Dully Sykes Ft Josline & Mr Blue - Dhahabu (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 лис 2022
  • #DullySykes #Dhahabu #Josline #MrBlue #SlideDigital
    Dully Sykes Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    Follow Dully Sykes on:
    / princedullysykes
    / dully_sykes
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 107

  • @barakamgimba5706
    @barakamgimba5706 3 місяці тому +24

    Tupo wangapiii ambao bado tunasikilizaa hii ngoma kama ni mmoja wapo like zenu apa❤

  • @bennyframa4505
    @bennyframa4505 Рік тому +78

    Dully watafute Blue na joslin mfanye official Video ya hii ngoma. Amini mtaifufua upyaaa. Mbona zipo ngoma kibao zinatolewa video hata miaka 10 baaada ya audio. Lakini hakikisheni inakuwa video kali sana mtafuteni director mwenye idea kaliii. Kisha itabaki kama memory maana nyinyi nyote mnaelekea kustaafu. Piaa itakuwa njia ya ku show love kwa joslin kwa haya anayoyapitia saivi. Amini nakwambia hii NI COLLABO kali zaidi kuwai kutokea kwenye kiwanda cha bongo Fleva.

    • @inezawilly4543
      @inezawilly4543 10 місяців тому +3

      Hio ukweli kbsa Mimi mpaka Leo nipo hapa ndani ya Rwanda Kigali nikisikia wimbo huu

    • @collyalinani2407
      @collyalinani2407 9 місяців тому +5

      ukizingatia wote walioimba umu wapo hadi leo mpaka ma producer

    • @tygatylo2160
      @tygatylo2160 9 місяців тому +4

      Brilliant idea

    • @mashashpastory7467
      @mashashpastory7467 9 місяців тому +3

      Siyo korabo Kali tu Bali ni ghali pia na ya samani ya dhahabi🔥🙌

    • @user-jj9mn2on9s
      @user-jj9mn2on9s 8 місяців тому +6

      Umeandika Point Kubwa sana. Ntafurahi wakichukua huu ushauri na kuufanyia kazi

  • @vyaduoj
    @vyaduoj 7 днів тому +2

    Who still listening this song, from 🇺🇸 here .

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 8 днів тому +1

    2024 bado tuko live na ngoma za kizazi chetu unyama ni mwingi sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @floridamoris2374
    @floridamoris2374 2 місяці тому +17

    Tunaosikiliza mwaka 2024🔥

  • @jamesshake8404
    @jamesshake8404 7 днів тому +1

    Mtoto anavutia kila pande ooh mtoto anakomesha mpaka ma bishow.

  • @t-mwana4510
    @t-mwana4510 7 місяців тому +22

    Tupo wangapi 2023 tukiskiza hili dude.. ebu nipe like kama tupo pamoja

  • @emanuelherman7029
    @emanuelherman7029 6 місяців тому +19

    2024 nimerudi tena kuiskila hakika wewe ni Bongo flavour halisi wapwaa kuna dully Sykes Z ANTON dudu Baya mr Nice

  • @TabiassadikiKenga
    @TabiassadikiKenga 2 місяці тому +11

    Nko ndani 2024❤❤❤penda sana

  • @vincyrichard8737
    @vincyrichard8737 11 місяців тому +16

    Daah gonga like kwa josline arudi kutupa masongi kama haya ,tumekumiss bro 🌹✌

  • @is-mailh.makame5420
    @is-mailh.makame5420 2 місяці тому +7

    2024 hii ngoma bado inaHeat different kaka kama utakua una mda ifanyie tena recap na Mr.Blue na Joslin wasikose naona kunakitu kitakuja hapo mzeee

  • @augustinekayi
    @augustinekayi 2 місяці тому +4

    Wangapi wamerudi huku after kusikiza version ya maarifa

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 3 місяці тому +9

    Kama nawe unaskiza nipe❤❤❤🎉🎉

  • @EnockMashoka
    @EnockMashoka 2 місяці тому +5

    Mm enock huwa nazikubali goma

  • @charlesrichard8918
    @charlesrichard8918 Рік тому +8

    Kamilisha boss kwani wp shida , ngoma kali sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @emmaetoo9957
    @emmaetoo9957 2 місяці тому +4

    My favorite song🎉2024

  • @allinzema1188
    @allinzema1188 10 місяців тому +9

    Kuna kavideo kalisambaa sana mpaka mtu akiona unasikiliza huu wimbo anahisi unaangalia kale kavideo

    • @limymasele21
      @limymasele21 7 місяців тому

      Ka yule Bwana harusi?

    • @andrewijela
      @andrewijela 2 місяці тому

      😂😂 nakumbuka nikiwa vijini kule Kenya. Hiyo video ilisambaa sana

    • @user-jp5qz9ei5t
      @user-jp5qz9ei5t Місяць тому

      Aisee nakumbuka bhn Yan watu wanauwasha moto atar kipindi mpka nikajua nyimbo ni ya wale wazungu 😂kumbe wap

  • @ximonndungu
    @ximonndungu 2 місяці тому +3

    2024 still hot

  • @photonatusmayamba2086
    @photonatusmayamba2086 Рік тому +8

    Jamani Dully fanyeni video please

  • @user-rq6sf6zy6d
    @user-rq6sf6zy6d 11 місяців тому +8

    Muda mwingine tunalud nyuma kitafuta wakal wa muziki

  • @254Viking_Ke
    @254Viking_Ke Місяць тому +1

    Wimbo Dhahabu miaka miingi nautafuta.
    Talanta haikua hoi enzi hizo
    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @pastorygumiye9073
    @pastorygumiye9073 2 місяці тому +2

    Nipo form 1 2006 hii ngoma nilikuwa natembea nayo verse baada ya verse dah 🙌🙌🙌🙌 18 years later🔥🔥

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 Рік тому +6

    Fanyeni video man uwarudishe joslin na blue unyama sana

  • @saidseif1860
    @saidseif1860 Рік тому +8

    Master jay alipiga midundo mitam enzi hizo ngoma kali sana mpka leo

  • @stephenandrew7218
    @stephenandrew7218 4 місяці тому +3

    This beat will make you nod your head no matter what.

  • @frankmahenge5943
    @frankmahenge5943 17 днів тому

    Dhahabu Dullysks hii ya moto

  • @SaydAli-iy5pi
    @SaydAli-iy5pi 5 місяців тому +2

    Blue ufanyieni kazi ushauri huo hapo chini musizarau acheni tofauti zenu

  • @rajabbinjumah9026
    @rajabbinjumah9026 Рік тому +6

    Tujuane Uku Wakali Wazamani Kali

  • @paulodanga7582
    @paulodanga7582 3 місяці тому +3

    2024 and am here to listen to the prince Dully

  • @AdamLeli
    @AdamLeli 7 місяців тому +3

    One love kwa hivi vichwa vitatu it's crazy

  • @newtonsilivand4485
    @newtonsilivand4485 Рік тому +4

    Noma sna ili Ngoma litoke video

  • @mwamvitaitendele5674
    @mwamvitaitendele5674 9 місяців тому +6

    2023 naisikiliza nikiwa ujerumani

  • @petromatola5426
    @petromatola5426 Місяць тому +2

    June 20 2024 hapa

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 Рік тому +10

    Dully ni miaja sasa zimepita...hii ngoma imekua west kwa sababu ya kutotoa video ni afadhali mmalize bifu ili video itoke 🇰🇪🇰🇪🇰🇪....

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Рік тому +11

    ❤❤❤🇰🇪2023 here we go 🔥🔥

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 10 місяців тому +4

    Toa remix mkongwe ngoma kali hizo

  • @totojinga2795
    @totojinga2795 11 місяців тому +8

    Hizi ngoma hazizeeki kabisa

  • @omarilameck8493
    @omarilameck8493 Місяць тому +1

    Twangoja video from Kenya ❤❤❤ life time jam 🔥

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 2 місяці тому +3

    Ngoma hii ili Toka wapi Kali kinyama

  • @sawatimustapha4867
    @sawatimustapha4867 Місяць тому +1

    Uwiiiii yaani❤❤❤😊

  • @JohnGoodluck-mz5bc
    @JohnGoodluck-mz5bc 8 місяців тому +3

    ❤❤❤ Noma sanaaaa

  • @jaqlinemramba6364
    @jaqlinemramba6364 9 днів тому

    Hatari sana

  • @silvestamaduwila1388
    @silvestamaduwila1388 Рік тому +3

    Ngoma kama mpya vile yaani haichuji

  • @btvbabyilon8249
    @btvbabyilon8249 11 місяців тому +3

    Sure itakua poa sana Braza Dully

  • @ahmadally7383
    @ahmadally7383 7 місяців тому +4

    joslin & blue killed it

  • @bryantwaf4077
    @bryantwaf4077 4 місяці тому +1

    Moto sana 🔥 repping 🇰🇪

  • @lucienmusimbira7418
    @lucienmusimbira7418 Рік тому +3

    Ituvunja midomo kwa kuimba huku kwetu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @mauriceetaan7493
    @mauriceetaan7493 9 місяців тому +5

    It reminds me of those days when music was music. More fire Old boys

  • @Auntieminah
    @Auntieminah 8 місяців тому +5

    All Time Favorite ❤

  • @jabricotinda7359
    @jabricotinda7359 Рік тому +4

    Hii ilikua hatari sanaaaaaaa

  • @robertmecky8088
    @robertmecky8088 3 місяці тому +1

    Kabla Alikiba hajazaniwa kuwa King of Music. Kings existed and live todate. 2023 Reminds of studies at Magambani😂😂😂

    • @becsingers_official
      @becsingers_official 3 місяці тому

      King of Music without any award? Zuchu would beat him in a contest

  • @omarmajanga6788
    @omarmajanga6788 Рік тому +7

    Legends, great and cool song all the time reminds me back in a days TmK tandika

  • @marokeyLFM
    @marokeyLFM 6 місяців тому +2

    Legendary 🔥🔥🔥👌

  • @user-kz7xr8gi6i
    @user-kz7xr8gi6i 4 місяці тому +2

    Tupe video

  • @juntwakabete1664
    @juntwakabete1664 7 місяців тому +3

    Favourite ❤

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 6 місяців тому +1

      Hatari mabishoo wakipindi icho

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 2 місяці тому +1

    Enzi zetu hizi 😂😂😂😂

  • @dorislelo8269
    @dorislelo8269 Місяць тому +1

    ❤❤❤

  • @privatekigasti
    @privatekigasti Місяць тому +1

    2024 still the best

  • @anethmambi9057
    @anethmambi9057 16 днів тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @maravilloso471
    @maravilloso471 5 місяців тому

    fireeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @alfredlaurent1728
    @alfredlaurent1728 3 місяці тому +2

    30/04/2024

  • @Promoterstanley1
    @Promoterstanley1 9 місяців тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀

  • @gracethobias8069
    @gracethobias8069 2 місяці тому +1

    02/05/2024❤

  • @user-zn9br7uc1k
    @user-zn9br7uc1k Місяць тому

    Nyimbo nzuli sana niyakwanza kwangu

  • @Auntrasta
    @Auntrasta 2 місяці тому +5

    Niko Hapa 2024..who else..... 😍😍😍

    • @sudiwawasilwa2106
      @sudiwawasilwa2106 11 днів тому

      Nataka pia dhahabu mtoto wa kariakoo,the good old days.

  • @maravilloso471
    @maravilloso471 5 місяців тому

    kisuuuuuuuu

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 Рік тому +3

    Still Bado ni mpya

  • @MufasaAden
    @MufasaAden 5 місяців тому

    My Childhood Song ❤ 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥#Young Staraha

  • @Evamary123
    @Evamary123 8 місяців тому +1

    🔥🔥🔥

  • @saidzungu9366
    @saidzungu9366 28 днів тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Mohafesa00
    @Mohafesa00 3 місяці тому +1

    2024

  • @raphaelstephen5260
    @raphaelstephen5260 7 місяців тому +1

    22 december 2023

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 5 місяців тому +1

    2024 p1

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 16 днів тому

    videoo

  • @vaalonedearmy939
    @vaalonedearmy939 4 місяці тому

    Ifanywe video na iitwe dold na sio dhahabu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 місяців тому +2

    👍👊✌️。

  • @limymasele21
    @limymasele21 7 місяців тому +8

    Mambo gani ufanyieni video huu wimbo mtakuja kutushukuru washauli wenu

  • @BeatriceShayo-gp2rd
    @BeatriceShayo-gp2rd 7 днів тому

    Anyone From TikTok

  • @mgogobeleko1411
    @mgogobeleko1411 9 місяців тому +1

    Dha sijui huwa hasomi komenti nyie mbwa hii ngoma itolee video mta ifufua mbona bado ina lipa kwenye soko la sikuizi hem naomba lifatilieni hili nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @IsmailyMacha-wg1em
    @IsmailyMacha-wg1em Рік тому

    Leeo

  • @heriramadhani1493
    @heriramadhani1493 Рік тому +3

    Jodslin alimgaragaza vibaya bluebhumu

  • @isakamhilu9601
    @isakamhilu9601 Рік тому +1

    P0pppppll