UCHAMBUZI WA PRIVA NDANI YA UWANJA WA AMAAN KUELEKEA MECHI DHIDI YA CBE - ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 21 годину тому +10

    Mwenyezi mungu mwingi Wa rehema mwenye kurehemu Nakuomba yarabi tusaidie sisi wana yanga siku ya juma mosi timu yetu ya Dar yanga Africa ishinde magoli 6 au 7 Kwa bila zidi ya Cbe, bariki wacheziji wetu wote viongozi na timu nzima kiujumla ewe mwenyezi mungu Nakuomba tupe ushindi mnono wana yanga amin

  • @kissanjulumi-vt3yl
    @kissanjulumi-vt3yl 21 годину тому +2

    Mungu awalindie wachezaji wetu afya njema pamoja na viongozi wetu na benchi la ufundi Mungu awatangulie awapiganie tuweze kuvuka na kupata matokeo mazuri

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 13 годин тому +2

    In sha Allah mwenyezimungu Ajalie tushinde Aameen💛💛💛🙏

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 18 годин тому +1

    Kila la kheri inshaallah tutashinda magoli mengi kwa uwezo wake Allah daima mbele nyuma mwiko 💚💚💚💛💛💛

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 19 годин тому +2

    Kila la heri wananchi daima mbele ilove yanga

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema 21 годину тому +2

    Mungu wetu ni mwema sana tutapata matokeo mazuri nyumbani.

  • @naomimassawe4855
    @naomimassawe4855 10 годин тому +1

    Tunaomba mungu atutangulie na awe msaada wetu kwa kila mech❤

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 15 годин тому +1

    Inshaallaah Mungu awalinde na kuwabariki na kupata ushindi kwetu Yanga YETU

  • @sevarinijrchitandachitanda138
    @sevarinijrchitandachitanda138 14 годин тому +2

    Daima mbele

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 22 години тому +5

    Wachezaji wa yanga haturidhishwi na kosa kosa ya magori ktk mashindano makubwa kama haya naomba zinapopatikana nafasi za kufunga zitumieni jamani mnatuumiza sana

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 21 годину тому

      Wewe unaumia kwa sababu wewe ni shabiki maandazi au inawezekana kabisa kwamba wewe ni kolokwinyo

    • @sebastiansalamba313
      @sebastiansalamba313 13 годин тому

      @@abdunnurahmedsilim7456 Mimi ni mwanachama wa young African miaka acha ujinga wewe huna lolote mmebakiza matusi tu sisi ndio tulioichangia yanga kwenye Hali ngumu ,na ukweli ndio mafanikio yetu leo

  • @abdulazizabdulaziz-e2k
    @abdulazizabdulaziz-e2k 22 години тому +1

    Tupeni raha jumamosi inshaallah

  • @ZaydShafii
    @ZaydShafii 14 годин тому +1

    Nice

  • @emanuelsamwel999
    @emanuelsamwel999 11 годин тому +1

    Privaaa

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 21 годину тому +2

    Tutawapiga hapana shaka yoyote ila tuingie tukitamani ushindi tusiamini tunashinda.

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 7 годин тому

    insha'Allah tutashinda 💛💛🖤🖤💚

  • @Allymohamediniuka
    @Allymohamediniuka 9 годин тому

    ❤inshallah mungu yunasi

  • @GalaxyA-yw7eg
    @GalaxyA-yw7eg Годину тому

    💛💚💛💚💛💚