Sugu apeleka Swala la kufungiwa wimbo wake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Sikilizia jinsi swala la kufungiwa wimbo wa #219 wa Sugu ambao bado haukuwa rasmi toka kwake..
    Kama anavyo dai mwenye, kuwa haikuwa official release kwa ngoma iyo.

КОМЕНТАРІ •

  • @jimjam9559
    @jimjam9559 6 років тому +2

    Masha Allah sugu ukweli mtupu jopa mchungu

  • @cleomachota351
    @cleomachota351 6 років тому +1

    Sana rais wa mbeya sugu nakuelewa kinoma noma

  • @Jaymediatzonline
    @Jaymediatzonline 6 років тому +1

    Huyu Naibu Waziri sijaelewa akili zake. Kwani wimbo uki lik maana, kwani wimbo Uko lik kwenye mitandao hauingii. Namshauri awe anasikiliza kwa umakini kabla ya kujibu. Sugu ameeleza vizuri sana.

  • @hermanjoseph2062
    @hermanjoseph2062 6 років тому

    Kamanda pambana bigup

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 6 років тому +2

    Duhh wamefungia demo jamaa hatari

  • @brightvatta284
    @brightvatta284 6 років тому

    #MVMP #PP219 #Sugu 🔥🔥🔥

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 років тому

    #SUGU KANYWA #MOFAYA ZAKUTOSHA TOA MADUDU YOTE INJE MFUNGWA#219...💪💪

    • @keviisafikakmungumkubwambo4369
      @keviisafikakmungumkubwambo4369 6 років тому +1

      Ramazani Mulongeca huna sera wewe wimbo safi

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 6 років тому

      keviisafi kak Mungu mkubwa mbowe
      Alafu wimbo #219 kama vipi tuandamane ufunguliwe maana #Julian na #BASATA wametetemeka mpaka kuufungia, ila sio nux sababu wajanja tunao tayari... Message sent and delivered+Received.

    • @ceciliajimmy5652
      @ceciliajimmy5652 6 років тому +1

      Ila wewe una matatizo. Uchochezi uchochezi uchochezi ndio msamiati?

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 6 років тому

      Cecilia Jimmy
      NENDA kwa #Mange akupe #MOFAYA (BILL ON ME) ALAFU UTARUDIA KU COMMENT UTAELEWA kwanini wameufungia wimbo #219. Mistari yake mikali sana, kama vp sema nikuonjeshe kidogo....😂😂😂😂😂😂😂

  • @sarifumalima3316
    @sarifumalima3316 6 років тому

    sugu ni hatareeeee

  • @vicentigiboregibore1007
    @vicentigiboregibore1007 5 років тому

    eti mpaka hapo mimtu mingine inasema niuchochezi mijingaaaa. sugu yuko sahihi matako wewe jimy

    • @lennoxhunter801
      @lennoxhunter801 3 роки тому

      not sure if anyone gives a damn but if you guys are bored like me during the covid times then you can watch all the new series on InstaFlixxer. Been binge watching with my brother during the lockdown xD

    • @enriquezechariah3660
      @enriquezechariah3660 3 роки тому

      @Lennox Hunter yea, been using instaflixxer for months myself =)

    • @dillonorlando7710
      @dillonorlando7710 3 роки тому

      @Lennox Hunter yup, I've been watching on instaflixxer for since november myself =)

    • @reeselarry4207
      @reeselarry4207 3 роки тому

      @Lennox Hunter Yea, been using InstaFlixxer for since november myself :D

    • @clarkmilan9759
      @clarkmilan9759 3 роки тому

      @Lennox Hunter yup, I've been watching on InstaFlixxer for since december myself :)

  • @kinglance9816
    @kinglance9816 6 років тому

    hizi njaa zitatuua