Maarifa mengi hupelekea mtu kukosea kwenye imani ya dini ya kiislamu mtu kujiita nabii ni makosa makubwa kabisa yanayopelekea mtu kumvua kutoka katika imani hiyo na mimi nina imani kua wewe unaitakidi kwenye imani hiyo ya kiislaamu sasa ushauri wangu kwako hebu jitahidi kurekebisha sifa hiyo ili uwende sawa na imani yako maana kujiita hivyo ni kufru kwa mujibu ya imani ya kiislamu.
Hakuna mahala katika kitabu wala sunna kunaruhusu kutumia jina nabii kwa title wala kwa jina na hakuna kwenye dunia hii kuna mtu aliitwa nabii huo ni wasifu wa mtu aliejulishwa habari fulani na mungu kwa njia ya wahyi ukitaka zaidi rejea katika vitabu mbalimbali vya dini kama majmui fatawa ya ibni taimiyya na vinginevyo tatizo lini mwaona kila jambo linatumia akili kuna na maandiko yana nafasi ya kwanza kabla ya akili.
Na washauri tena vijana katika sanaa zenu mkiona mwataka kufanya jambo lina mafungamano na imani ya dini nendeni kwanza kwa wataalamu wa mambo ya dini mkaulize na sio kukurupuka tu kwa kujiaminisha kupitia akili zenu fupi mkajikuta mnakufuru.
Akili bila ya elimi (nakusudia ya dini) humuangamiza mwenye akili hata ibilisi aliaangamia kwa kutumia akili bila ya hoja za kielimu aliona yeye ni moto na adamu ni udongo kwa hiyo kamwe moto hautasujudu kwa udongo mwishoe akaangamia Allah awanusuru na akili nyingi pasipo maarifa ya dini.
Mungu akusaidie sana bradha unanifundisha sana ubalikiwe namwenyezi mngu
Anajitambua vizur uyu kaka mashaallah nakupendaga bure mwaya..
Wampendaga bure?
Nakukubalii nabii mswahili Mungu akupe maisha marefu
Mr madebe Allah akujalie Kila lakheri katika kipaji chako.❤
Madebe huna mpinzani tunapenda sana move zako sana
Daaah😂😂nmecheka kweli kaka unaweza kuomba mungu uwe askar magereza usimamie wafungwa mungu anakunariki ww ndo unakuwa mfungwa sasa😂😂😂😂
nakukubali mpaka basiii 🇨🇦🇨🇦
Hakuna msanii wa bongo move namkubali kama huyu duniani ukiacha za action bwana kaka saluti kwako
Yeurieekjge
Ukweli kwa upa
nde wa kiswahili anatisha
Ray nani bana wew kishaishiwa yule madebe wakimbize washambaaa hao
Tatizo la uyu ni local sana
Kweli kabisa
..Fundi wa misemo bongo big up broo
Mwanzo hadi mwisho wa mazungumzo za madebe hauwezi kusikia amechanganya kiswahili na kiingereza nakukubali sana
Kabsaa yaan haishi kwa kupretend big up kwake
Wewe ni number 1 bro madebe
Unajua Sana bro
Uandaaji wakitu kizuri iliwatu waone pia wapendwa kazi nzuri
Pamoja sana
Uko vizuri hakika hakuwezi
Tuna kuelewa sana tunasubiri matusi sehemu ya tano
Bwanaa sio Siri madebe ni bonge msaniiih
@@hajiamour423 kabisa yaan ray ilikua zaman tu siku hiz hamna kitu
Yani madebe nakukubari sanaaaa japo msanihi lakini unaga matashtati km wasanihi wengine❤️❤️
Mashaallah naby
Mr lidai salute kwako
Kwa mtazamo wang bongo Mov amna msanii anae mzidi Nabibii mswahil ali mahaluf kama madebe lidai na kukubali mno tena mno
Nabii mswahili anajua sana.ray ajui kitu kanumba ndo alikua ana mpush. But now Amna kitu.
@@nationalbeautiful 🤣🤣wap wew ray zilipendwraaa
Umetisha brother 😘
Big up
Kwanza ushukuru mungu🌲🌲
Napendaga macho ya madebe☺️
Much love from Kenya♥️
Upo vizur sana madebelidai
Sijawahi kukupa no hata siku moja kaka
Pamoja mkubwa nakukubari sana
Nakukubali sana madebe maneno yako yanajenga
Madebe. Lidai. KimbizaAa. Napenda. Moved. Zako. Uko. Vizur
Habari iako madebe mimi nakwambiya faga kazi yako
Nakuelewa sana madebe
Nakukubali sana madebe
Hayo kweli matusi....Yani wapiga picha za uchi uposti Kwa mitandao hili upate Hela za kununulia nguo🤔
Yeah madebe big up sana... Kama msanii ndivyo inavyotakiwa kazi iongee na sio maneno hewa👊👊
Fundi madebe lidai much reeeeeepect kaka
Madebe unajua kaza buti kwenye kzi
Madebe unajua kaza buti kwenye kzi
madebe mwanangu namkubali hao wengine Mimi siwatambui .Made be wewe ni mti wenye matunda usihofu kurushiwa mawe .upendo toka 254
Hatari sana
Uko vizuriiiiiii
Mlitaka amsifie harmonize na amponde diamond lkn haikuwa ivo 😀😀😀😀
We
Oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Kwli ila kawajbu kiufundi sna
Broo huu ni wakati wako tuu Hilo alipingiki ila kwa uwezo wa kuigiza Rey ni muigizaji mzuri sana kuliko we ila alijichanganya kapotea tu
kweli kbsa umenena kweli
Nakupata vilivyo lidai
Ray sio msanii analazimisha na ayuko Sirius
point kuhusu Mondi 17:12 ucpotez mb zako san..
Umetisha
Thanks mwamba.
Namkubali sana nataman hata kukutana nae
Kaka kwema
Nabii mswahili namkunali
Kwakweli nabii unatuelimisha sana kuliko kigosi yeye kaziake kuwaweka dadazetu uchi tu
@@dullazz233 haswaaaaaaa rey alikua zaman siku hiz hamna kitu
Madebe kama madebe 👌💪
nakukubali saana madebe lidai kubwa la makubwa
Tunakukubal n pambana bro
Uko sawa Rey ni mrembo tu kiukweli uko Safi na juu wakati wako
Tafuta goma langu linaitwa asali uenjoy mziki mzuri
nilikuwa sjamuelewa lakin sasa namkubal kupta maelezo
Apriciated
King madebe anayefuata ni gabo haondio wasanii wanaotoa filam ya kuelimisha toa elim kaka
Nataka kujuwa uliagizwa ukafanye kamaulivyo agizwa kama kutafunwa maana walionekana mameleta matusi kijijini naisubilia kaka
Uko poa sana madebe
Madebe unajua Mzee
Madebe una mawazo ambayo yapo vizuri sana
Love madebe
Madebe ni shiidaaah
Balaa tupu yaani.
Kwan iv ray anajuwa nn me mbn Bado sijajuwa
acheni kumfananisha RAY na upuuzi..Ray ni mtu maarufu sana.
Mpuuzi nihuyu rey jikeee😏😏😏 Hamfikiii madebee marazoteee
Mmmmmm haya bhana sasa umrufu wake utakusaidia nn angalia kazi kila kitu na mda wake
Nimegunduwa wewe ni umejichubuwa ahaaaaaaa ngoja wewe unaangalia sura uta feliii bro
Mm kwakwel nafsi yangu siidanganyi namuelewa Sana Ray lakin huyu bado hajnikosha
😅😂😂😅😅😂
Madebe makini saana
arikiba na damond nani mwenye mari nyingi
Interview isoyo umiza bando ii
Hakuna kam madebe Tz
Acha ujinga
*ww humuwezi ray hata ufanye vp*
Jamani
ray atabaki kuwa ray na lidai atabaki kuwa lidai
madebe no 1
Nampenda bure msanifu huyu
Atakae mpinga madebe lidai alina sofa ya kufatilia muve
Uyu jamaa nishidaa Rey ata lobo hafiki uwezo unaongea
Bruce lee yupi huyo maana nnaemjuwa mimi Ashafariki
Madebe kweli anajua..ila shida anajijua anajua kumbe hajui
Fafanuwa
Upo vzuli San madebe lidai
Madebe unajua lakini ray mpeni eshima yake nimuigizaji mkubwa kuliko wote ashafanya kaz nyingi nzur ndomshindani sahihi wamalehem kanumba
Hakuna wakumshinda acha aendeleee kurekebisha dunia
Huyu bwege zamani nilikuwa nawaza yuko vizuri sanaa lakini nimekuja kugundua hakuna msanii hapa
We ndo fala hujui unachokizungumza!
#JEJE YA DIAMOND YA TIKISA ULAYA TAZAMA
ua-cam.com/video/vf6lAEcNARc/v-deo.html
Apa kigosi ndo ni wajuyenu 2
Oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooioooooooooooooooooooooioioooooooooooooiooooo
Msanii wa maigizo na filamu ndo huyu
Maarifa mengi hupelekea mtu kukosea kwenye imani ya dini ya kiislamu mtu kujiita nabii ni makosa makubwa kabisa yanayopelekea mtu kumvua kutoka katika imani hiyo na mimi nina imani kua wewe unaitakidi kwenye imani hiyo ya kiislaamu sasa ushauri wangu kwako hebu jitahidi kurekebisha sifa hiyo ili uwende sawa na imani yako maana kujiita hivyo ni kufru kwa mujibu ya imani ya kiislamu.
Kuna title na jina, tumia akili
Hakuna mahala katika kitabu wala sunna kunaruhusu kutumia jina nabii kwa title wala kwa jina na hakuna kwenye dunia hii kuna mtu aliitwa nabii huo ni wasifu wa mtu aliejulishwa habari fulani na mungu kwa njia ya wahyi ukitaka zaidi rejea katika vitabu mbalimbali vya dini kama majmui fatawa ya ibni taimiyya na vinginevyo tatizo lini mwaona kila jambo linatumia akili kuna na maandiko yana nafasi ya kwanza kabla ya akili.
Na washauri tena vijana katika sanaa zenu mkiona mwataka kufanya jambo lina mafungamano na imani ya dini nendeni kwanza kwa wataalamu wa mambo ya dini mkaulize na sio kukurupuka tu kwa kujiaminisha kupitia akili zenu fupi mkajikuta mnakufuru.
Akili bila ya elimi (nakusudia ya dini) humuangamiza mwenye akili hata ibilisi aliaangamia kwa kutumia akili bila ya hoja za kielimu aliona yeye ni moto na adamu ni udongo kwa hiyo kamwe moto hautasujudu kwa udongo mwishoe akaangamia Allah awanusuru na akili nyingi pasipo maarifa ya dini.
Rey amuezi gabo kabisa na luga bado chuma
madebe ni kifaa kimoja hakipo kingine kama yeye
Kabisaaaa anajua sana
hapa nimejionea busara na hekima ya hali ya juu....🤝🤝🤝🤝
unatisha man
Wewe madebe Ray akuongea kitu kibaya wandishi wahabari wanawagombanisha
Kuna Jambo hapa huyu jamaa anaweza kufanya mambo ya RAY!! LAKINI Ray haiwezi fanya anayofanya Madebe...huyu ni mtu mwenye upeo!!!!
Madebe unafaa kua mwingizaji
Madebe kweli hawezi shindana na Rey hawezi ndio maana anajichubua
Rey hajui hata kuigizaa
nabinapendasanamasemikohongera
Rey amjibu vikali madebe lidai bifu limekolea tazama alichojibu Rey kigos utashangaa bongo movie kupolomokaua-cam.com/video/jEsnINJKMDk/v-deo.html
Yani we mshamba kweli yani dah! Hii stly unayotumia itakuponza.
Unaongea sana mtangazaji
Madebe pesa inakungarisha
Madebe hana mpinzani
Madebe bado hawaja kuelewa wewe unafanya nini.wewe haufananishwi broo.umkali sana
Hamna msanii hapo utoko mtupu