MZEE SAID|YANGA WAOMBE MSAMAHA MASHABIKI WAO|YANGA WALA HAINITISHI TENA |MAGOLI YETU UNAOMBEA MKOPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 78

  • @khamisabdallamohamed5856
    @khamisabdallamohamed5856 19 хвилин тому

    inaonesha wazi hakun mtu chagamba anainjoy kumfanyia interview kam mzee said hhh

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 38 хвилин тому +1

    😁😁😁 we Mzee saidtunakusubili ligi we jipepetue tu ila ubingwa utausome kwenye makaratasi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ManyoriModernFarmMMF
    @ManyoriModernFarmMMF 9 годин тому +5

    halafu nyinyi media muwe mnamlipa mzee Said maana mnazivuna nyingi kwasababu ya huyu Mzee Said

  • @doricehungu5817
    @doricehungu5817 13 годин тому +6

    Leo mzee said hata kukuckiliza nimeshndwa nitakuckiliza interview ijayo baba asnte sana

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 13 годин тому +8

    Angetuomba lazitu wanasimba yaishe asilete ngenga ngenga nyingi ❤❤❤

  • @Hancy_barrow
    @Hancy_barrow Годину тому

    😂😂😂😂😂😂Eti mzee saidi anasema wanipigeeeee nimechekaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 10 годин тому +2

    Kocha mpanzu acheze no 10 tuenjoy mana Kuna interview moja nolomsikia kocha wake wa zamani akisema mpanzu akicheza 10 anakuwa mzuri zaidi kuliko akitokea pembeni

  • @GemeloMabula
    @GemeloMabula 15 годин тому +7

    Leo ni siku ya kutufulaisha mzee said leo simba inaongoza kila idala na mzee said leo anaongoza kwa kutufulaisha mashabiki zake

  • @LinusSirayo
    @LinusSirayo 3 години тому +2

    Mzee 😂😂❤❤

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 4 години тому +1

    Mzeee wangu asante

  • @HassanEnericko-h3h
    @HassanEnericko-h3h 12 годин тому +2

    Mzee said ni noma❤❤

  • @FrankKaijage
    @FrankKaijage 11 годин тому

    Mzee said anafurahisha sana,chagamba naomba cku mkutanishe Mzee saidi na masatu kwa pamoja alafu uwahoji

  • @TanzaniaHome
    @TanzaniaHome 12 годин тому +3

    Mnafki mnafki uyu mzee😢😢😢

  • @AgostinoRaphail
    @AgostinoRaphail 13 годин тому +1

    Mzee said 😅😅😅 hapoo sawa

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 13 годин тому +2

    Huyu mzee mie binafsi namkubali huyu ni mtego kwa wengine

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 11 годин тому

    Mimi sitaki kujua anashabikia timu mimi na enjoy interview zake bas hapa full raha

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 14 годин тому +2

    Mzee said nomber yako sina ningekutumia ya sodaa😂😂

  • @SamsoniKaka
    @SamsoniKaka 13 годин тому +1

    Simba nguvu moja 🦁 💪 🙏

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 4 години тому

    Jamn mzee said

  • @AhmedmussaMussa
    @AhmedmussaMussa 34 хвилини тому

    Hapa ni pale tulupo ishia, Furaha inaendelea hakuna mzee saidi mwengine huyu ndio original, lazima unywe maji, hii misemo ya mzee Saidi, kinyewa maji, mwaga maji, turbo, niko kwenye nyemo,,,😂😂😂 I say full misemo

  • @skipperkassim44
    @skipperkassim44 2 години тому

    Mzee said baba😂😂😂😂😅😂😅😂😅😂😅😂

  • @AbdallahOnga
    @AbdallahOnga 13 годин тому +1

    Yanga waache kudhamini timu saba hawapati changamoto kwenye ligi ndio maana kocha kasema ligi dhaifu alishinda kirahisi mechi za Dodoma Jiji na fountain gate

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 години тому

    Ubaya ubwela.😂😂😂😂

  • @hassanshunda5226
    @hassanshunda5226 Годину тому

    haka kazeee ni kachawa kanatafuta kiki kanafiki kakubwa...hatuna haja na maluki

  • @VigiriaKomba
    @VigiriaKomba 11 годин тому

    Yan Mzee Said jmn nilikuwa nakusubilia🤣🤣 kwa hamu

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 3 години тому

    Yukio Msbr Mzee Saidi Tujuane

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 11 годин тому +1

    Chagamba uso hauloani kweli kwa huyu mzee Said

  • @mrenjoyfootball8403
    @mrenjoyfootball8403 9 годин тому

    Ahahaahahhha Side Boy

  • @hamissuleyman
    @hamissuleyman 28 хвилин тому

    huyu mzee 🤣

  • @jimmymwanisawa6684
    @jimmymwanisawa6684 12 годин тому +1

    Tuwekekeen namba ya mzee said tuwe tunampa hela ya soda maana mzee huyu anatakiwa awe msemaje wa simba

  • @shaibuhamisi8715
    @shaibuhamisi8715 14 годин тому +1

    chagamba muulize mzee said baba mkwe yuko salama kweli maana akiona hii video

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 13 годин тому +1

    Walikuwa bize na kalukuleta na kutufwatilia sisi kufungiwa

  • @MichaelKapinga-f9r
    @MichaelKapinga-f9r 11 годин тому

    Ila Mzee said kboko😂😂😂

  • @PaulTungu-t2r
    @PaulTungu-t2r 11 годин тому +1

    Mzeee3 wang kuna laki 3 zako hapa

  • @Shubbykm
    @Shubbykm 11 годин тому

    Mwambie huyo hili ai timu lioo kamili, huo upepo uliwapitia tu,siku mbaya kazini

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 12 годин тому +1

    Huyu ni shabiki wa yanga

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 12 годин тому +1

    Mzee said tar8 tutawawek 2 hao uto fc

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 13 годин тому +2

    ❤❤❤❤

  • @Shubbykm
    @Shubbykm 11 годин тому

    Chama munamuongelea wanini ,mlishasema Mzee? Mlimuacha wenyewe

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 3 години тому

    Tulio msbr Mzee Saidi tujuane

  • @ramadhanshaban4694
    @ramadhanshaban4694 3 години тому

    Hujamtaja modo wa chasambi

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 13 годин тому +1

    Me kiukwel sijaamin yanga kutok makundi..maan wanatimu jmn daah ila ndo mpira

  • @CharlesBaina
    @CharlesBaina 12 годин тому +1

    Ana. Ongea kwa nguvu kama katumwa muongo muongo

  • @CarlosRule-p6v
    @CarlosRule-p6v 14 годин тому +2

    SAUTI hmuna

  • @CharlesFadelis-te5fp
    @CharlesFadelis-te5fp 14 годин тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 8 годин тому

    Haha😂

  • @MsuyaMapuga
    @MsuyaMapuga 12 годин тому

    We chagamba uyo mgogo hana akili

  • @fridafranco315
    @fridafranco315 14 годин тому

    Mzee said

  • @SamsoniKaka
    @SamsoniKaka 13 годин тому

    🦁🏆♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 12 годин тому +2

    Mzee saidi hatukuelewi content zako zinatuchanganya wewe ni 🐸🐸🐸inabidi wanasimba wakujue bhana 😂😂😂

  • @billynangludichris9322
    @billynangludichris9322 13 годин тому

    Ila side

  • @mrcharm166
    @mrcharm166 12 годин тому +1

    Tuna jinaa jipya haitwi yanga yaitwa makundi fc😂😂😂😂😂

  • @BATULIMUSSA-j6w
    @BATULIMUSSA-j6w 13 годин тому +1

    Assalam alaykum Babu swala la Muda tu yanga bado itawaliza wengi tukutane NBC

  • @killerwizzyofficial2157
    @killerwizzyofficial2157 12 годин тому

    Mzee bhn😂😂😂

  • @VenaceBoniphac
    @VenaceBoniphac 13 годин тому

    CHAGAMBA MNAFIKI MBONA UMEZAMIA SANA KWENYE MECH YA YANGA? UMEMUPUNGUZIA MZEE SAID FRAHA

  • @FabiDthree-ro1ms
    @FabiDthree-ro1ms 14 годин тому

    😂😂😂😂

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 13 годин тому

    Mnafiki ww hunampango tumekuzarau

  • @ellennorahjoseph4399
    @ellennorahjoseph4399 14 годин тому +5

    Huyu mzee mnafki sana
    Yeye si ndo alisema hatuwezi kuongoza kundi, kiko wapi sasa

  • @africaendlesscruisingltd
    @africaendlesscruisingltd 13 годин тому

    Ama kweli Mo amewatelekeza Simba na kuwaacha yatima! Yaani hata timu ikicheza hapa 'Kwa Mkapa'

    • @melissa_garden
      @melissa_garden 12 годин тому +1

      Azim Dewji haukumuona!???

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 12 годин тому +1

      Unataka afanye nini kwani yanga wanaofuatana na raisi wao wako wapi wewe mshamba

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 13 годин тому

    Robo 5times, no medal uanga medal hahaaaaaa

  • @HadijaHuseni
    @HadijaHuseni 12 годин тому

    Familia ugali wako baba huna maajabu

  • @SophiaJumbee
    @SophiaJumbee 13 годин тому

    Huna lolote kavu tu wewe

  • @Shija.c.milele
    @Shija.c.milele 12 годин тому

    mzee nakuona kabisa furaha yako unailazimisha
    inakuuma sana yanga kutolewa nuluyako inaonekana kabisa kwa mtu anae kufatilia wara haulizi

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 10 годин тому

      Sanaaaaaaaaaaaa,nafki sana hili zee

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 3 години тому

      Jamani mi nampenda baba angu hata kama yupo yanga mi nampenda sanaaaah

  • @josephkihembe1800
    @josephkihembe1800 11 годин тому

    ❤❤

  • @josephkihembe1800
    @josephkihembe1800 11 годин тому

    ❤❤

  • @dicksonvedastus3306
    @dicksonvedastus3306 Годину тому

    ❤❤❤❤❤