"Tunashusha korodani chini kwa kufanya upasuaji" PROF JANABI kwenye kambi ya RC MAKONDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 3 місяці тому +2

    Makonda Mungu akupiganie akulinde,akutie nguvu na kukupa Afya, Bila kumsahau Mama yangu Mh Rais wangu mama SAMIA SULUHU ,Uliepata maono ya kumrudisha makonda na kumpeleka Arusha Bg up mama ninakuombea Mungu aendelee kukulinda.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 3 місяці тому

    dah makonda huyu JANABI usiwe Nae kalibu sana wenye dii washaelewa

  • @VascalChibilauli
    @VascalChibilauli 3 місяці тому

    Kiongoz lazma uwe unawatumikia wananchi ndokaz lakn sio porojo makonda unafaa kuiongoza tz

  • @nurubarakekenwa7557
    @nurubarakekenwa7557 3 місяці тому +3

    Dah makonda Kwa hili umefanya kazi kubwa sana.

  • @bethkonga7944
    @bethkonga7944 3 місяці тому +1

    Makonda anapigwa sana mawe ila huyu jamaa ni hazina

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick 3 місяці тому

    Asante laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani Alha akulinde na maasidi kwa kutoa Pesa kwa matibabu ya muimbili
    Pia mueshimiwa makonda Alha akuongoze kwenye uongoziwako
    Uwe mfano

  • @MaryShayo-tg4vq
    @MaryShayo-tg4vq 3 місяці тому

    Mungu azidi ukuwafuguwa mioyo viongezi weti wote wawe na moyo wa huruma kama makonda 🎉

  • @goodluckabdul7316
    @goodluckabdul7316 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana Mh Makonda

  • @ThomasKipamba
    @ThomasKipamba 3 місяці тому

    👍👍👍👍👍🙏🙏🇹🇿🇹🇿