Kama kweli Mungu anaketi katikati ya sifa acha hizi sifa zivume zirudi kwake, nice song, nice voice oooo oh! I love you Msanii Group, jamani mnavyojua kunibariki mmi na Moyo wangu Mungu pekee ndo anajua.Mungu awatunze jamniiii.
Hata Mimi nyimbo hizo zina nibariki Sana endeleeni na Ari hii mbarikiwe musirudi Nyuma enezeni injili hii yake kristo Yesu Bwana Awajaalie kazi isonge mbele
Yaani mimi niliacha kuwa sure na vitu nyingi except for two things; 1.The second coming christ😀. 2. Msanii releasing a sweet old tune on Friday night😂. Si Mungu atubariki sote.
The hope of eternal life is the glorious theme our Adventism movement.In this we rest and sing along.How blessed to join our voices and sing along of "Uzima wa Milele ..........."
Japo Chini ya neema haimaanishi kwamba Tufanye Chochote Tutakacho Sisi Bwana Ni mwema sana Upendo Wa Mungu kwa mwadamu Hauelezeki Ukisoma Zuburi 8:4 nakuendelea Mwanadamu Amewekwa Punde kuliko Mungu Pia Ukisoma Ebrania 2:5 Inasema Hata ule ulimwengu ule ujao haukuwekwa kwaajili ya malaika Bali amewekewa Mwanadamu Ni upendo Ulioje?? Lakimi pamoja Na wema huo wote wa Mungu kwa Mwanadamu Wema wake unashart moja tu Utii Musa alikua kipenzi Cha Mungu Kiasi kwamba Mungu alitaka Kuangamiza Waisrael Mara Mbili Mfululizo Ili aanzishe Taifa jipya kupitia musa Ukisoma Kutoka 32:9-10 Hesabu 14:11-12 lakini Pamoja na urafiki wote wa Musa kwa Mungu Mungu anamsifia Musa kwenye Hesabu 12:6-8 Lakini pamoja na upendo Huo na urafiki Huo Kosa dogo tu lilifanya Musa asiwafikishe Wana wa Israel nchi ya Ahadi Hesabu 20:12 Kitendo Kidogo tu kilimkosesha Musa kufika nchi ya ahadi Hivyo wapendwa Wema wa Mungu unahitaji utii Hata tukija kwa sauli, Tukija kwa akani Visa vipo Vingi sana Pia Ukisoma Kutoka 19:5 pia Ukisoma Isaya 1:19-20
Kama kweli Mungu anaketi katikati ya sifa acha hizi sifa zivume zirudi kwake, nice song, nice voice oooo oh! I love you Msanii Group, jamani mnavyojua kunibariki mmi na Moyo wangu Mungu pekee ndo anajua.Mungu awatunze jamniiii.
TV
M,omp
God our comforter
Hata Mimi nyimbo hizo zina nibariki Sana endeleeni na Ari hii mbarikiwe musirudi Nyuma enezeni injili hii yake kristo Yesu Bwana Awajaalie kazi isonge mbele
Naipenda sana hii choir
Bwana anasema pole mwana wangu. I love the coat I used long time ago, if you like it too give me likes from Ziwani, Mombasa.
Op
kindly drop me your contact want to share something with you kindly
Bwana anasema pole mwana wangu nimekuandalia uzima wa milele😭😭 Ameeen
Mtuekee lyrics tuimbie huku😂😂😂🙊🙊🙊
Ameen
Great work ladies 🙏💯
@@flyalert amazing
Good work
Amen
Hello Kelsy😁
Its a nice song sang indeed
Very wonderfull hata your smile makes me comfortable to listen to tha song
Bon travay pou Jesus
Cool song
Wow super 👌👏👏👏👏👏👏 sond
For the first time since God created the world. I am the first person to comment...Amen?
Amen
I like your songs as Msanii music group,they are so inspiring.ls it possible to join you cause am touched
😂😂😂
I had to confirm that you were actually part of this great piece. Glory to God,
@@silla2610 Ameeen
Smart pple smart song sweet song msani group
Yaani mimi niliacha kuwa sure na vitu nyingi except for two things; 1.The second coming christ😀. 2. Msanii releasing a sweet old tune on Friday night😂. Si Mungu atubariki sote.
Am not an sda but am in love with your songs, keep it up and may the lord open ways for you
Good presentation....keep it up
Mbarikiweee sanaaa
Lilian kirui l like your dress keep it up sister
God bless you muendelee kutuhudumia kwa huduma hii ya wimbaji
I really like this... Great Amen.
Kweli.ahadi.za.Bwana.yesu.ni.kweli.na.amina
Amen and amen
Bwana anasema pole mwanangu...nimekuandalia uzima wa milele
Powerful message ...ask yourself what you'll get at the end of sinful world ...
amen amen tout glwoire pou bondye
Bwana anasema pole mwana wangu sweet message am blessed
Nice one. Bwana asifiwe
Amina kubwa mbalikiwe sana mungu yupamoja nanyi daima awatie nguvu
Whoever is reading this may God give you wisdom, happiness,health and wealth...may He bless you abundantly and enlarge your territory Amen
Amen
@@babrazulu2547 Amen be blessed abundantly
Amen Bwana ametuandalia uzima wa milele
Vyema kujua kwamba Bwana ameniandalia Uzima wa milele.
Amen. Nice song
Very nice! Good job. Keep it up
I like venye mziki wenu unabadilika kila kuchao🙏
I'll like the St
Wow.wow. wow. 👌👌👌
Wow huo wimbo umenigusa natamani kujiunga nanyi
Baraka nazinijae kupitia huu wimbo, Mungu watunikie mema waimbaji wako
Wonderful work msanii music group your songs are really touching souls
Nice inspiration song
Mungu awabariki, nawapenda sana na nabarikiwa sana na nyimbo zenu.
Aminaaaaaaa
Patiently waiting
May God bless you as you preach through your sweet songs
Evah where are you we miss you in Msanii group please come back
Please come back we miss you in Msanii group fans
We miss you 🤗
God bless you
Amina Amina mubarikiwe msanii record kwa ujumbe murua .Mola awape siha nzuri kuendelea kuwaudumia watu kupitia nyimbo tamu kama asali.shalom
Mbarikiwe sas naupenda huu wimbo sannn
Bwana anasema pole mwana wangu nimekuandalia uzima wa millele.... Amen
Amen kweli ametuandalia usima wa milele
amen... a mkiimba ni utukufu wa mungu unaonekana si wa binadamu.
Wow wow
Incredible
nice song
NiceVoice god blessing you guys
Amen🙏🙏🙏
God bless you msanii group, this song touched me so much.
Mungu awabariki watu msanii na endelee kuwapa uwezo wakuendeleza kazi yake
Hii ndio sauti/melody asilia ya SDA kabla haijaanza kuchakachuliwa
Another early Sabbath blessing.
Thanks guys
God bless
Wow . I really enjoy listening to your music
Amen
Kila ijumaa lazima niweke bando ili niwaone nakuwasikiliza. Mnaimba vzur Sana. Nawapenda kutoka Tanzania 🇹🇿
Good thing is mnanikumbusha enzi zangu za pathfinders.... when sda songs were sda songs....
Great ..beautiful ...GODS promise of eternal life is sure..GOD bless you
God bless msanii group..good songs
Bwana ameniahidi uzima wa milele,kwa hivo natamani kufika Mbinguni niishi na yeye.Nice piece Msanii group. Happy Sabbath great team
Wow... God bless you msanii
Beautiful song supper nice speech allgood farfomas supper
My favourite
Nice song,🙏🙏🙏🙏🙏
Wow its so cool and has a message,,,, happy Sabbath Lilian,Kelsy,,chief ,,,brayo and the others siwafahamu aki buh al soon know all of you niece piece
Waiting mode activated
Amina sana mnanikumbusha mbali sana miaka ya nyuma
Amen msanii group..... Waiting for another new ya zamani tena mnatukumbusha mbali
Good work👏👏👏may God bless you🙏🙏🙏
Happy Sabbath, and thanks for the songs with such deep reflections of the old adventist religion...
May God bless msanii music group,I get comforted whenever I'm depressed.
Mungu awainue wasanii
Blessed song indeed,,,, God bless you abundantly🙏🥰
amen ,nice song
Another nice one..Msanii your songs bring back the memories
Nice one
I like your songs they contain encouragement message keep with that spirit and be blessed a lot
wow so nice and touching song my favorite group
Amen. Happy sabbath
Amazing nice one
The hope of eternal life is the glorious theme our Adventism movement.In this we rest and sing along.How blessed to join our voices and sing along of "Uzima wa Milele ..........."
Beautiful song supper farfomas beautiful African jantha good natural jevon love you African
From China wonderful and a blessing song. 👏👏
God bless your
Wooooow bwana anasema pole mwanawangu.....AMEN AMEN🙏🙏lilian much love girl😍 may God abundantly bless you ad the team.....
Mungu awa bariki muendelee kutubariki na sisi
Our SDA songs remind me saw many thing that us happened in our life and yet still happening again
Japo Chini ya neema haimaanishi kwamba Tufanye Chochote Tutakacho Sisi Bwana Ni mwema sana Upendo Wa Mungu kwa mwadamu Hauelezeki Ukisoma Zuburi 8:4 nakuendelea Mwanadamu Amewekwa Punde kuliko Mungu Pia Ukisoma Ebrania 2:5 Inasema Hata ule ulimwengu ule ujao haukuwekwa kwaajili ya malaika Bali amewekewa Mwanadamu Ni upendo Ulioje??
Lakimi pamoja Na wema huo wote wa Mungu kwa Mwanadamu Wema wake unashart moja tu Utii
Musa alikua kipenzi Cha Mungu Kiasi kwamba Mungu alitaka Kuangamiza Waisrael Mara Mbili Mfululizo Ili aanzishe Taifa jipya kupitia musa Ukisoma Kutoka 32:9-10 Hesabu 14:11-12 lakini Pamoja na urafiki wote wa Musa kwa Mungu Mungu anamsifia Musa kwenye Hesabu 12:6-8
Lakini pamoja na upendo Huo na urafiki Huo Kosa dogo tu lilifanya Musa asiwafikishe Wana wa Israel nchi ya Ahadi Hesabu 20:12 Kitendo Kidogo tu kilimkosesha Musa kufika nchi ya ahadi Hivyo wapendwa Wema wa Mungu unahitaji utii
Hata tukija kwa sauli, Tukija kwa akani Visa vipo Vingi sana Pia Ukisoma Kutoka 19:5 pia Ukisoma Isaya 1:19-20
The song full of teaching i really love it SDA forever
Great! May God bless you
Among the first to view.thanks msaani for this old inspiring song
Mungu azidi kuwa baeriki❤️❤️🙏🙏
Leo nmefika late but nmesikia....Kali Sana.
Nice song am humbled
Milele na milele sitakufa tena...that is the grand hope of all times.
Touching song.Amen.
i love this song
Be blessed MSANII THANK YOU SO MUCH GOD BLESS YOU
Eish..uzima wa milele...
Am really waiting hope askah na Lilian mko
Wow the Old songs love you good servants of God.
This choir mmenikosha sana ,,my late mom loved singing and my uncle,,,,they really sung this song mmmmm thank you Na Ninawapendeni
Amen.
Amen,,,I like your songs dears
Ou glória aleluias maravilhas lindo glória a Deus aleluias aleluias aleluias glória a Deus aleluias glória a Deus 🙏🙏🙏🙏