Ndugu watazamaji wa video hii, Sijui wewe unajionaje hapo ulipo, lakini kiuumbaji Mungu anavyokuona yaani nitofauti na wewe unavyojiona mwenyewe. Nasema hivi;- Unapofika hatua ya kukata tamaa ni wewe ndio umejiona hivyo kwamba ni mtu wa kukata tamaa, lakini sio kwamba labda Mungu ndio amekuumba wewe hivyo ili ukate tamaa hapana niwewe mwenyewe. Shetani sio chanzo cha kila aina ya changamoto inayokukuta wewe, wakati mwingne ni wewe mwenyewe ndio mwenye kusababisha hizo changamoto kwenye maisha yako-. Kuna somo naendelea nalo lenye kichwa hiki;- JIJUE ZAIDI/JITAMBUE Msisitizo mkuu: MWANADAMU KUTEMBEA KWENYE MAPENZI YA MUNGU. Nenda kasikilize Kwa makini fuatilia na pia naendelea kutoa zaidi, endelea kufuatilia mpaka mwisho. Mimi ni Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe "MunguNaKazi@KMT TK"-2024
Ndugu watazamaji wa video hii,
Sijui wewe unajionaje hapo ulipo, lakini kiuumbaji Mungu anavyokuona yaani nitofauti na wewe unavyojiona mwenyewe.
Nasema hivi;- Unapofika hatua ya kukata tamaa ni wewe ndio umejiona hivyo kwamba ni mtu wa kukata tamaa, lakini sio kwamba labda Mungu ndio amekuumba wewe hivyo ili ukate tamaa hapana niwewe mwenyewe.
Shetani sio chanzo cha kila aina ya changamoto inayokukuta wewe, wakati mwingne ni wewe mwenyewe ndio mwenye kusababisha hizo changamoto kwenye maisha yako-.
Kuna somo naendelea nalo lenye kichwa hiki;- JIJUE ZAIDI/JITAMBUE
Msisitizo mkuu: MWANADAMU KUTEMBEA KWENYE MAPENZI YA MUNGU.
Nenda kasikilize Kwa makini fuatilia na pia naendelea kutoa zaidi, endelea kufuatilia mpaka mwisho.
Mimi ni Mwl Mbarikiwa Mwasumbwe
"MunguNaKazi@KMT TK"-2024