🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @AgathaSappy
    @AgathaSappy 2 дні тому

    Amina pastor! Namshukuru sana Mungu kupitia mafundisho yako! Nimemuona Mungu katika changamoto za magonjwa na vifungo vya ibilisi nilivyokuwa Nimefungwa! Mungu azidi kukutunza mchungaji na maombi yako pia ni muhimu sana katika maisha yangu

  • @upendoramadhan9222
    @upendoramadhan9222 4 дні тому

    Somo hili limekuja wakat muafaka limeniimarisha Mungu akubariki sana mchungaji wangu

  • @SalomeMoturi
    @SalomeMoturi 8 днів тому +7

    Mungu 😢😢aingililie maisha yangu riding ya vitisho kazini , magojwa,watoto ,pamoja n family yote,nguvu za giza .pastor mungu akubariki naamini utaona ujumbe wangu amina

  • @ruthmoranga5142
    @ruthmoranga5142 7 днів тому +2

    Mungu wangu naomba uingilie maisha yangu ambayo yamekwa nikijaribu kufanya yanakwama bwana naomba umuguze yule mwanaume nimelipa fedha anifanyie kazi na hataki Jehovah nakuachia ukatende muujiza wako na hata wale hawataki kunirudishia madeni yangu bwana najua ww unatenda nina imani kuwa unaenda kutenda makuu kwa jina la yesu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @CatherineMgusi
    @CatherineMgusi 7 днів тому +2

    Namshukuru Mungu nilikuwa naumwa tumbo baada ya kusikia somo hili tumbo limeacha kuuma

  • @dieumeKivuku
    @dieumeKivuku 6 днів тому

    nime barikiwa kweli Mungu aongeze ujuzi wako mchungaji

  • @susanomwenga8882
    @susanomwenga8882 8 днів тому +3

    Amen Amen oh God hear my voice you're a merciful God thank you for hearing my cry Amen pastor I'm blessed day by day watching from USA Minnesota

  • @JescarKananas
    @JescarKananas 6 днів тому

    Naomba Mungu aniwezeshe kusimama vyema na neno lake Mimi na nyumba yangu Mungu zidi kunifundisha baba nifinyange sku h adi sku amina

  • @rizikimakupe-tw2sj
    @rizikimakupe-tw2sj 8 днів тому +1

    Bwana yesu asifiwe mutumishi nahitaji maombi kwaajili ya mtoto wa dada yangu afanyiwe upareshoni sehemu zasiri ameen 🙏 🙏

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 4 дні тому

    Aminaaaaaa 👏🙏
    Hakika,Nimebarikiwa sana sana na Somo hili.

  • @SilviaPaulNshale
    @SilviaPaulNshale 7 днів тому +1

    Naitwa Silvia Paul naomba Mungu anipe roho ya hekima na mapenzi yake yatimizwe kwenye maisha yangu

  • @gracemurondoro3869
    @gracemurondoro3869 7 днів тому +4

    Mwanangu aweze kupata ada na mwingine afanyie operation salama kwa uwezo wa mungu

  • @MiriamMuema-j6m
    @MiriamMuema-j6m 2 дні тому

    Nashukuru Mungu kwa umbali anenifikisha nilipata matatizo kidogo lakini ilikua mlango wa kunibariki

  • @JoanJerubet
    @JoanJerubet 8 днів тому +1

    Naomba mniombee nizidi kusimama imara na nitembee pamoja nayesu Christo siku zote katika maisha yangu huku warabuni

  • @calebmakori
    @calebmakori 7 днів тому

    I bless and praise you God for your protection and this teachings

  • @faustermtavangu8212
    @faustermtavangu8212 7 днів тому

    Mchungaji namshukuru Mungu kupitia maombi yako Mungu amenibariki nina wajukuu watatu ndani ya miezi minne.Asante Mungu.

  • @lucymwakisuma8658
    @lucymwakisuma8658 7 днів тому

    Amina,jina la Bwana na litukuzwe,barikiwa mtumishi wa Mungu na wote wana mahubiri tv,,mm ombi langu Mungu anifundishe kuwa mtu wa kiroho

  • @KalabaKlb
    @KalabaKlb 8 днів тому +1

    Muchungaji kweli kweli shida ninayo ni moja pekeyake nataka nimjue Mungu anene nami nipate kumsikiya

  • @clementinelelei6059
    @clementinelelei6059 8 днів тому +1

    Mchungaji, umekuwa mbaraka katika Maisha yangu,Naomba ushindi dhiti ya nguvu za Giza katika familia yangu.

  • @Yunah-ti1bx
    @Yunah-ti1bx 7 днів тому

    Mchungaji naomba uiombee familia yangu baadhi ya ndugu zangu wameiacha imani naamini mungu atatenda kitu kwenye maombi haya amina

  • @kizzohaggi
    @kizzohaggi 7 днів тому

    Mchungaji nabarikiwa sana na neno la Mungu toka kwako, ukwel umefanya nijue nguvu ya Mungu kwangu, umefanya nikumbuke Mungy wangu anahitaji nimuhabudu,nmsifu na kumshukuru kila wakati

  • @purity134
    @purity134 8 днів тому

    Amen. Nikumbuke pia pastor pamoja na watoto wangu since wafunge shule nikipiga simu wanasema watatuma sms nione vitu waliambiwa waende nazo when they'll open school on January ,this is the second month nimeongea mpaka najiuliza kwan mi ndio sijui chenye nafanya ile hali they know l'm far from home,ikifika January ndo wakae kama sanamu natamka wisdom juu yao.amina

  • @BahatiKisaka
    @BahatiKisaka 6 днів тому

    Naomba pastor uniombee Mungu anipatie mweza wa maisha.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 7 днів тому

    Huwa nakuelewa sana , Mchungaji Mmbaga! Mungu akubariki unapomtumika kwa uaminifu.

  • @MasikaSashaSharline
    @MasikaSashaSharline 8 днів тому +8

    Naomba muiombee familia yangu Baba ametuacha na mama hii nimiaka tanu kwasasa hatujuwi alipo paka sasa

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 8 днів тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu, tunamtukuza sana Mungu kwaajili ya kazi yake ndani yako

  • @PriscillahKemuma
    @PriscillahKemuma 8 днів тому

    Pastor Asante kwa neno na omba onion eniombee na nyunmba yangu yote And my mu who is down with athiritis

  • @filomenaemmanuel14
    @filomenaemmanuel14 3 дні тому

    Umenisaidia sana mchungaji ujumbe umenisaidia mana nimepita pagumu mno ila kwa ujumbe huu nimetiwa nguvu naamini kila shambulio la adui zid yangu haitafanikiwa

  • @MwavitaRashidi-z5m
    @MwavitaRashidi-z5m 7 днів тому

    Na tuma Itaji ya watoto wote kwa ajili ya masomo mungu awa pitishe wa faulu shuleni na mungu awalinde

  • @Elizabeth-p9v4u
    @Elizabeth-p9v4u 8 днів тому +1

    Magonjwa yanatesa sana familia yangu hasa mwanangu yuko na usonji nahitaji meema ya Mungu

  • @leilahl7024
    @leilahl7024 6 днів тому

    Amen and Amen

  • @OmiKajanja
    @OmiKajanja 7 днів тому

    Pastor naomba unikumbuke kwenye maombi ninaona napita kwenye ugumu katika biashara, vikwazo mikwamo lkn kwa kuwa Mungu amesema nami waziwazi hikunificha nina imani atanishindia nami.nitavuka

  • @rhodawilliam3871
    @rhodawilliam3871 7 днів тому +1

    Mama yangu anahitaji maombi ni mgonjwa ,naanapoishi korogwe anaona madudu ya ajabu na watu usiku, wengine hawaoni hivyo vituko ila yeye peke yake,na hapo anapo ishi hapajengeki tunaomba maombi ili pafunguke tuweze kujenga nyumba kubwa.Bwana awabariki.

  • @HELENAMBUNGU
    @HELENAMBUNGU 7 днів тому

    Amina

  • @SumaiJohn
    @SumaiJohn 7 днів тому +2

    Pastor mniombee Mungu anisaidie Nina changamoto Kila nikipata mchumba na tunapanga tarehe ya kwenda kijitambulisha lakn ghafla anagail bila sababu ya msingi na kukatisha mawasiliano ghafla pia mniombee Mungu aniwekee ulinzi changamoto nyingne Kila nikipata Hela maradh yananiandama

  • @AmosKalyango-o1s
    @AmosKalyango-o1s 8 днів тому +1

    Pastor niombee Mimi ni kjana wakiadventisita ila kila nikiachana na mambo ya Dunia yananjia Kwa nguvu na nmekosa chuo mwaka huu npo nyumbani

  • @mildredmariera7733
    @mildredmariera7733 2 дні тому

    Ameeen🙏🙏🙏🙏

  • @GraceElias-d9d
    @GraceElias-d9d 8 днів тому +5

    Ombi langu kwa Mungu,,anifungue vifungo vya mwovu alivyonifunga kwa muda mrefu sana. Aniweke huru Mimi pamoja na familia yangu

  • @SumaiJohn
    @SumaiJohn 7 днів тому +1

    Pastor shikamoo naomba muniombee2 nasumbuliwa na nguvu za Giza pia baby yangu naye anasumbuliwa na miguu muombeen mungu amponye

  • @PurityMusyoka-h5z
    @PurityMusyoka-h5z 7 днів тому +1

    Amen

  • @rhodawilliam3871
    @rhodawilliam3871 7 днів тому +1

    Na mimi naitwa Joyce naomba maombi kwa ajili ya ndugu zangu, na mimi afya yangu na uchumi, na binti yangu .

  • @AliceOnchonga
    @AliceOnchonga 7 днів тому

    Naomba maombi ya kunifungua kutoka moufu shetani pamoja na familia yangu.

  • @doreenmose
    @doreenmose 7 днів тому

    Mungu akubariki

  • @loicemlongo8557
    @loicemlongo8557 8 днів тому +1

    Pastor naomba uniombee natamani niwe na hekma na ufahamu kama wako

  • @AaS-wi9xl
    @AaS-wi9xl 8 днів тому

    nashukuru Mungu alinisaidia,nikiwa airport Nilidondosha ticket yangu lakini Kwa miujiza yamungu nikaletewa namalaika nikiwa Kwa line ya check out so inshort nasema Mungu Ni mwema kwangu amen🙏

  • @essylang
    @essylang 5 днів тому

    Thanks!

  • @abbasmkambara5815
    @abbasmkambara5815 8 днів тому +1

    Mahubiri TV mfike mbali zaidi na zaidi ili watu wengi waponywe roho akili na mwili

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v 8 днів тому +1

    𝙋𝙧 𝙣𝙞𝙤𝙢𝙗𝙚𝙚𝙣𝙞 𝙣𝙖𝙝𝙖𝙡𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙮𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙞𝙧𝙤𝙝𝙤.

  • @DiegoJota-f9g
    @DiegoJota-f9g 8 днів тому

    Pastor naomba uniombe magonjwa yananiandama

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 8 днів тому

    Amen!

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 7 днів тому

    Aminaa😢

  • @samwelmgallah67
    @samwelmgallah67 7 днів тому

    Tunapaswa kuombea sana hivi vipindii maana nae shetani anapambana sana kuna wakati tusiweze sikia au kuelewa au sauti unakata au unasikiliza usingizi unakupitia

  • @boscoShama
    @boscoShama 8 днів тому

    Kweli MUNGU amenitoa katka kifungo Cha kuowana na mtu wa I'mani tofaut na mm

  • @boscoShama
    @boscoShama 8 днів тому

    Namba hazionekan vizur

  • @ZephaniaRobi
    @ZephaniaRobi 7 днів тому

    Pr number kuna mtu ananisumbua kwenye eneo langu ananinyanyasa sana niombee alliance ili nuwe na amani

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v 8 днів тому

    𝙎𝙖 𝙬𝙖 𝙣𝙞𝙢𝙚𝙠𝙪𝙚𝙡𝙚 𝙬𝙖. 𝙋𝙧.

  • @calebmakori
    @calebmakori 7 днів тому

    Amen

  • @IreneSailes-q5s
    @IreneSailes-q5s 7 днів тому

    Amina

  • @AmosKalyango-o1s
    @AmosKalyango-o1s 8 днів тому

    Pastor niombee Mimi ni kjana wakiadventisita ila kila nikiachana na mambo ya Dunia yananjia Kwa nguvu na nmekosa chuo mwaka huu npo nyumbani

    • @DormethylRespicius
      @DormethylRespicius 8 днів тому

      Dhamiria kutoka moyoni amini kwa nguvu za Mungu unaweza kuyashinda omba kwa dhati maombi ya mfululizo kwa siku kadhaa.Mungu ataimaliza

  • @annamagiri-zd9wz
    @annamagiri-zd9wz 4 дні тому

    Amen

  • @JescarKananas
    @JescarKananas 6 днів тому

    Amina