Assalam alaykum warhmatullah wabarakatu Samahani mpenzi naomba unifahamishe kupika basbousa in sha Allah Au kwajina jengine keki ya semolina Samahani Sana
Aleikum musalaam hamna tabu mimi nimewahi kufanya recipe ya basbousa lakini sikupata nafasi ya ku edit hiyo video na nimeisahau kabisa ngoja niitafute kidogo , hamna haja ya samahni
mimi situmi nyaama yeyote(vegan) na ninapenda kula vizuri mapishi jaribu nasi kutua angaliaa mara moja moja mapishi yaso hitaji nyama kabisaa...ahsante sana
Namaanisha hiv mamy vile vyuma vya jicho la ngamia vipo vya nakshi tofauti tofauti vyengine vya beseera vingine donut so me nataka kuchanganya unga wake ndio sifahamu sijui kushanifaham weyee...
masha Allah masha Allah , shukran sana Habibty , Jazaa yako iko kwa Allah
Aroma of zanzibar ohhhh Asante sikuiyona nashukuru Allah akubarik
mama hongera sana pia asante kwa kunifundisha kupikaaa
Nawapenda sana wanzanzibari mmashallah kwamapishi mejaliwa
Ahsante
alhamdulilah nashukuru nimejifunza upishi kdg
it looks nice n yummy
simple n interesting to cook
Ma Shaa Allah
Shukran jazzakallahu lkheri Allah akupe wepesi
shukraan Allah akuzidishe kheri.tunafaidika sana
Mashaallah aroma of Zanzibar tuletee na mti keki habitsy
MashaAllah Munqu akubariki kwa mapishi
MAASHAALLAH asante kwa mafunzo ukhty
mashallah ..Allah akubariki..nahis rahaaa nikiona mapishi yako bibie
Shukran Amin
Zafarani ndio siifahamu.
Ahsante sana kwa elimu ya mapishi
Nenda sokoni zipo kila aina hizo zafaranj
Aroma of zanzibar nasubir kwa hamu Wali wa asumini na Chinese Wali jaman mashallakh Allah atuwekee amin
Chinese Rice nimefanya zamani link hii hapa ua-cam.com/video/hUdwTznxU7I/v-deo.html
Dada mm nauli hivi unawezakutumia supu yanyama
Thank you habibty umenifunza Allah akuzidishie ujuzi zaidi
Maryam Juma asalamu aleleku anaomba niuge kwenye mapishi
wow nice food nimependa sana asante kwa kutupa ujuzi huu Allah akujalie maisha mema hapa dunuan na kesho Akhera
Shukran, amin kwetu sote
Nimeipenda recipe, thank you so very much
Masha allah,sawm maqbul
Shukran mpenzi wangu Allah akulipe kheri nilikuwa nafikiria chakupika Ila Alhamdulilah lilahi rabil alamin ushaniletea mpenzi subiri matokeo in sha Allah
Amin, nangojea kwa hamu Inshallah
napenda sana jinsi unavyotufunza thanks sis habit
mashallah shukran sana habbty
Dada mapishi yako mazuri sana mashallah endeleya na hizo video zinatusaidia sana kukumbuka kwetu allah akubariki
Ahsante sana, amin kwetu sote
Very nice Sister looks great as always
Shukran
wow, i love this channel. Thank you for sharing
Thank you for your support
shukran wajazakallahu Kheri
Aroma of zanzibar Asante nimependa sn alkhamdulilakh
Shukran
Aroma of Zanzibar mashaallah ajaab sanaa
wow that's nice
am going to try this today inshaallah
Nimepika umekua mtam kuliko maelezo na walaji wanataka kula baada ya siku mbili nipike ivi Asante ubarikiwe sana
Amina, ahsante sana
@@aromaofzanzibar ❤️
shukran habinty napenda sana kuangalia mapishi yako
Welldone
Asante sana Mamy
Napenda unavopika maashallah
Shukran dear
Nice masha allah
This looks yum 👅 will try it
Assalam ALYKUM Star anise znapatkana sehemu gan hapa unguja
Assente sana, nime penda hi mapishi .
Ahsante Sana nitajaribu
Asante sana mama
Asante sanaaa
nipenda sana Mungu akubariki
nimependa mapishi
nimependa mapishi
asante mungu akuweke
Assalam alayekum Sister MashaAllah wajuwa hupishi sana Allah hakuzidishiye kutuelimisha hupishi.kwako wewenimejifuza vyakula Vingitusana
Ahsante sana, amin kwetu sote
Napenda mapishi yako
Ahsante sana
barikiwa sana
mashallah najifunza mengi jmn
Ubarikiwe sana
Amin kwetu sote
Shukran Sana, pls nifundisha kupinga wali wa kukaanga wakutia kamba wakavu ndani
Inshallah nikipata fursa dear maombi mengi sana najitahidi
Aroma of Zanzibar in Shaa Allah Allah atakuwezesha shukran kwa reply
thanks so muchhhhhhh
Assalam alaykum warhmatullah wabarakatu Samahani mpenzi naomba unifahamishe kupika basbousa in sha Allah Au kwajina jengine keki ya semolina Samahani Sana
Aleikum musalaam hamna tabu mimi nimewahi kufanya recipe ya basbousa lakini sikupata nafasi ya ku edit hiyo video na nimeisahau kabisa ngoja niitafute kidogo , hamna haja ya samahni
Shukran dad
Beautiful😘
Thanks 🤗
Thanks 🤗
mimi situmi nyaama yeyote(vegan) na ninapenda kula vizuri mapishi jaribu nasi kutua angaliaa mara moja moja mapishi yaso hitaji nyama kabisaa...ahsante sana
Inshallah, jee umeona wali wa biringani ua-cam.com/video/g4fnIEyU6ns/v-deo.html
nimeona but biriani nyingi naonaa za nyamaa..
ahsante maana ninajifunza mengi pia
Asanti sana nataka uwgali
Umekusudai Ugali????
Asante dada angu na mimi ntapika
Najifunza
Asante sana na leo ndio napika mchana na kuku sio wa mchuzi lkn na saladi pembeni
Mashallah
nyie huyu Aroma of Zanzibar anajua sana kupika nasubiria pumpkin soup au atuletee jins ya kuandaa brown stock asante I continue to wait for you madam
Ahsante na shkuru mambo kidogo kidogo nitajitahidi kuleta hivyo vitu lakini be patient with me
Mashallah
asante habibty nimependa
how to cook mchuzi think you
Ahlam very nice.
Naweza kutumia tui la nazi? @aromaofzanzibar
Mie sijawahi kutumia nazi nikitu ujaribu uone mwenyewe vipi itakua
@@aromaofzanzibar nimejaribu leo chakula cha jioni, imekuwa tamu sana. Asante mum🙏🙏
@@aromaofzanzibar Assalaam alaykum naomba nambayako ninahitaji kuongea na wewe
Is there an english versio
Yes dear all my videos have ua-cam.com/video/k9VYPeioXnU/v-deo.html
i like your pans sister they are non stick which brand are they as iam shopping for similar pans?
Thanks , these are sold online the brand name is Happycall" they are from Korea
Aroma of Zanzibar
Ntakuja Zanzibar unifunze kupika😹😹😹😹😹😹😹
mie siishi Zanzibar
shukuran
Swtyheart asante kwa kytufunza zafarani ni nini au jina lingine laitwaje
Zafarani ndio kiswahili ninavyojua mie na english ni Saffron
Zafarani ni ile ya majii ??? Au ipii??
Maji ya zafran ndio maj gan sijaelewa?....
Nimeroweka zaafarani na maji
neci👌👌👌
Khamis Pa
Unaongea vizuri Dada mpaka chakula kinavutia
nura hamis
Penda sanaa
Aslm alkm. Mmm dadangu niko na swali. Je naweza kutumia Rice Cooker kupuka huu wali wa carrot?
Alkm musalaam , unaweza kutumia rice cooker
da!! najifunza naelewa na nina thubutu sipati picha mke ndae owa atakuwa anajua kama mm kwel??? hongera ma kwa kutufunza
Ahsante
napenda mapishi yako,nimefurahi kupata you tube nilikuwa naona video zako whatsapp.ubarikiwe habibbty
Alhamdulilah umefika, thank you for your support
Assalam alykum mie nataka zile donut au bessera zinazotengenezwa na mashine au jicho la ngamia mamy kwa hisan yako naomba uniletee hiyo kitu
Alkm salaam , donut za baseera ndio kitu gani mie sijawahi kuzisikia na jicho la ngamia mie sina chuma chake dada samahani sana
Alkm salaam , donut za baseera ndio kitu gani mie sijawahi kuzisikia na jicho la ngamia mie sina chuma chake dada samahani sana
Namaanisha hiv mamy vile vyuma vya jicho la ngamia vipo vya nakshi tofauti tofauti vyengine vya beseera vingine donut so me nataka kuchanganya unga wake ndio sifahamu sijui kushanifaham weyee...
Nitajaribu kutafuta hiyo recipe ni vijaribu vitatokea vipi kabla sijafanya video
Asalam aleykum rice yako ni ipi
Mimi natumia Royal Basmati
@@aromaofzanzibar shukran
Aunt km nitaweka garlic Ci poa au vip
Unaweza
Thnx
huu mchele ni wa kawaida au??
alice sylivereo Mimi natumia mchele wa Basmati
oky kumbe
tanzania unapatikn
Unaweza kupatikana labda super market kubwa kubwa
Na mie leo napika
asnte dada napenda darasa lako vp huchkuw wanafunzi
Mie sina darasa dada nipo Marekani nafundisha hapa youtube tu
zafarani ndo nn jmn?
Zafarani kwa kizungu ni Saffron
Aroma of Zanzibar thanks dear
nataka namba zako fatiya
Niletee email aromaofzanzibar@gmail.com , siwezi kuandika nbr yangu hapa
jamani umenifanya nijue madikodiko kwa kumwandalia Mr wangu shukurani
Hongera, mambo mazuri ya kufurahisha hayo endelea tu
ok
tuekee pishi la Chinese rice
Nimeweka zamani fuata hiyo link
ua-cam.com/video/hUdwTznxU7I/v-deo.html
Hapo kwenye mdalasini naeza weka swaumu huwa napenda swaumu sana
Kama unapenda weka
Asante sana
Since I.know you my life changes