WALIOHUJUMU TRENI MCHONGOKO WAKAMATWA (CCTV CAMERA ZIFUNGWE NJIA ZA SGR)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 дні тому

    Mzee mjinga mawazo mepesi sana haya

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 5 днів тому +1

    Mngewaonyesha hao waliokamatwa ili wajulikane na nchi nzima kuwa wao ni wahujumu wakubwa!

  • @christopherlutana5870
    @christopherlutana5870 4 дні тому +1

    Hapo ni washitakiwe Kwa uhujumu uchumi.bila huruma

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 4 дні тому +1

    Kule kwetu China,wahujumu wa hivi,hamna haja ya kesi..wanawauwa tuu.ushahidi wa Nini? Anakamatwa tuuv,anakula Shana..hafai kuishi na sisi

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 3 дні тому

    Dah baadhi ya watanganyika ni abaya Sana yani hawapendi maendeleo ujinga wa hali ya juu kabisa, hawo watu waekwe lockup chap chap,

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 3 дні тому

    Max kwauso je

  • @bongo39
    @bongo39 4 дні тому

    Yani watanzania ni mtihani hatufanyi kiru mpaka kitojee kitu sasa huu mradi ni wa matirioni hawajajua kuwa usalama ni muhimu zaidi sasahivi hata mtu wa hali ya chini anaweka cctv kamera nyumbani kwake au biashara inakuaje mradi mkubwa kiasi hicho hawajali ni upumbavu wa hali ya juu kadogoda nini unafanya hukujua umuhimu wa kamera au ndio haikuumi sii mali yako

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 4 дні тому

    Na hao wachina wanaozinunua mnawafanyaje??
    Hawa ndio Chanzo kinachosababisha watu waende kuiba.,
    Maana hawa ndiyo wanaozinunua hizo waya

  • @joycelinelyimo-fenske8745
    @joycelinelyimo-fenske8745 4 дні тому

    Wakenya

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa 4 дні тому

    Hili hili bunge fake?

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 3 дні тому

    waseme wametumwa na nani hao wajinga serikali mctufichie hao wajinga .hao wametumwa na wmiliki wa mabc au imekuaje iyo ni kec ya kundi