DOSA|KILA TIMU INATAMANI KUWA KAMASIMBA TUMEUMIA WAMEBAKI MICHUANO YA CAF|LIGI KUU HAKUNA FARAJA PIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @MordAlly-ng8jj
    @MordAlly-ng8jj 6 годин тому

    Mungu akubariki sana Dossa umekuwa msema ukweli mpaka raha kusikiliza interviews zako kwa kubalance story, well deserved kongole

  • @hemedmwandaro1264
    @hemedmwandaro1264 10 годин тому +1

    Dosa ndo kipenzi cha watanga he is our best football analysist from Tanga Tanzania

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 11 годин тому +3

    Dosa Mungu Akulinde, Wana yanga wanaroho za kishetani

  • @fareedkhalipher3590
    @fareedkhalipher3590 12 годин тому +7

    Leo umepoa sana mzee Kuna siku nlikuambia Yanga ilivyoanza kupata matokeo mazur ulitoka kuongelea mpra ukaanza kuzungumza kishabiki Leo mpra umekufundxha unazungumza uwalisia wa mpra Sasa na bado msifos kuwa na ukubwa ambao amna

  • @fredyhacker7322
    @fredyhacker7322 11 годин тому +5

    Point sana mabeki wa pemben wa yanga wamewafelisha
    Ila sisi simba tumefurah😂😂😂

  • @HappySeafood1410
    @HappySeafood1410 3 години тому

    😅😅😅Chagamba nimecheka sana Etiii Inatosha Nisije nikaongea maneno mengine siooo😂

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 11 годин тому +1

    Noma sana watani 😂😂😂😂❤

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 6 годин тому

    Poleni😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 12 годин тому +1

    We chagamba mwambie huyu kk hana udole wa kumfikia MCHOME anajigonga×2 tuuu mshabiki maandazi tena ya mm Ashura😂😂😂

  • @HassanEnericko-h3h
    @HassanEnericko-h3h 12 годин тому +1

    Jamani mzee said wap

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 10 годин тому

    Sema HAWAMOOO 😀😁😁

  • @SalmaRashid-t9x
    @SalmaRashid-t9x 11 годин тому +1

    Na ndilo lililowapatia point mukafika hapo mlipo eti leo wanalibeza akina kamwe na priva mwanya

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 7 годин тому

    POLENI WAZEE WA SUPU NA BAHASHA 😀, UBAYA UBWELA UKO KAZINI..

  • @DEBORANATHANAEL
    @DEBORANATHANAEL 9 годин тому

    Chagamba bro huyu Dosa anajua mpira anajua kuongelea mpira mimi simba lakini kaongea point sana nahitaji kumpa hata hongera yake

  • @AllyTeza
    @AllyTeza 6 годин тому

    Max vp chagamba embutuulizieni chagamba

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 9 годин тому

    Wana Simba tunakukubal

  • @OmarrySingano-kf9il
    @OmarrySingano-kf9il 12 годин тому +1

    NENDE KWAMLUGU mabibo

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 10 годин тому

    Kuna kitu Utopolo hawakisemi kwamba mmeanza na wapinzani wabovu vital goli kumi na CBE goli saba nandio maana vibonde walio afadhali kidogo Al hilal na MC Alger wakawakanda mbili mbili.HILI LIKAMFANYA KOCHA ASEME LIGI DHAIFU KUMBE MMEKUTANA NA TIMU DHAIFU

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa Годину тому

    Dosa ndo mwana yanga pekee alie kuwa akikili mech ya yanga ni ngumu kwa mkapa

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 9 годин тому

    Mtu wa boli

  • @ROJAOMARY-ys7xb
    @ROJAOMARY-ys7xb 11 годин тому

    Chagamba og acha maswali ya kichokozi mwanetu

  • @OmarrySingano-kf9il
    @OmarrySingano-kf9il 12 годин тому

  • @IbrahimMakonga
    @IbrahimMakonga 12 годин тому

    Kk dosa me shabiki yako