HAI....hili dude ni forever living linatibu ngiri na u.t.i sugu

  • @candy9969
    @candy9969 Рік тому

    Jamani hii ngoma mpk leo ipo kwenye damu yangu

  • @danrevelian
    @danrevelian 3 місяці тому

    Shikamoooo producer P Funky Majani

  • @amanirecords2943
    @amanirecords2943 3 місяці тому +3

    Umenikumbusha mbali mzeeh

  • @sewandomkuchu9267
    @sewandomkuchu9267 7 місяців тому +1

    March 9, 2024..Saturday at 11:51pm ..I am still listening to these songs

  • @stephmagwatha6754
    @stephmagwatha6754 5 років тому +2

    Namona farid qubanda hapo ametisha sana king of hiphop

  • @allymselemu5650
    @allymselemu5650 2 роки тому

    Duh Ili goma 2022 bado linadumu walahi nawapa eko kwao

  • @HarunaAlbert
    @HarunaAlbert Місяць тому

    Ngoma za p funk tamu sana akipiga lazima itrendi

  • @petermlundwa6399
    @petermlundwa6399 3 роки тому +10

    Arguably one of the best

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +2

    Nyinye 😋😋😋😋jamani uwiii 🔨still hot 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 4 роки тому +1

    Daaah hizo old songs ukizopiga kweny mixing tape hallo ziko hot ile noooma

  • @MlumanguArtmore
    @MlumanguArtmore Місяць тому

    this was back my primary school,

  • @gastonmkeyegele9225
    @gastonmkeyegele9225 Рік тому

    Skuu hziii tunaikbiwaaa utopolo oooh Hawaii watuuu sjuiiii wako apiii jaamaniii dhaaa tunaimbiwaa sjuii kutongozzaa sjuii nn doooh

  • @geoffreyombuna3180
    @geoffreyombuna3180 4 місяці тому

    Alinichanganya hadi leo nampenda..

  • @rashidmalya6381
    @rashidmalya6381 Місяць тому

    Jamaa alikuwa anajua sana

  • @husseinkundan
    @husseinkundan 3 роки тому +4

    2021 gonga like twende sawa

  • @karoltunduli107
    @karoltunduli107 3 роки тому +7

    Still one of the best tracks

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada Місяць тому

    Mwanamalundi Fid q🔥🔥🔥

  • @HassanMbaruku-ub5wb
    @HassanMbaruku-ub5wb 22 дні тому

    Kama na ww unaangalia hii ngoma kama mm like hapa

  • @jumachichi9261
    @jumachichi9261 3 роки тому +1

    2021 bado ipo juu zaidi top ten yng

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 Рік тому

    Memory bring back

  • @darslaamboi
    @darslaamboi 5 років тому +8

    2019 #Ngoma bado na ukali wake ulele! Kweli Mziki ulikua zaman!

  • @allymjato8980
    @allymjato8980 2 роки тому

    Kuna wapumbavu Leo Wanamtukana P.funk majani na Mkumdharau Dah Majani Aheshimiewe katika Hii tasnia kafanya makubwa san

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 3 роки тому +1

    Fidq majibu yako tu noma
    Unaitwa nani?
    Fid g
    Unishi wapi?
    Geto
    Kazi yako nini?
    Mziki

  • @salehsaleh548
    @salehsaleh548 4 роки тому +7

    Still love this song 😍😍😍😍

  • @doomkushi6394
    @doomkushi6394 8 років тому +1

    Daaah kitambo ilosongii halafu bonge la ngomaa big up Daz and mkushi fidq

  • @instagrambluetickverify6870
    @instagrambluetickverify6870 3 роки тому +1

    2021 tupo bado wanagu 👊👊

  • @jastinimajaliwa
    @jastinimajaliwa 3 місяці тому +3

    Mliokuja hapa baada ya interview ya EATV tujuane😅

    • @63hdhdbilwo
      @63hdhdbilwo 3 місяці тому +1

      Old school bongo flavo hao wasanii walikuwa na kipawa ya kuandikaa muziki

  • @collinsbaraza6140
    @collinsbaraza6140 5 років тому +2

    Kutoka Kenya hapa, yanirudisha primary school 😅

  • @fredykasigwa
    @fredykasigwa 3 роки тому

    Ngoma bado ipo kwenye ramani sana 2021

  • @rabioabdala2222
    @rabioabdala2222 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ bongo flave ni top

  • @fatimamv2723
    @fatimamv2723 2 роки тому

    It hits 2022💃🕺 number nane wenyewe nko hapaa

  • @jamesclement3066
    @jamesclement3066 4 роки тому +1

    2020; wasanii wako poa lakin. ...et nyota! Nan kasema kazi ndagu tu za kizazi kipya.big up bro

  • @TwalibuMussa-i3m
    @TwalibuMussa-i3m 5 місяців тому +4

    wanaokubari pini za kipindi kile gonga like zenu twende pamoja pig up sana mziki ulikuwa wa kipindi kile sasa hv kelele tyu

  • @W_ESQUIARE
    @W_ESQUIARE 8 місяців тому +1

    Good music never gets old.......2024

  • @jumamshangama7700
    @jumamshangama7700 4 роки тому +3

    Duuh yakale hayanuki 2019 December

  • @salimummbaga4347
    @salimummbaga4347 4 роки тому

    February 2020 Ngoma inanikumbusha saana enzi hizo ila nimewakumbuka saana dazz Baba uko wapi🤔🤔

  • @abuu-bakarshaaban6246
    @abuu-bakarshaaban6246 2 місяці тому +1

    Lkn kwenye hii video hakuna dem mwenye Namba nane wote Ni 1 tu

  • @magemgonja7044
    @magemgonja7044 5 років тому +9

    Am here 2018

  • @hanifahramzy2646
    @hanifahramzy2646 5 років тому

    Jamani nyimbo za zamani zilikuwa🔥🔥 hivi wako wapi jamani Daz baba fid q we miss you guys

  • @kafokeraphael705
    @kafokeraphael705 2 роки тому +6

    Still my best song 2022 watching

  • @khamisramadhan5133
    @khamisramadhan5133 Рік тому

    Kali sana mzee .daz baba

  • @rajabumohamed556
    @rajabumohamed556 3 роки тому

    Duuuuh fid q alikuwa mgumu Kama comando kipensi

  • @chimbojipya2876
    @chimbojipya2876 3 роки тому

    Wahenga tuko apa 2021

  • @MlumanguArtmore
    @MlumanguArtmore Місяць тому

    unaitwa nani,kazi mziiiki apo ndio ilinipa rahaa

  • @TheModestine
    @TheModestine 3 роки тому +3

    2021🙋🏽‍♀️

  • @ezromuphilimoni4878
    @ezromuphilimoni4878 3 роки тому

    2021 jamani hili song halitoki lichwan

  • @karoltunduli107
    @karoltunduli107 3 роки тому +4

    This was real music