Sauti ya pili mnanikosha Sana bt all your the best aisee nyie mungu awepe thawabu yenu mnamwimbia mungu katika roho na kweli sijawah kujutia katika maisha yangu kuzaliwa mkotoliki,msalimie ogarnist.👏👏👏
Ni fahari sana kwa kuwa na ninyi wanazuoni kushikilia pia uimbaji wa muziki wa Kanisa na kuutenda kwa kiwango bora namna hii. Hongereni sana na Mwenyezi akubarikini sana.
I loooove this song ❤
Sauti ya pili mnanikosha Sana bt all your the best aisee nyie mungu awepe thawabu yenu mnamwimbia mungu katika roho na kweli sijawah kujutia katika maisha yangu kuzaliwa mkotoliki,msalimie ogarnist.👏👏👏
Muziki mzuri sauti nzuri
Ni fahari sana kwa kuwa na ninyi wanazuoni kushikilia pia uimbaji wa muziki wa Kanisa na kuutenda kwa kiwango bora namna hii.
Hongereni sana na Mwenyezi akubarikini sana.
Hongera penda nyiny sana
Kazi nzuri Sanaa wanachuo Mungu abariki kazi ya mikono yenu..
Mziki mzuri...nmesikia hapooo
Muziki Mzuri na pia waimbaji
Kazi nzuri sana.
ASANTE SANA
Muziki mtamu sana
This is beautiful 😍😍
Mnaimba vzr sana sana. Lakini naomba mjitahidi kuongeza ala za muziki hasa hasa ngoma (tumba). Mtakuwa pazuri zaidi. BWANA azidi kuwabariki sana
MUNGU AWABATIKI KAZI NZURI
AMINA SANA
Safi munooo
❤
Saliniz
Nitampata aje huyo wa kayamba