AMINA. Wakristo Mungu Alitupenda wakati tulikuwa watoto wachanga. Hapa tumefika na baraka tulizo nazo ni Mungu Kutupenda. Jinsi Alivyoendelea Kutupenda ndivyo tulivyozidi kuenda mbali Naye. Ni wakati wetu wa kumrudia Mungu na mali yetu ili Atubariki na Abariki mchanga wetu. Tusimzoee Mungu na Mtumishi Wake. Tumpende Mungu Anavyotupenda na bila shaka Anaweza Fungua Mbingu Atubariki. Tuendelee na kumpenda Mungu zaidi. Wakati tulizaliwa na wakati tulikuwa hatujijui Ni Mungu Alituwezesha kutembea. Come back to God!! Hata sisi hatungependeka bali ni Mungu Alituvuta na Kamba Za Upendo Wake. Akatuwekelea kwa Miguu Yake na kwenye Ndevu Zake. Shida zikikuja Anatushika kama watoto wake.
AMINA. Wakristo Mungu Yuko tayari kutubariki lakini wakati wote Anapokuja Kutubariki dhambi zetu na makosa yetu yanajitoa. Wakati Mungu Anakuja Kukubariki Anakupatanga wapi? Wengine wakati Mungu Anatuma malaika Wake kuwabariki, kufungua njia zao Anapata wakivunja nyumba za watu, wakiwaibia watu, wakifanya usherati, wakisengenya, wakiharibu ndoa za wenyewe na kuwaonea wengine kijicho na wivu. Mungu Hana shida Kutubariki, dhambi zetu ndizo zimefanya Akasirike Atuwache. Ni wakati wetu wa kumrudia Mungu na kusimama Naye siku ya leo, Huyo Mungu Aliyetupenda kwa maana Yuko na Mpango Mwema kwa ajili yetu na pia tutabarikiwa na kile tunatamani tutapokea.
Tubadilike ndio mchanga ikibarikiwa bila shaka we shall be blessed automatically,Amen Amen Amen
AMINA. Wakristo Mungu Alitupenda wakati tulikuwa watoto wachanga. Hapa tumefika na baraka tulizo nazo ni Mungu Kutupenda. Jinsi Alivyoendelea Kutupenda ndivyo tulivyozidi kuenda mbali Naye. Ni wakati wetu wa kumrudia Mungu na mali yetu ili Atubariki na Abariki mchanga wetu. Tusimzoee Mungu na Mtumishi Wake. Tumpende Mungu Anavyotupenda na bila shaka Anaweza Fungua Mbingu Atubariki. Tuendelee na kumpenda Mungu zaidi. Wakati tulizaliwa na wakati tulikuwa hatujijui Ni Mungu Alituwezesha kutembea. Come back to God!! Hata sisi hatungependeka bali ni Mungu Alituvuta na Kamba Za Upendo Wake. Akatuwekelea kwa Miguu Yake na kwenye Ndevu Zake. Shida zikikuja Anatushika kama watoto wake.
Asante mungu Kwa mafundisho haya ulituma mtumishi wako Kwa ajiri yangu
Mungu ni asanti kwa upendo wako
Amen amen amen mungu asante kwa mwaka huu mungu akumbariki sana
AMINA. Wakristo Mungu Yuko tayari kutubariki lakini wakati wote Anapokuja Kutubariki dhambi zetu na makosa yetu yanajitoa. Wakati Mungu Anakuja Kukubariki Anakupatanga wapi? Wengine wakati Mungu Anatuma malaika Wake kuwabariki, kufungua njia zao Anapata wakivunja nyumba za watu, wakiwaibia watu, wakifanya usherati, wakisengenya, wakiharibu ndoa za wenyewe na kuwaonea wengine kijicho na wivu. Mungu Hana shida Kutubariki, dhambi zetu ndizo zimefanya Akasirike Atuwache. Ni wakati wetu wa kumrudia Mungu na kusimama Naye siku ya leo, Huyo Mungu Aliyetupenda kwa maana Yuko na Mpango Mwema kwa ajili yetu na pia tutabarikiwa na kile tunatamani tutapokea.
Ashanti mungu kwa mafundisho haya kupitia mtumishi wako
Blessed by the word of GOD
The word was good and challaging may God have mercy on us, God bless you apostle
Halleluya
Ameen and Ameen
Ameeeen apostle huo ujumbe ni wangu
Tuned
Hapo sana
Amen
Amen 🙏
❤
🎉😂
Amen
Amen
Amen
Amen