Tumechaguliwa na MUNGU hatukuchaguliwa na wanadamu namna MUNGU anavyotutazama ni tofauti kabisa wanadamu wanavyotutazama. MUNGU akubariki sanaa ndugu yangu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Huwa sina tabia ya kulinganisha nyimbo nikiwa naamini ni NENO LA WAKATI KUTOKA KWA MUNGU.... Bro Joel kuna nguvu nilipata kwenye Sitabaki kama nilivyo, nguvu ile ile imeninyanya tena katika kumtizama Mungu kwa shukran zaidi katika huu wimbo Umenikubali. Asante Kristo kwa kunikubali jinsi nilivyo, vile watusamehe tu ni inshara haukuangalia unyonge wetu na kuna kitu chema ndani yetu.
Ubarikiwe mno, nyimbo zako Huwa Zina nibariki sana na kunitia moyo haswa wimbo "Yote Mema" huu pia ni ujumbe endelevu kwangu kwamba vyovyote nilivyo pamoja na kasoro zangu Mungu amenikubali. Hakika atazamavyo Mungu si kama binadamu tutazamavyo! Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo azidi kukutumia Kwa kadri apendavyo.
Ziko nyakati hata mimi (There are times that even I) Napata shida kujikubali (Have trouble believing in myself) Iweje wewe unipende (How then can you love me) Mtu wa namna hii? (A person like this?) Umenipenda nisiyestahili (You have loved me, the undeserved) Umeniita mwanao (You have called me Your child) Niliyejidhania kuwa sifai (The one who thought was not good enough) Umenipenda Upeo (You have given me a future) Umebadilisha na yangu asili (You have changed my origins) Umenifanya mboni ya jicho lako (You have made me the apple of your eye) Powerful.
Asante Mungu umeona jema ndani yangu na Wala hukutazama unyongee wangu na zangu tabia nilikotokea familia gani umenipenda na ukanikubali jinsi nilivyo nifanye niwe rafiki wako 🙏🙏
My friend sent me this song but let me say this as a person going through so much pain right now all i can is please GOD let me except my situation and please choose me also cz i can't die like this am so hurt so broke i can't alone only you can save me 🤲🏾
This song just gives so much hope to carry on being a Christian in as much as I know I'm not worthy because of my many sins still God loves me and has accepted me just the way I am. Thank you Joel for such great and uplifting music God bless you sir.
Thanks alot Joel Lwanga for the song imenipa sababu ya kushukuru Mungu kuwa mwema kwangu hata wakati mgumu kwako huwa najipata nimekuwa mshindi bila kujuwa how I managed to overcome my battle's
Today is my first time listening to this song after my young baby sisy posted it to her status...but nishausikiliza zaidi ya Mara 70 na siuchoki... It's a blessing song... Mungu akubariki Joel kwa kutupa nyimbo bora zenye ujumbe mzuri sana wa Mungu
Baada ya Mungu kunipa nafasi nyingine , jinsi nilivyo amenikubali bila kutizama sura yangu, shepu yangu, vazi langu Wala pesa nilionayo,, thank you God 🙏.
Sikubaki nilivyo,AKANIKUMBALI JINSI NILIVYO 🙏 ,alinipea nafasi nyingine,akaniweka wa juu zaidi .Ur song are really a blessing to my life all from grass to grace ,bless you man of God .
Tumechaguliwa na MUNGU hatukuchaguliwa na wanadamu namna MUNGU anavyotutazama ni tofauti kabisa wanadamu wanavyotutazama. MUNGU akubariki sanaa ndugu yangu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amiina Mtumishi 🤲
Natamani nitumike Kwa BWANA kwa njia ya uimbaji . Mubarkiwe na MUNGU watumishi 🙌🙏
+MUNGU+ ni MWEMA MILELE Yote ISAYA 54:10🙏🙏🙏🙌
Yah
Nataman na naamin iposku nitaimba na nyio wote wawili yan joel na clement naaimin katika bwana
Safii @paulclement25 & Joel huduma yenu nzuriii. God bless you all 🙏😇
Umenikubali jinsi nilivyo Yesu hutukubali tulivyo baadaye anatufanya apendavyo Mungu akubariki sana. JOEL
Finya like hii comment kama huu wimbo NI Mtamu❤❤❤❤❤
Asante bwana umenikubali
🙌🙌Mungu akubarikii mnoo wimbo una maneno ya kuinua mioyo iliyokufa....
Hukuangalia historia ya familia niliyotekea😢😢...umenikubali jinsi nilivyo..bwana usitazame unyonge wangu.great song
😭umenikubali jinsi nilivyo 🙌
AMEN KUBWA Kwa JEHOVA ' Mara tusikilizapo Kazi zko Ndg Joel 'wengne tunamtukuza MOLA kwa ajili yko na twaona fahari kwa MWENYE ENZI...
Umenikabidhi na zako siri Na kunifanya rafiki wa moyo wako 😭😭
Hii nyimbo ukiisikiliza unatamani upige like mala mbili mbili
Huwa sina tabia ya kulinganisha nyimbo nikiwa naamini ni NENO LA WAKATI KUTOKA KWA MUNGU.... Bro Joel kuna nguvu nilipata kwenye Sitabaki kama nilivyo, nguvu ile ile imeninyanya tena katika kumtizama Mungu kwa shukran zaidi katika huu wimbo Umenikubali.
Asante Kristo kwa kunikubali jinsi nilivyo, vile watusamehe tu ni inshara haukuangalia unyonge wetu na kuna kitu chema ndani yetu.
Saf mtumishi wa Mungu mweny kolabo zake za nje ya nch
Asante..! Yesu kwakunikubali jinsi nilivyo 🙏🙏
Kila nikiusikiliza huu wimbo machozi ya furaha yananitoka nikikumbuka nilikotoka aiseee mwache Mungu aitwe Mungu
Asnte Mungu umenikubali jinsi nilivyo.. hongera kaka umenipa matumani juu ya nyimbo
Ameeen, huyo ndiye MUNGU Baba yetu
Mungu anatupenda Jinsi tulivyo Mungu ni wa Ajabu Sana by Isabella; God has never betray us like human beings thanks Jesus
Hakika Bwana umenikubali jinsi nilivyo ☺️🙌
Ubarikiwe mno, nyimbo zako Huwa Zina nibariki sana na kunitia moyo haswa wimbo "Yote Mema" huu pia ni ujumbe endelevu kwangu kwamba vyovyote nilivyo pamoja na kasoro zangu Mungu amenikubali. Hakika atazamavyo Mungu si kama binadamu tutazamavyo! Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo azidi kukutumia Kwa kadri apendavyo.
AMEN
Ziko nyakati hata mimi (There are times that even I)
Napata shida kujikubali (Have trouble believing in myself)
Iweje wewe unipende (How then can you love me)
Mtu wa namna hii? (A person like this?)
Umenipenda nisiyestahili (You have loved me, the undeserved)
Umeniita mwanao (You have called me Your child)
Niliyejidhania kuwa sifai (The one who thought was not good enough)
Umenipenda Upeo (You have given me a future)
Umebadilisha na yangu asili (You have changed my origins)
Umenifanya mboni ya jicho lako (You have made me the apple of your eye)
Powerful.
Amen
amen 🙏🙏🙏🙏
Nimekubaliwa na MUNGU jinsi nlivyo ASANTE
Joel sings like its the last thing he wants to do worship in truest form... God bless his ministry
Yes Amen
Hngera brooooo
Dhah kama sauti ya #lariogerard kabisa
Kaka tulikutana tegeta kibo ukanipa kapicha nakukubali mnoooo
Na kanambq kako ukqnipa nkasevu
Mungu uona mambo makubwa Mungu siyo km mwanadamu Mungu anaona kitu ndani yetu tunaomwambini Mungu haoni udhaifu Wala unyonge ndani yetu .
MUNGU atazami kama binadam watazamovyo Bwana umenikubali jinsi nilivyo 🙏🙏🙏
Asante Bwana kwa kunikubali jinsi nilivyo 🙏
Hakika nimebarikiwa Sana na huu wimbo
Ungehitaji walio kamili Mimi SI mmoja wao,iweje wewe unipede?this song has touched the depth of my soul.
WOW UMENIKUBALI YESU JINSI NILIVYO
Hazikutisha zangu tabiaa aminaa
Powerful!
Umenikubali jinsi nilivyo
This song inanifanya nijikubali .
Ubarikiwe San
🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu ajitwalie utukufu
Whauuu .Asante Yesu umenikubali.barikiwa Joël .nyimbo zako zinaupako.
Burundi tunazipnda
Asante Mungu imekuwa faraja kwangu🙏
MUNGU akubariki mnoooo.kaka joel
Umeona jema ndani yangu 💔💔🙏✅🙏Eeh Mungu Asante
Huu wimb unanibark sanaaa God bless you bro
Barikiwa mtumishi nice song
Barikiwa Na Mungu upo sahihi brother
❤❤❤❤❤naomba kukua kwa video ya huu wimbo tafadhali
MUNGU anatupenda upendo wa kweli,Amen
Huu wimbo unasema nami
Congo umetubaliki sana
Kweli mungu ametupenda
Hallelujah 🙌
Nimekubaliwa ❤
Lovely song❤
simple and clear message kwa wote wajajikubali
Nyimbo nzuri. Nabarikiwa
Nimeuskiza huu wimbo mara ishirini kwa siku moja tayari, what an anointed song! God bless you Joel Lwaga, uzidi kumskiliza Roho Mtakatifu 🙏🏼
Umenipenda ata nsipo stahili 😪😭thank you father for the agape love 🙏
Umenikubali yesu
Kaz nzuri sn...hasa kwa sie tuliokata tamaa.ubarikiwe sn kaka joel🤚💗
Mungu akuongezeye tena
Kama Mungu angetazama kama watu wanavyotaza nisingekizi masharti ❤❤❤
mwimbo umetulia sana kaka lwaga mungu akuinuwe katika viwango vya juu sana
Hakika Mungu unikubali jinsi nilivyo😭😭😭🙏🙏🙏
🥰🥰😇💞💕🩶asante yesu kwa yote haya.
Asante Bwana Yesu umeona jema ndani yangu wala hukutazama unyonge wangu 🙌
Hakika ahsante Mungu
Waoh,,, ulichojali utayari wangu wa kufanya utakalo
be blessed servant of God joel,,hakika Bwana amenipendelea
ooh umenipenda bure mimi nisiyestahili,asante Yesu wangu
Asante Mungu umeona jema ndani yangu na Wala hukutazama unyongee wangu na zangu tabia nilikotokea familia gani umenipenda na ukanikubali jinsi nilivyo nifanye niwe rafiki wako 🙏🙏
Barikiwa Mtumishi
Aaaaahhhhh😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Oiiii That’s iz amazing Bro nimependa sana maneno ya hili songi u kill it🎶💯🚀lemi say Thank & God Blec u🙏🏽🪐💪🏽
Asante kunikubaki BWANA JINSI NILIVYO
Asante sana kwa ujumbe mzuri ambao umenitia moyo sana,Barikiwa sana Mtu wa Mungu
Nashukuru Mungu kwa kunikubari jinsi nilivyo sina cha kukupa baba
Yes,huyu ndo Mungu Jehovah asante Mungu kunikubali jinsi nilivyo!!
Asante Mungu 😔🙏
Hakika Mungu amenichagua na kubwa zaidi amenikubali hivi nilivyo 🙌🏾🙌🏾
Hii kubwa sanaaaaaaaa
Mungu akubarki
Ameniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinapokea
Nyimbo nzuri sana
Aamen tumekubaliwa
My friend sent me this song but let me say this as a person going through so much pain right now all i can is please GOD let me except my situation and please choose me also cz i can't die like this am so hurt so broke i can't alone only you can save me 🤲🏾
God loves you more than you can think,where ur hopes end that is where He start,trust and believe He will do it,have faith,praying for you🙏🏻🙏🏻🙏🏻
This song just gives so much hope to carry on being a Christian in as much as I know I'm not worthy because of my many sins still God loves me and has accepted me just the way I am. Thank you Joel for such great and uplifting music God bless you sir.
I’m in aaweee🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nimekubalika❤
Thanks alot Joel Lwanga for the song imenipa sababu ya kushukuru Mungu kuwa mwema kwangu hata wakati mgumu kwako huwa najipata nimekuwa mshindi bila kujuwa how I managed to overcome my battle's
huu wimbo wenyewe sana
Umeona jema ndani yangu na wala hukutazama unyonge wangu 😭❤️ such an inspo
Today is my first time listening to this song after my young baby sisy posted it to her status...but nishausikiliza zaidi ya Mara 70 na siuchoki... It's a blessing song... Mungu akubariki Joel kwa kutupa nyimbo bora zenye ujumbe mzuri sana wa Mungu
My ears have not had any song of this kind...A song conceived of the Holy Spirit
Asante Bwana🙏
Greatest gospel artist of all times,,such a blessing masterpiece,, watching from kenya
youtube.com/@mukenachadrack3 Yes
Yes he is
Nice song bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Video tunaombaaa!!!!
Joel huu wimbo ni mzuri sana Mungu akuinue viwango na viwango
uu wimbo umekuja kwa wakati mzuri,God bless you mtumishi🙏🙏
Baada ya Mungu kunipa nafasi nyingine , jinsi nilivyo amenikubali bila kutizama sura yangu, shepu yangu, vazi langu Wala pesa nilionayo,, thank you God 🙏.
🙏🥰
Joel keep living 4 GOD
We are a choosen generation...
Huu unagusa maisha yangu
Sikubaki nilivyo,AKANIKUMBALI JINSI NILIVYO 🙏 ,alinipea nafasi nyingine,akaniweka wa juu zaidi .Ur song are really a blessing to my life all from grass to grace ,bless you man of God .
Yes Amen
My best gospel singer is always You Brother....thank you my favourite song...umenikubali jins tulivyooo ..thank you Lord ni kwa wema wako umenikubali