Kilimo Shadidi cha mpunga Morogoro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Wakulima katika wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro Tanzania wamenufaika na mradi wa Kilimo cha kisasa cha mpunga au shadidi unaotumia maji kigodo na miche ya siku 8 hadi 12 baada ya kuchipua. Veronica Natalis alitembelea kijiji cha Njage na kuandaa vidio ifuatayo. #kurunzi 12.03.2021

КОМЕНТАРІ • 4