Cooking Paste Best Kabisa. Tengeneza uwe nayo Jikoni.
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Vitunguu Swaumu unavyopenda ( nmetumia part 4 za vitunguu vikubwa
mafuta 1 cup
gilgilani fungu
Jira 1tbsp
Curry Powder 1tbsp
Unga wa gigilani 1tbsp
cumvi 1tbsp
inapobidi kuweka maji usiweke maji, weka white vinegar
Nakukubali sana dada kwa mapishi
Tunaisubir madame 🔥🔥🔥
Hivyo pakage napata kwenye maduka yapi
❤
🙏
Dada inakaa nda gani?
Thank u madam
Karibu mahi wangu❤
Da Malikia hauweki tangawizi
🙏♥️
Hapana
Ukitaka unaeka
Mafuta kiasi gani❤
1 cup. Soma ingredients kwenye description Box
@@malkiafoods ok thank you
Hello malkia..
Hivi tangawizi si lazima?
Kwa Paste yangu hii.Hapana
Km can hizo curry powder naweza kusaga hvyo hvyo vitunguu na gilgilan tu
Sasa my wangu haitakua hii yangu
Dada hapo umeweka mafuta au? Saut ilipotea kidg
Ndio
Untie Malkia naomba utufanyie recipe ya viungo vya jikon unavyotumia, nataman kuvijua na za company gn
Hey babe. Next nakuja
Mafuta kiasi gani
Sasa my wangu hizo jars kama zako napata wapi mwee
Hahahaa..baby weka kama zako tu
Kama huna friji ukiweka sehemu ya kawaida haiharibiki?
Kwa mda mchache haiharibiki ila ukiweka mda mrefu inauaribika
Haitaharibika kwa week 2
Mahi wangu vitunguu ni kiasi gani
Nimetumia vile vikubwa vya pakt pakt 4 yaan kila pakt Ina vitunguu vinne. Kama unatumia vitunguu vya kienyeji angalau kilo 1
Hufundishi kupika jmn