Music has occupied the hours which should have been devoted to prayer. Music is the idol which many professed Sabbathkeeping Christians worship. Satan has no objection to music if he can make that a channel through which to gain access to the minds of the youth. VSS 420.3 Muziki umechukua saa ambazo zilipaswa kutolewa kwa maombi. Muziki ni sanamu ambayo wengi wanaodai kuwa Wakristo washika Sabato huabudu. Shetani hana kipingamizi kwa muziki ikiwa anaweza kuufanya kuwa njia ya kupata akili za vijana. VSS 420.3
Angel wewe ni kiboko❤
it was so amazing👏👏👏
Hawa ndio walioubeba ujumbe wa Malaika watatu kweli 😮.... Bwana na aturehemu
Wasabato sikuhizi mna Vibe la maana hamboi kwakweli hadi RAHA JAMANI
Hao ni WA kisasa 😊
I see 😮😢
Shetani anazidi kujitukuza mdogomdogo
Music has occupied the hours which should have been devoted to prayer. Music is the idol which many professed Sabbathkeeping Christians worship. Satan has no objection to music if he can make that a channel through which to gain access to the minds of the youth. VSS 420.3
Muziki umechukua saa ambazo zilipaswa kutolewa kwa maombi. Muziki ni sanamu ambayo wengi wanaodai kuwa Wakristo washika Sabato huabudu. Shetani hana kipingamizi kwa muziki ikiwa anaweza kuufanya kuwa njia ya kupata akili za vijana. VSS 420.3
Uko sahihi sana kaka...tunaiacha njia ya zamani tuliopaswa kuishika, we are after umaarufu and cash
Hii sio ibada bali reggae. Tumrudie Bwana kwa machozi na unyenyekevu mwingi. Drum set in church is not biblical.