🚨Uchambuzi Crownfm,Mjadala Mzito kuhusu Prince dube na Mazito Yanayoendelea kwake,Nini shida kwake.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #ahmedally #alikamwe #football #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

КОМЕНТАРІ • 10

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 День тому

    Natural finisher na clinical finisher vitu viwili tofauti

  • @saidsoudamiri4054
    @saidsoudamiri4054 День тому

    Hapa nakubaliana 100% na Hans. Dube ni aina na mchezaji anayecheza nyuma ya striker. Ni assistant striker, ni kosa kubwa sana kumataka awe classic number 9.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw День тому +1

    Inatakiwa dube atafute video za Michael Owen na Thierry Henry ataongeza ujuzi wa kufunga

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 День тому

    Hata mayele alikuwa anakoss sana magoli sema kwa vile tumezoea kufunga matano 😂😂tu ila alikuwa anakosa sans Mayele

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts День тому

    Raphael leo uko vibaya kwauchambunzi ao cling finisher hawakuwahi kukosa?

  • @IssaNdelwa-pz3zl
    @IssaNdelwa-pz3zl День тому

    Inabidi abadilike kiukweli daaaa maana mashabiki tunaimani na yeye

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 День тому +1

    Hans umebonga watu wako kimya mwezako wanabonga lazima uingilie maongezi. Sikiliza wezako sbbu u know nothing acha ufundishwe

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 День тому

    Hans always talking shit. Mchezaji ni mchezaji hata chooni acha ushabiki mandazi. Hakuna mchezaji hapo that's it. Hans rudi kwa wazee uombe hekima na busara otherwise now days unazidi na stories za dada zako.

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 День тому

      Mtu wa kwanza duniani kumpangia mtu cha kuongea 😂😂

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 День тому

      @@haidhabushiri9558 shida si shule au malezi ni heshima yako. Na kwann nimpangie lakini kma umezoea kusikiliza ushuzi basi ni sawa lakini nikicheki ni mwezako huyu kwa mtazamo wako